Wanafunzi takriban 36 katika Shule ya Wasichana ya Bakisa, iliyopo Webuye Mashariki, Kaunti ya Bungoma, wameripotiwa kuwa wajauzito au tayari ni kina mama.
Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Ruth Mulik, ameeleza kushtushwa na kusikitishwa na ongezeko la mimba za utotoni miongoni mwa wanafunzi wa shule...