AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 10,177
- 16,331
Nikajua tu tayari nimeshamtia mimba bila kuratajia.
Mimba ndio inaniumiza kichwa hayo mengine najua wanasayansi wapo kazini ila mimba zisizotarajiwa ni zaidi ya HIV au gOnoUnawaza mimba tu? Huwazi HIV au hayo magono lukuki
Ilipasuka wakati risasi zinatoka! Sipati picha hiyo velocity ilikuwaje😀Nikajua tu tayari nimeshamtia mimba bila kuratajia.
Kama alikuwa HG mzee baba pole Sana! Wale vizazi vyao viko mdomoni.. Ni moto maramoja! Gusa unase!Mimba ndio inaniumiza kichwa hayo mengine najua wanasayansi wapo kazini ila mimba zisizotarajiwa ni zaidi ya HIV au gOno
Sawa bossiMimba ndio inaniumiza kichwa hayo mengine najua wanasayansi wapo kazini ila mimba zisizotarajiwa ni zaidi ya HIV au gOno
House girl tena???😂😂😂Kama alikuwa HG mzee baba pole Sana! Wale vizazi vyao viko mdomoni.. Ni moto maramoja! Gusa unase!
Haja classify mhusika😀House girl tena???😂😂😂
Aligeuka juu ananitazama usoni na kusema huku ana tabasamu kwamba KONDOMU imepasuka, nikaona duuh imepasuka kuangalia hivi kweli imepasuka, sikufichi nilishtuka ila yeye ana tabasamu na sura ina furaha wakati mimi najua nishafanya balaa maana najua hii itakua ni mimbaIlipasuka wakati risasi zinatoka! Sipati picha hiyo velocity ilikuwaje😀
Kama wakati wa kupokea mzigo macho yaligeuka juu jiandae kuwa baba kijacho.. Lakini kama yaligeuka chini kapime😅!. Ila kama yaligeukia pembeni hiyo ni offside!
Hahaha duuh mpaka nimeogopa mkuuKama alikuwa HG mzee baba pole Sana! Wale vizazi vyao viko mdomoni.. Ni moto maramoja! Gusa unase!
Master Legendary naona umempa njia za kiasili kabisa hapo juu, kama yaliyomo yamo!!Haja classify mhusika😀
Sio HG mkuuHaja classify mhusika😀
AfazaliSio HG mkuu
Hao ukiweka tu imo nawajua vizuri sanaAfazali
Sikuamini ninachokiona ila KONDOMU kweli imepasukaHivi huwa zinapasuka kweli? Ndio maana situmii! Au mwamba alikuwa anabaka?
Huwa zinapasuka kweli brother!Master Legendary naona umempa njia za kiasili kabisa hapo juu, kama yaliyomo yamo!!
Hivi huwa zinapasuka kweli? Ndio maana situmii! Au mwamba alikuwa anabaka?
Anaamini science lakini anaogopa mimba…
New user ID VERBOSE baba kijacho 😂💪🏿Aligeuka juu ananitazama usoni na kusema huku ana tabasamu kwamba KONDOMU imepasuka, nikaona duuh imepasuka kuangalia hivi kweli imepasuka, sikufichi nilishtuka ila yeye ana tabasamu na sura ina furaha wakati mimi najua nishafanya balaa maana najua hii itakua ni mimba
Wamebarikiwa vizazi vyenye rutuba😂Hao ukiweka tu imo nawajua vizuri sana
Daah sio mchezo kabisa yaan ukiweka tu tayari imeingiaWamebarikiwa vizazi vyenye rutuba😂