milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Viwanda: Milioni 420 ni kwa ajili ya ukarabati wa Jengo la Madini, siyo ujenzi wa Sanamu ya Hayati Dkt Magufuli

    "Milioni 420 ni kwa ajili ya ukarabati wa Jengo la Madini katika maonesho ya Sabasaba, wenzetu wakaomba tuliite Magufuli na tukafikiria kwanini isiwepo sanamu?" "Katika majadiliano hayo ndipo wanahabari wakachukua, 'Serikali kujenga sanamu kwa milioni 420" ---- Naibu Waziri Exhaud Kigahe Pia...
  2. JamiiForums Tanzania Tsh Milioni 420 za Wanyonge (Masikini) zifanyie nini kati ya yafuatayo?

    a ) Zijenge Sanamu ya Mtu tu? b ) Zifidie Wafanyabiashara wote walipoteza Mali zao kwa Moto Kariakoo? c ) Zijenge sehemu zote za Soko la Kariakoo ambazo zimeharibiwa ( zimeungua ) vibaya na Moto? d ) Zisambazwe Tanzania nzima (Mikoani) ili zitumike katika Kutoa Elimu ya Vitendo kwa Watanzania...
  3. JamiiForums Tanzania Utata: Killy wa Kondegang na wimbo wenye views milioni 1 ndani ya siku 1

    Cha ajabu kwenye trending hayupo hata kumi bora
  4. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba la ekari 100 linauzwa kwa milioni 12

    Shamba la ekari 100 linauzwa, Tshs milioni 12 (laki 1.2 kwa eka 1) zao la korosho inakubali Sana hapo. SHAMBA lipo wilaya ya manyoni kijiji cha (....) mkoa wa singida. Shamba linakubali sana zao la KOROSHO mazao mengine yanayokubali hapa ni karanga, alizeti, ufuta, njugu, mihogo...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga wanasema app yao iliingiza milioni 100. Iliwezekanaje?

    Nadhani niliwasikia vizuri Yanga wakisema app yao iliwaingizia 100m. App hiyo waliiweka January 2020 na inaonyesha install 100k ambayo inweza kuwa hadi karibia na 500k. Waliwezajekuingiza pesa hizo?
  6. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa benki zitanue 'ukomo' wa kutoa pesa kwenye ATMs, milioni moja haitoshi

    Ndugu zangu! Sijui vigezo walivyozingatia kwenye kuweka ukomo huo, lakini itoshe tu kusema zama zimebadilika sana. Enzi hizo milioni iliitwa 'shitabalwa' [uncountable], na ilitosha kwa mambo mengi kwa walio wengi. Tofauti kabisa na leo ambapo milioni MOJA unaweza kukaa kaunta tu ikayeyuka...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mgao wa milioni 500 kila jimbo kwa ajili ya barabara za jimboni

    Zanzibar(Unguja&Pemba) 1. Eneo 2654 km2 2. Idadi ya wabunge 50 3. Kiasi cha fedha milioni 500*50 Sawa na bilioni 25. Mkoa wa Pwani 1. Eneo 32407 km2 2. Idadi ya wabunge 09 3. Kiasi cha fedha milioni 500*9 Sawa na bilioni 4.5 Hoja yangu: Kwanini hizi hela zigawanywe kwa majimbo bila kuzingatia...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Uungwana ni vitendo: Je, CHADEMA watarudisha Tsh. 38 milioni zilizotolewa na hayati Magufuli kumtoa Msigwa jela?

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ikumbukwe kuwa hayati Magufuli kama mwanafamilia alichangia Tsh. 38,000,000 katika mchango wa wanafamilia ili kuwezesha malipo ya faini ya mchungaji Msigwa. Pamoja na ukweli kwamba fedha hizi zilitumika kumtoa Freeman Mbowe kwani...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Milioni 350 za faini ya kina Mbowe zinazorudishwa na mahakama unashauri zifanye kazi gani?

    Ni kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350. Zijenge ofisi makao makuu? Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki? Zisaidie mchakato wa katiba mpya? Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam. Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda? Zinunue vitendea kazi vya chama...
  10. JamiiForums Tanzania Mashtaka dhidi ya Kampuni za Mawasiliano yanawezekana

    Aisee kumbe inawezekana kabisa kuzishitaki hizi kampuni za mitandao ya simu? Manaake naona wamekua na tabia ya kujifanyia mambo kiholela sana. AY na Mwana Fa walionesha njia naona na huyu mwamba kaamu kujilipua pia. Jamaa Alikatwa TZS 4,650/- na Tigo kimakosa, Akawashitaki TCRA kuomba Fidia...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanza: RC aagiza uchunguzi dhidi ya upotevu wa Tsh. Milioni 353

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel Luhumbi ameagiza uchunguzi dhidi ya upotevu wa Tsh. Milioni 353.2 zilizotekwa kwa ajili ya maendeleo ya Wilaya ya Sengerema lakini hazikutumika. RC amesema fedha hizo hazikufuata sheria za fedha za umma na hivyo zinaonekana ni sawa na wizi tu. Fedha hizo...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aharibu mali zenye thamani ya Tsh. Milioni 4 baada ya Mke kugoma kubaki nyumbani kusherehekea Siku ya Akina Baba Duniani

    Mwanaume mmoja kutoka Kijiji cha Gichugu Kaunti ya Kiriyanga nchini Kenya ameharibu mazao yanayokadiriwa kuwa na thamani ya Shilingi za Kenya 200,000 (sawa na Tsh. milioni 4.3 ) baada ya mke wake kukataa kubaki nyumbani kusherekea Siku ya Kina Baba Duniani. Kwa mujibu wa mashahidi, mwanaume...
  13. JamiiForums Tanzania Wazo la biashara mtaji wa Milioni 5 hadi 6 Mkoa wa Tanga au Dar

    Habari Naomba wazo la biashara kwa mtaji wa milioni 5 mpaka 6. Biashara gani itakidhi kwa kiwango hiki cha pesa? Uzoefu nilionao, katika maswala ya ICT kwa level ya kawaida na kazi za stationery. Shukrani.
  14. JamiiForums Tanzania Mtu anaechukua mkopo wa milioni 100 kujenga nyumba ya milioni 10, na anaemkopesha ndiye anayejenga (lazima); ana akili timamu kichwani kwake?

    Tuchukulie kwa mfano mtu anakuja kukushawishi akukopeshe pesa kiasi cha milioni 100 ili ujenge nyumba ya kuishi; ila sasa masharti ya huo mkopo ni kwamba lazima ramani za jemgo, vifaa vya kujengea, BOQ, na mafundi wote watoke kwake huyo anaekukopesha. Halafu huyo anaekukopesha anakuletea ramani...
  15. JamiiForums Tanzania Meya wa Moshi aagiza Sh3.2 milioni za kununua bastola ya mkurugenzi kurejeshwa

    Moshi. Meya wa manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameagiza Sh3.2 milioni zilizotengwa na halmashauri ya manispaa hiyo kwa ajili ya kununua bastola ya mkurugenzi kurejeshwa. Raibu ametoa tamko hilo leo Ijumaa Mei 28, 2021 katika kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika katika ofisi za mkuu wa Mkoa...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayeweza kuwekeza kwa mtaji wa milioni 50 na kupata faida ya hadi milioni 70

    Ndugu wadau habari zenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Mimi nipo Geita najishughulisha na biashara ya madini ya dhahabu offisi ni ya watu so Mimi ni msimamizi na wakati mwingine natoa ushauri pale inapobidi, ili kazi iwe yenye tija zaidi. Kwa upande wangu huwa tu nalipwa...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Ajibu kwenda Yanga kwa milioni 45, wadau hawamtaki watishia kumpa kipigo

    Haya haya amkeni buanaaaaa! Huko utopoloni mambo ni faya sana sema jamaa nawasifu jinsi walivyoweza kuyashikilia makanjanja wa nchi hii. Kamwe hutasikia lolote baya kuhusu hawa jamaa kuanzia wale nyoka walioonekana kambini Kigamboni, lamine Moro kukunjana na daktari wa team kule Kigamboni...
  18. JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
  19. JamiiForums Tanzania Nina milioni 25 nifanye biashara gani itakayo nilipa robo tatu au zaidi ya hiyo kila wiki?

    Nina milioni 25 nifanye biashara gani itakayo nilipa robo 3 au zaidi ya hiyo kila wiki au biashara ipi itakayo nilipa sana na kwa haraka.
  20. JamiiForums Tanzania Amestaafu na kupewa shilingi milioni mia moja. Anaomba msaada

    Mama yangu mkubwa amestaafu na kupewa milioni mia moja. Amechukua milioni 20 na kugawia watoto pamoja na kurekebisha nyumba yake kwa maana tayari alikuwa amekwisha jenga. Sasa amebaki na milioni 80 alikuwa anataka kuziweka bank ili asizitumie vibaya. Alikuwa anataka bank iwe inamlipa kiaso cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…