milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mchongo wa Kompyuta za Sh milioni 132 huu hapa, Jokate Mwegelo ametumika

    Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kwa kushirikiana na asasi ya BRAC-Maendeleo, imetoa kompyuta 120 zenye thamani ya Sh milioni 132 kwa shule tatu za Wilaya ya Temeke kwenye mradi wa “Skills for Their Future”. Kompyuta hizo zilikabidhiwa na Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo, kwenye hafla...
  2. JamiiForums Tanzania Idadi ya wakimbizi wa Ukraine kufikia milioni 1.5

    Mashambulio ya Urusi dhidi ya Ukraine yaingia katika siku ya 11 huku idadi ya wakimbizi ikitarajiwa kufikia karibu watu milioni 1.5. Mataifa hayo yametupiana lawama kuhusu kukwama kwa makubaliano ya kusitisha mapigano. Idadi ya wakimbizi wa Ukraine inatarajiwa kufikia watu milioni 1.5 huku...
  3. JamiiForums Tanzania Rayvanny kaambiwa alipe milioni 500 aondoke WCB

    Mtangazaji mkongwe wa mambo ya showbiz na udaku Tanzania, Maimartha amezungumzia juu ya taarifa za Rayvanny kuoma kuondoka katika lebo ya WCB. Haya ndiyo maneno yake aliyoyasema wakati akihojiwa na BONGO TRENDY TV: “Habari zao ninavyojua ni kuwa Rayvanny aliomba kutoka WCB, akaambiwa atoe...
  4. JamiiForums Tanzania USAID kuipa Tanzania msaada wa Dola za Marekani Milioni 25

    Rais Samia amethibitisha kuwa Tanzania itapata msaada wa dola za marekani milioni 25 kutoka Shirika la Misaada la Marekani. Hiyo ni baada ya Rais Samia kufanya mazungumzo ya mtandao na Mkuu wa shirika hilo Bi. Samantha Power. Je huku ndio kuupiga mwingi?
  5. JamiiForums Tanzania Marekani yatoa mafuta mapipa Milioni 30 ili kukabiliana na upandaji bei wa mafuta duniani

    Marekani imesema imetoa mapipa Milioni 30 ya mafuta kutoka kwenye hifadhi yake ya kimkakati ya mafuta huu ukiwa ni sehemu ya mpango wa muungano wa Nchi 30 ambazo zimekubaliana kutoa mapipa Milioni 60 ya mafuta kutoka kwenye hifadhi zake kote ulimwenguni ili kukabiliana na kupanda kwa bei ya...
  6. JamiiForums Tanzania Unahitajika Mkopo wa Milioni 60-Wa Kibiashara

    Habari za wakati huu wakurugenzi; Kwa wale ambao wako na Pesa lakini wanatafuta pa kuziwekeza.Unahitajika Mkopo wa Kibiashara.Kiasi cha mkopo unaohitajika ni Milioni 60. Dhamana ya Mkopo ni kama ifuatavyo: Kiasi cha 30% ya Mkopo kitadhaminiwa na Kiwanjja kilichoko Hai Kilimanjaro)Hakina...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Seneta Manchin wa US alalamika Marekani kuendelea kununua mafuta ya Russia zaidi ya lita milioni 79 (barrel nusu milioni) kwa siku

    Seneta wa West Virginia wa Chama Cha Democrat, Joe Manich, amemtaka rais Biden kuongeza uzalishaji wa nishati wa Marekani ili kuiepusha Marekani kuendelea kuitegemea mafuta na gesi ya Russia, akiishutumu Ikulu ya White House kuweka sera za kinafiki. Seneta huyo kasema Marekani yaingiza...
  8. JamiiForums Tanzania Kigoma: Mganga amuua Mteja aliyetaka kuzindika Fedha za Biashara Tsh milioni 9

    Jeshi la Polisi mkoa wa Kigoma linawashikilia watu wawili akiwemo dereva wa pikipiki na mganga wa kienyeji kwa tuhuma za kumuua na kisha kumfukia mwanamke aliyekuwa ameenda kuzindika fedha za biashara kiasi cha shilingi milioni 9. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo katika wilaya ya Kasulu na...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia yaanza kufungua milango kwa ajili ya KCB na Equity - yaani watu milioni 110

    Tushindwe wenyewe....yaani Wakenya tuna subira mithili ya chui, tunanyatia nyatia na kusogelea na kupiga mahesabu ya mbali, ila pale tutachomoka huwa hatukosei maana lazima meno yang'ate kwenye shingo. DRC na ukanda wote wa EAC upo kwapani tayari, hawa Wahabeshi ndio walikua mfupa uliomshinda...
  10. JamiiForums Tanzania TFF: Bei ya VAR ni Sh Bilioni 14.5, kamera ziwe 38, kila mechi timu zinalipia Sh milioni 7

    Rais wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF), Wallace Karia amezungumzia matumizi ya VAR wakati wa kufunga semina ya siku tatu ya Waamuzi wa Ligi Kuu ya NBC iliyomalizika jana Februari 17, 2022 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Haya hapa ndiyo aliyoyasema Karia: “Unajua gharama za VAR? Sawa...
  11. JamiiForums Tanzania Car4Sale Starlet imenyooka. Njoo na milioni 3

    STARLET IMENYOOKA FULL AC MIL 3 PIGA 0713096076 Dar tabata
  12. JamiiForums Tanzania UNFPA: Wasichana milioni 12 duniani huolewa kabla ya kufika miaka 18

    Umoja wa Mataifa unaoshughulika na Idadi ya Watu ‘UNFPA’ umesema wasichana milioni 12 duniani huolewa kabla ya kufikisha miaka 18 hali inayowaweka katika manyanyaso na hatari ya magonjwa Vifo vya uzazi vimetajwa kuwa vingi kwa wasichana wa umri kati ya miaka 15 hadi 19 kwa kuwa viungo vyao huwa...
  13. JamiiForums Tanzania Wabunge walalamikia ongezeko la matumizi ya P2, watu milioni 1.7 wanaishi na VVU

    Wabunge walalamikia ongezeko la matumizi ya P2, watu milioni 1.7 wanaishi na VVU Wabunge wa Tanzania wamesema matumizi ya dawa za dharura za uzazi wa mpango zinazojulikana kwa jina la P2 kuzuia mimba kwa wasichana wenye umri wa miaka 14-24 yanaongezeka. Wabunge katika kamati ya afya walikuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mwili wa bondia wakwama MOI, deni la Sh milioni 6 latajwa, mabondia wajichangachanga

    Hadi kufikia asubuhi ya leo Ijumaa Februari 11, 2022 mwili wa aliyekuwa bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Vincent Mbilinyi umeshindwa kutolewa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya mazishi kutokana na kile kilichoelezwa kuwa kuna deni la Sh milioni sita za matibabu yake. Mbilinyi...
  15. L

    JamiiForums Tanzania China kuisaidia Kenya kutoa chanjo kwa watu milioni 19 ifikapo Juni 2022

    Na Tom Wanjala Serikali ya Kenya imesema iko mbioni kutoa chanjo dhidi ya virusi vya Corona kwa Wakenya wasiopungua milioni 19 ifikapo mwezi Juni mwaka huu. Taarifa hii inakuja wakati ambapo Wakenya wengi wanazidi kujitokeza katika vituo vya utoaji chanjo kufuatia serikali kuhamasisha kuwa kila...
  16. JamiiForums Tanzania Polisi wakamata dhahabu ya Sh milioni 140 ikitoroshwa, mtuhumiwa atokomea, atelekeza gari

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Maafisa Madini Wilaya ya Chunya limefanikiwa kukamata madini aina ya dhahabu yenye thamani zaidi ya Tsh milioni mia arobaini (140). Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei, ameeleza kuwa Februari 9, 2022 majira ya saa 19:30 usiku katika...
  17. JamiiForums Tanzania Mahakama ya ICJ yaiamuru Uganda kuilipa DRC faini dola milioni 325

    Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) ilitangaza Jumatano wiki hii kwamba dola Milioni 325 ndio kiasi cha fidia ambacho Uganda inapaswa kuilipa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambayo ilikuwa ikidai zaidi ya dola bilioni 11 kwa uvamizi wa Uganda mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA Makambako huu ni upigaji, hili jengo haliwezi kugharimu Tsh Milioni 80. Kwanini mnaonesha tabia za kipigaji zinazotuchafua?

    Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.
  19. JamiiForums Tanzania Simba waziponda Sh milioni tatu za GSM, zilikuwa ndogo sana, wataja lengo la mkataba

    Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amefunguka mambo kadhaa kuhusu udhamini uliositishwa. Ni kuhusu GSM kutangaza kuvunja mkataba wa kuwa mdhamini mwenzake wa Ligi Kuu Bara: “Simba hatukukubaliana na mkataba huo, tulipambana lakini wenzetu hawakuona kama tuko sahihi...
  20. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwezaje kutunyamazisha Watanzania milioni 60?

    Tangu nikiwa mdogo nilipenda kufuatilia visa vya viongozi waliotawala kwa mkono wa chuma kama vile Stalin, Mussolini, Lenin, Hitler, Suharto, Iddi Amin, Mobutu, Kagame, Bokassa na wengineo. Nikawa najiuliza hawa wababe waliwezaje kuwanyamazisha wananchi wao kirahisi wasipate watu wa kuwapinga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…