milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Laini za Simu Milioni 1.9 zisizo na Usajili Rasmi kuzimwa leo Februari 13, 2023

    Uzimaji unazihusu Laini zote ambazo watumiaji wake hawajakamilisha Usajili kwa Alama za Vidole na Ktambulisho cha Taifa ambapo hadi kufikia Februari 5, 2023, Laini Milioni 1.92 hazikuwa na Usajili rasmi. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA), Laini za Simu zenye Usajili rasmi...
  2. JamiiForums Tanzania Waturuki hawazidi 200 wanatujengea reli wa TZ Milioni 64

    Heshima mbele wakuu, Mimi ninaishi Dodoma eneo linaitwa Ntyuka, hivyo basi kila siku ninavyokwenda kazini ninavuka hii reli inayojengwa (mradi wa SGR). Hii inanipa fursa ya kuona maendeleo ya ujenzi siku baada ya siku. Kwa kipindi hiki kifupi nime observe au kujifunza haya yafuatayo; 1. Hawa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Barabara kuu ya Nairobi iliyojengwa na China yafikisha watumiaji milioni 10

    Barabara ya mwendo kasi ya Nairobi yenye urefu wa kilomita 27.1, iliyojengwa na kampuni ya China kwa ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi, Jumanne iliwatambua madereva milioni kumi ambao wameitumia barabra hiyo tangu ilipozinduliwa rasmi Julai 2022. Maofisa wakuu, watendaji wakuu na...
  4. JamiiForums Tanzania Manchester City yamchukua Mwanasheria anayelipwa Milioni 14 kwa saa ili awatetee

    Imechukua uamuzi wa kumpa kazi Mwanasheria Lord Pannick ili awatetee katika kesi yao inayoendelea kuhusu uvunjaji wa sheria za fedha katika Premier League. Manchester City ipo hatarini kukatwa pointi au kuondolewa katika ligi hiyo baada ya kudaiwa imefanya makosa ya kukiuka sheria za fedha mara...
  5. JamiiForums Tanzania Albam ya Marioo "The Kid You Know" yapata Streams Milioni 100 Boomplay

    Mkali wa Bongo Flava, Toto Bad a.k.a Marioo ameshare picha ya Plaque kutoka Boomplay zikionesha idadi ya watu usikilizwaji wa albam yake pamoja na wimbo wa Mi Amore ambao umepata streams Milioni 30. Ni rekodi nyingine ya Wasanii wa Tanzania kuvunjwa kwa Afrika Mashariki baada ya Rayvanny...
  6. JamiiForums Tanzania Rungwe: Madarasa 6 ya Shule ya Msingi yaliyojengwa kwa Milioni 64 yazinduliwa

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu, leo tarehe 07.02.2023 amezindua vyumba sita (06) vya madarasa katika Shule ya Msingi Kinyangwa iliyopo Kijiji cha Katunduru, Kata ya Ilima. Mradi wa ujenzi wa vyumba hivyo umetekelezwa na Kampuni ya Bioland kupitia Mradi wa Cocoa for School kwa gharama ya...
  7. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz alinilipa milioni 17 kuigiza kama Zuwena kwenye video yake

    Video Vixen aliyeigiza kama Zuwena kwenye wimbo wa msanii Diamond Platnumz amesema kuwa alilipwa kiasi cha shilingi milioni 17 kutokea katika video hiyo. Binti huyo amesema alilipwa kiasi hicho kwa Dola za Kimarekani ambazo zilikuwa ni dola 705.
  8. JamiiForums Tanzania Mahakama yaipiga Serikali na Mkuu wa Wilaya faini ya Tsh. Milioni 100 kwa kumweka raia mahabusu

    Amri za wakuu wa wilaya za kuwaweka watu mahabusu kwa saa 48 zimeanza kuwaingiza matatani, baada ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Siha, Onesmo Buswelu, kuamriwa kulipa fidia ya Sh10 milioni na Serikali ikiamriwa kulipa Sh90 milioni. Amri hiyo ilitolewa juzi na Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa Sh4 milioni unakata kitambi, nyama uzembe

    Dar es Salaam. Wakati baadhi ya watu wakijinyima kula, kutumia dawa za asili, za kisasa na kufanya mazoezi ili kupunguza vitambi na uzito, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (Mloganzila) imekuja na njia salama ya kuwawekea puto tumboni wenye matatizo hayo kwa Sh4.2 milioni. Tayari watu wameanza...
  10. JamiiForums Tanzania Nimeisababishia hasara kampuni milioni 500 kwa kuziiba nasubiri kikao cha bodi ya kampuni

    Yaani sio poa kabisa ndugu zangu nimefanikiwa kuziiba pesa taslimu milioni 500 za kampuni x na kuisababishia hasara kampuni ya hiyo pesa na sasa niko njia panda either nikimbie nchi au nitulie tu nikisubiria hatima yangu ya kesi ila najua hii kesi mimi siwezi kuchomoka hapa ni kufungwa kifungo...
  11. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Aliyesomeshwa na mchumba atakiwa kurudisha Milioni 9.8 baada ya kukataa kuolewa

    Mahakama imemtaka Mwanamke mmoja wa Kanungu kulipa kiasi hicho cha fedha ikijumlisha fedha iliyotumika kumlipia ada ya masomo ya Stashahada pamoja na faini ya usumbufu na uchungu wa kisaikolojia alioupata mshitaki. Richard Tumwine na Fortunate Kyarikunda wote ni Walimu walianzisha uhusiano wa...
  12. JamiiForums Tanzania RC Singida azindua kampeni ya upandaji miti milioni 1.5 wilaya ya Ikungi

    RC SINGIDA AZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MITI MILIONI MOJA NA NUSU WILAYA YA IKUNGI Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Peter Serukamba amezindua kampeni ya upandaji miti Milioni moja na nusu (1,500,000) katika Wilaya ya Ikungi. Katika uzinduzi wa kupanda miti Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Mhe...
  13. JamiiForums Tanzania Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

    Profesa wa Chuo Kikuu Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Mkoani Morogoro, Christopher Kasanga na mwenzake Linael Makundi mfanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Mandela mkoani hapo wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Morogoro kwa shtaka la madai ya Ugoni dhidi ya mlalamikaji Matrida Sigaret...
  14. JamiiForums Tanzania Ripoti: Watoto Milioni 400 wananyanyaswa Kingono duniani kila mwaka

    Kila mwaka, watoto zaidi ya millioni 400 duniani wananyanyaswa kingono, ripoti mpya ya Enonomist Impact imesema. Kwa kawaida ukatili na unyanyasaji kingono hufanywa siri kwa kuhofia aibu na kunyanyapaliwa, hivyo kuruhusu uhalifu huo kuendelea. Ripoti hiyo “Out of the Shadows Global Index...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Nabii Mkuu Dkt. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako ndio mtu maarufu kutoka Arusha toka tupate Uhuru

    Ni wazi kwamba toka Tanzania ipate uhuru, Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr Geor Davie wa Ngurumo ya Upako na Msemaji Mkuu wa Serikali na Ufalme wa Mungu hapa Duniani ndie mtu maarufu kuwahi kutokea katika mkoa wa Arusha. Umaarufu na ushawishi wa Nabii Mkuu umefanya sasa hata wanasiasa wa mkoa wa Arusha...
  16. JamiiForums Tanzania Ufaransa: Zaidi ya watu milioni 1 waandamana kupinga nyongeza ya umri wa kustaafu

    Takriban watu milioni 1.1 waliandamana katika mitaa ya Paris na miji mingine ya Ufaransa huku kukiwa na mgomo wa kitaifa dhidi ya mipango ya kuongeza umri wa kustaafu - lakini Rais Emmanuel Macron alisisitiza kwamba ataendelea na pendekezo la mageuzi ya pensheni. Wakiwa wametiwa moyo na...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania imetumia Hekta Milioni 10.8 tu kati Milioni 44 za ardhi inayofaa kwa Kilimo hadi sasa

    Akizungumza na Vyombo vya Habari, Msemaji Mkuu wa Serikali amesema Tanzania ina hekta Milioni 44 za ardhi inayofaa kwa kilimo na kati yake ni hekta Milioni 10.8 ndizo zinalimwa na kuongeza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita kwa kutambua kuwa kilimo ndicho kinaajiri zaidi ya asilimia 60 ya Watanzania...
  18. JamiiForums Tanzania Utajiri wa matajiri wanne Kenya unazidi Wakenya milioni 22 wakiunganishwa kwa pamoja. Tanzania vipi?

    Oxfam imesema matajiri wanne nchini Kenya, utajiri wao unazidi karibu nusu ya wakenya wote(40%) wakichanganywa kwa pamoja. Matajiri hao wana utajiri unaofikia Ksh. bilioni 333( Tsh. trilioni 6.26). Utafiti unaonesha ukuaji wa tofauti kati ya walio nacho na wasio nacho ambapo wakenya 130...
  19. JamiiForums Tanzania Mwili uliokaa Mochwari siku 3 wasamehewa deni la Tsh. Milioni 3.7

    Baada ya mwili wa Evarist Kisomeko (49) kukaa hospitali kwa siku tatu ndugu wakidaiwa Sh3.7 milioni, Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kati Benjamin Mkapa imesamehe deni hilo. Evarist alifariki Januari, 13 hospitalini hapo akiendelea kupatiwa matibabu baada ya kupata ajali ya pikipiki eneo la...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa hesabu za makadirio hata kama Mandonga kalipwa milioni 5 kwa pambano lake la ufunguzi bado kapunjwa mno, atafutiwe Meneja upesi

    Kumbuka pambano la Mandonga halikuwa pambano kuu, lilikuwa ni pambano la ufunguzi tu hivyo pesa aliyopewa inaweza isifikie hata iliyotajwa/ Pambano lilijaza nyomi ya wakenya zaidi ya elfu 6 waliojaza ukumbi wa KICC jijini Nairobi. Kwa wale ambao hawakuweza kufika hasa wa Mombasa, Nakuru...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…