milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. Kampeni za Uchaguzi zimeanza DRC, Fomu ya Urais Tsh. Milioni 150

    Wakati wagombea urais wa Tanzania wakitoa Sh5 milioni kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano, kwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wagombea urais wanatakiwa kuonyesha risiti ya malipo ya faranga za Congo milioni 160, sawa na zaidi ya Sh150.3 milioni kama ada zisizorejeshwa kwa Tume Huru ya...
  2. Kituo cha Polisi Musoma kimegharimu milioni 366 na siyo milioni 802

    Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Said Mohamed Mtanda leo tarehe 19 Novemba, 2023 amepokea taarifa na kukagua ujenzi wa Kituo Cha Polisi Wilaya ya Butiama kinachoendelea kujengwa katika Wilaya ya Butiama. Akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kukagua na kupokea maelezo ya mradi huo, Mhe...
  3. Mkuu wa Mkoa wa Mara atembelea Mradi wa Kituo cha Polisi Butiama unaojengwa kwa Tsh. Milioni 802

    Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuhusu mjadala wa kukamilika kwa kituo cha Polisi Butiama kwa thamani ya sh mil 802. Kwanza nawapongeza waandishi kwa kuibua hoja na mjadala, ingawa hoja na mjadala haukusikia wala kutaka kufahamu kutoka upande wa serikali. Kwa kuwa serikali yetu ni...
  4. Milioni 13 za Mbunge wa Ulanga/Mahenge Neema kwa Wachimbaji Wadogo

    MILIONI 13 ZA MBUNGE ULANGA NEEMA KWA WACHIMBAJI WADOGO Mbunge wa jimbo la Ulanga Salim Alaudin Hasham ametoa kiasi cha shilingi milioni kumi na tatu (13,000,000) kwaajili ya malipo ya leseni za wachimbaji wadogo wanaofanya kazi zao za uchimbaji wa madini katika kata ya Lukande wilayani humo...
  5. M

    Soma hii upate mawili matatu: Jinsi graduate nilivyojikwamua na kuingiza milioni 10 nje ya ajira

    ...
  6. S

    Makonda fuatilia dhuluma mradi wa fidia Jangwani watu wanalipwa 170,000 badala ya milioni 4 aliyosema Waziri

    Mradi wa kulipa fidia wananchi wa Jangwani kupisha mwekezaji una mambo ambayo sio ya kawaida, Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa ametangaza wananchi hao watalipwa sh. milioni 4 lakini kinachoendelea kwenye utekelezaji watu wamesainishwa fomu za kulipwa laki na 70 bila kujali ukubwa wa familia...
  7. Yanga yagongwa faini ya Tsh. Milioni 5 kwa kuingiza Timu kwa mlango wa nyuma

    Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji ya Bodi ya Ligi Kuu Soka Tanzania imevitoza faini Vilabu vya Simba na Yanga kwa kufanya makosa kadhaa katika mchezo dhidi yao uliyochezwa Novemba 5 2023 na Yanga kushinda 5-1. Kamati hiyo imeipiga Yanga faini ya Tsh. milioni 5 kwa kosa la kuingia uwanjani kwa...
  8. N

    Wanaopewa fidia ili wahame bonde la Msimbazi, itawatosha kununua kiwanja na kujenga?

    Wanaopewa fidia ya milioni 6 ili wahame bonde la Msimbazi- Dar itawatosha kununua kiwanja na kujenga? Maana milioni 6 naona Kama ni ndogo, kwanini wasingepewa nyumba (apartment za pale Magomeni)? NOTE: FIDIA NI HURUMA YA RAIS TU Kinadharia hata wasingepewa kwa mujibu ya watoa hela. Vipi...
  9. Waliotorosha madini ya Bilioni 300 wahukumiwa kulipa fidia ya milioni 923.8

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imewaamuru wafanyabiashara wanane waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi, kuilipa Serikali fidia ya Sh923.8 milioni huku ikiamuru kutaifishwa pia kwa mali zao na Sh103.9 milioni. Hii ni baada ya mahakama kuwatia hatiani kwa makosa matatu ya kuongoza...
  10. Z

    Gharama ya vita ya Israel ni US dollar 260 milioni kila siku

    Vita dhidi ya Hamas inaigharimu Israel dolla za kimarekani 260 milioni kila siku (sawa na 260,000000 x 2500 = 650,000,000,000 TZ sh). Hii imeelezwa na Idara ya fedha ya nchi hiyo. Hiki ni kiwango kikubwa kuliko walivyotarajia hapo awali. Wakati huo huo pato la nchi limepungua, kutokana na...
  11. Mahakama kuamua Babu Tale Afungwe au alipe Tsh. Milioni 250 Nov 17, 2023

    Hatima ya Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Shabani Taletale, maarufu kama Babu Tale, sasa itajulikana Ijumaa, Novemba 17, mwaka huu wakati Mahakama Kuu Kanda ya Dare es Salaam itakapotoa uamuzi wa shauri la maombi ya kumpeleka jela kutumikia kifungo. Babu Tale ambaye ni mmoja wa...
  12. Kenya leo wanapanda miti Milioni 100. Haya ni mambo Tanzania tunapaswa kuiga

    Tuna changamoto kubwa sana ya ukame miaka ya hivi karibuni hasa mikoa ya kanda ya kati. Pia, tuna changamoto kubwa sana ya ukataji miti. Upandaji miti ni suluhisho la kuitunza Tanzania ya kesho. Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira ituongoze kwenye huu mpango uwe wa kitaifa. Wenzetu wameiweka siku...
  13. Ushauri: Nina mtaji wa milioni 200 nataka kufanya biashara ya kuuza magari

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni wataalamu mnipe ushauri biashara ya kuuza magari kwa sababu nataka kujipanua zaidi kibiashara baada ya biashara ya madini,kilimo na real estate kuifanya kiusahihi kabisa nataka kufanya biashara nyingine na biashara niliyoichagua ni biashara ya...
  14. Naibu Waziri Dkt. Dugange: Milioni 900 Kukarabati Hospitali ya Wilaya ya Mbozi

    NAIBU Waziri anayeshughulikia Afya Ofisi ya Rais-TAMISEMI , Mhe Dkt. Festo Dugange amesema Serikali katika mwaka wa fedha wa 2023/24 imetenga kiasi cha Sh Milioni 900 kwa ajili ya ukarabati wa Hospitali Kongwe ya Mbozi. Mhe. Dkt Dugange ameyasema hayo leo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu...
  15. F

    Neema zinazidi kunikimbilia, leo nimepata zaidi ya Tsh. 15m baada ya kuuza mpunga wangu

    Hakika riziki haupigi hodi kabisa, inakuja mbio mbio kabisa ila hii inakuja ukiwa na jitihada haiji tu eti upo zenu maskani kwenye kijiwe cha bangi unategemea utapa riziki? Hilo sahau kabisa aisee,nyie endeleeni tu kuvuta bangi na kupiga majungu, chuki na kuwasema vibaya waliofanikiwa Nikuambie...
  16. Jinsi biashara ya real estate, madini na kilimo kinavyozidi kunitajirisha japo mie ni darasa la saba na nipo chini ya miaka 30

    Japo nimeishia darasa la saba na umri wangu chini ya miaka 30 na sikuweza au nilikataa kuendelea na elimu baada ya kuona ya kwamba elimu ya Tanzania ni ya hovyo nikaamua kuingia street kupambana na maisha. Nilitoka nyumbani kwetu Mtwara nikajichimbia mkoa wa Kahama kwenye uchimbaji madini miaka...
  17. Haya mambo yanawezekana, kama mimi nina zaidi ya 100 milioni kwenye akauti wewe unashindwa nini? Tena nina miaka 27

    Vijana pesa zipo aisee ila hizo pesa ili uzipate unatakiwa kufanya kazi ila kama ukiwa mchele mchele na mpenda starehe utashikishwa ukuta kwa uvivu wakuu ila ukifanya kazi kwa bidii pesa utazipata wakuu. Firiki mimi kwa sasa nina miaka 27 tu ila kwenye akauti nina zaidi ya milioni 100 wewe...
  18. Halmashauri ya Jiji la Arusha Yatenga Milioni 380 Kukarabati Maeneo Yaliyoharibiwa na Mvua

    Halmashauri ya Jiji la Arusha imetenga kiasi cha Sh milioni 380 ili kurudisha miundombinu ambayo imeanza kuharibika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Arusha. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jij la Arusha, Juma Hamsini alisema hayo juzi wakati akizungumza katika mkutano wa madiwani...
  19. Whozu afungiwa miezi 6, Mbosso na Billnass wafungiwa miezi 3. Wote wapigwa faini Tsh. Mil. 3. Wimbo wa 'Ameyatimba' umewaponza

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtaka Msanii Whozu kushusha mara moja video ya wimbo wake wa ‘Ameyatimba’ kwenye digital platform zote, pia limemtoza faini ya Tsh. milioni 3 na limemfungia kujishughulisha na kazi za sanaa kwa muda wa miezi 6 kuanzia leo November 04, 2023 kutokana na wimbo...
  20. Dar: Askari walioiba Tsh. Milioni 90 kwa kutumia Silaha wafutwa kazi, washtakiwa upya kama Raia huru

    Upande wa Jamhuri umelazimika kubadili hati ya mashtaka dhidi ya waliokuwa Maafisa wa Jeshi la Polisi kwa kuondoa namba za Utambulisho wao ambazo ni F 7149 D/ Coplo Ramadhani (42), G. 7513 D/ Coplo Majid Abdallah na WP 6582 D/ Coplo Stela Mashaka ambapo sasa wameshtakiwa kwa majina yao halisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…