milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Atupele Mwakibete Achangia TZS Milioni 10 Ujenzi wa Ofisi za CCM Busokelo

    Mbunge wa Jimbo la Busokelo, Mhe. Atupele Mwakibete, amechangia mchango wa shilingi Milioni 10 kw ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Busokelo. "Hii ni kutokana na changamoto ambazo wanachama wanakutana nazo wanapohitaji huduma za Chama, ambapo walikuwa...
  2. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zambia, Mwanaume aamua kuvunja ndoa baada ya mke wake kulipia milioni 2 kupiga picha na Chris Brown akimkumbatia na kumbusu

    Imetokea Zambia hii, Chris Brown alienda Sauzi kupiga show wiki iliyopita, Mke wa mtu akafunga safari kwenda kumuona, haikuishia hapo akalipia meet and greet, hiki ni kiingilio kwa wale wanaotaka kumuona msanii kule back stage na kupiga nae picha, Chris Brown huwa anatoza dola elfu 1 (shilingi...
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanaotumia milioni 3+ kwa mwezi kumlea mtoto mchanga, hizo pesa wananunua nini ambacho akina sisi tunaotumia laki 1 kwa mwezi hatununui?

    Jamani milioni 3 ni pesa ndefu. Sasa inawezaje kuisha kwa malezi ya mwezi mmoja tu ya mtoto mchanga? Mshahara wa house girl, maziwa ya formula na pampas tu ndiyo vinamaliza milioni 3? Au kuna kipi kinapelekea hiyo gharama kufika au kuzidi hapo?
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumekucha, Singida Big Stars waahaidiwa Milioni 50 wakiifunga Simba

    Habari wakuu, Inaelezwa kuwa Bosi wa Singida Black Stars ameweka ahadi ya donge nono kama motisha kwa wachezaji ili waweze kumzuia mnyama kupata pointi tatu leo. Kigogo huyo ametoa ahadi ya Sh 50 milioni kwa wachezaji kama wataweza kuibuka na ushindi dhidi ya Simba.
  5. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Wewe ni mkubwa kuliko shilingi milioni Kumi

    Hivi leo hii ukisikia mtu kaokota shilingi milioni kumi [10,000,000] halafu kaipeleka polisi au karudisha kwa mwenyewe,je utamwonaje? Bilashaka wengi wetu tutamwona ni mpumbavu Ukweli ni kwamba mtu huyu ni mkubwa kuliko hiyo hela ambayo wengi wetu tunababaika nayo,yupo imara kiroho,kihisia na...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kunywa bia kwa fujo na kupiga misele kwa gari msimu huu wa sikukuu. Halafu January unauza hiyo gari kwa bei ya kutupwa ili ulipe kodi/ada.

    Maandalizi ya kuufanya mwezi January kuwa mwezi dume, yanafanyika msimu huu wa sikukuu. Watu wanaponda mali kana kwamba wanakufa kesho ama wameagana kabisa na shida za dunia. January inapofika inawakuta watu hao wako hoi bin taabani kiuchumi. Wataanza kuhaha kuuza hata kile kidogo...
  7. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Gunia la kitunguu Swaumu sasa hivi ni milioni 1

    Mbowe angefahamu hili suala mapema labda angelima vitunguu swaumu na kujiepusha na hela za Abdul na mama yake. Wakuu tulimeni hata nusu ekari.
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Je, wajumbe wa kamati kuu CHADEMA wataweza kuchomoka kwenye huu mtego?

    Mnara umenipa signal kuwa mchezo unakwenda kuisha kwa dau la milioni 10 kwa kila mjumbe wa kamati kuu CHADEMA ili kwa sharti la kupiga kura kwa kipenzi cha Maza. Je, vipi hali ya uchumi ya wajumbe wa kamati kuu CHADEMA ? Watwaweza kuchomoka kwenye huu mtego?. Ijulikane mtoa pesa sio mjinga...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Rasmi BAWACHA wamemlipia Mbowe Milioni 1.5 fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Wakuu, Inaonekana BAWACHA wametimiza rasmi ahadi yao ya kumlipia Mbowe fomu ya Uenyekiti Soma pia: BAWACHA Pwani kutoa Tsh. Milioni 1.5 kumchangia fomu ya uenyekiti Mbowe Kundi la wanawake wanaomuunga Mkono Freeman Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa Chadema kwa kipindi kingine cha miaka...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yaipa Mt. Meru Hospital michango yenye thamani ya Tsh. Milioni 15

    Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mount Meru, imepokea dawa na vifaa tiba pamoja bidhaa zingine vyenye thamani ya shilingi million 15 kutoka kwa Watumishi wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Tanzania TAKUKURU kwa lengo la kusaidia kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa kabla ya Wakati. Akikabidhi...
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kumbe Rais anapewa Milioni 60 kila mwezi kufanyia chochote anachoona kinafaa? Utaratibu gani huu?

    Wakuu, Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS? Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720. Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini? Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Nauza viwanja Mbutu Kichangani Kigamboni Sqm 756 na 745 kwa Tsh. Milioni 20 tu

    Eneo lipo Mbutu Kichangani 25km kutoka ferry. Kila kiwanja milioni 10 tu. Maelezo ya ziada yapo kwenye video hapo chini. 0683445266 Mawasiliano
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Atoa Miezi Miwili kwa NIDA, Vitambulisho Milioni 1.2 Vilivyotengenezwa Kuwafikia Wananchi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa miezi kwa miwili Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhakikisha vitambulisho milioni moja na laki mbili ambavyo tayari vimeshatengenezwa vinasambazwa na kuwafikia Wananchi walengwa. Waziri Bashungwa amesema hayo leo Disemba 17...
  14. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu Shemsa Mohamed ashiriki harambee kanisa la KKKT na kuchangia milioni 33.2

    MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMIYU NDG. SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI HARAMBEE KANISA LA KKKT NA KUCHANGIA MILIONI 33.2 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameungana na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika harambee ya kuchangia...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shemsa Mohamed Ashiriki Harambee Kanisa la KKKT na Kuchangia Milioni 33.2

    MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMIYU NDG. SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI HARAMBEE KANISA LA KKKT NA KUCHANGIA MILIONI 33.2 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameungana na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika harambee ya kuchangia...
  16. Narumu newz

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Watu milioni 17.5 ni maskini nchini Ujerumani(DW)

    Utafiti uliochapishwa Jumamosi, umeonyesha kuwa watu wengi zaidi nchini Ujerumani, wanaokadiriwa kufikia milioni 17.5 wanaishi katika umaskini kuliko ilivyodhaniwa hapo awali. Hali hiyo imetokana na viwango vya juu vya kodi na gharama zinazohusiana na kodi za nyumba. Kulingana na data za Ofisi...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwekeza milioni 40 kwa miezi 3 , UTT, je inawezekana? Mfuko upi bora?

    Nataka niweke kama milioni 40 hivi kwa miezi mitatu, je itawezekana? Ni mfuko upi mzuri?
  18. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga yajitosa kwa Lameck Lawi, Coastal Union yataka Milioni 250 ada ya uhamisho

    Timu ya Coastal Union imepokea barua rasmi ya Klabu ya Yanga kumuhitaji beki wa kati Lameck Lawi, Coastal Union inataka millioni 250 kama ada ya usajili wa Lameck Lawi kutoka Yanga. Soma, Pia: Simba wakubali yaishe kwa Lameck Lawi, aanza kwenye kikosi cha Coastal Union dhidi ya Mashujaa FC...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mpanda: Tsh. Milioni 500 zatengwa kujenga Kituo cha Afya, fedha zimeisha ujenzi haujakamilika

    Ujenzi wa Kituo cha Afya Ugalla, Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi kimeshindwa kukamilika licha ya fedha Shilingi 500 kutolewa miaka mitatu iliyopita kutoka Serikalini. Kushindwa kukamilika kwa ujenzi wa kituo hicho imebainika ni kwa sababu ya vitendo vya ubadhirifu wa fedha huku ikibainika watu...
  20. K

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mradi wa Maji katika Kijiji cha Bukundi (Meatu - Simiyu) unaodaiwa kugharimu Tsh. Milioni 500 ulitoa Maji kwa miezi mitatu tu

    Sisi wakazi wa Kijiji cha Bukundi Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu, ambapo Serikali ilitekeleza Mradi wa Maji ambao tuliambiwa thamani yake ni Sh. Milioni 500 kisha ukafanya kazi kwa muda wa miezi mitatu tu, tunaomba kujua hatma ya mradi huu na huduma ya maji kwenye kijiji chetu. Mwaka 2016...
Back
Top Bottom