Habari mwanaJf....
Ipo hivi ili ushinde milioni 200 za jackpot betpawa ni lazima utumie Bilioni 12,914,016,300
Na ili upate milioni 10 lazima utumie milioni 159,432,300
Ipo hivyo maana yake ni
3^17 = 129,140,163 hii ni idadi ya machaguo unatakiwa ufanye ili upate tokeo moja correct kwa pick...