Kuna watu ni very smart asee, ama tuseme nibaraka, kuna sehemu nilipitia historia flani mzee akieleza biashara yake ya kwanza aliingiza faida ya dollar milion 1 kwa mwaka miaka hiyo ya 90s
Kwangu nimeona sio kawaida kwakuwa kupata japo $2000 kwa mwaka kama faida ningumu🤣
Kuna watu ni very...
Simba Bingwa wa CAF Confedaration 2025, namba za kinajimu zinamfavour simba kuliko Berkane mbaya zaidi wanacheza ardhi ambayo ina historia kubwa ya vita za gizani katika nchi hii.
Wachambuzi wengi wenye uelewa mdogo wa mpira wa miguu hasa africa utawasikia wanavyochambua kiufundi wa kimpira...
Wadau hamjamboni nyote?
The Trump administration is working on a plan to permanently relocate as much as one million Palestinians from the Gaza Strip to Libya, NBC News reports, citing five people with knowledge of the matter.
The plan is under serious enough consideration that the US has...
Msaani wa kitambo wa Bongo Flava anayejulikana kwa jina la Hussein Machozi ambaye kwa sasa anaishi nchini Italy anasema mwaka 2015 almanusura 'ampige chuma' aliyekuwa boss wa THT Ruge Mutahaba
Machozi alisema hivyo alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio
Machozi...
Kwema wakuu!
Uliweza kupata milioni moja (Tsh 1,000,000) yako ya kwanza ukiwa na umri gani?
Ulifanya kazi gani,uliuza nini ukaipata?
Unaweza pia kushare uliitumiaje?
Cc: Mshangazi dot com | Demi | Red black | Half american | Mallerina | Intelligent businessman
Na hii ipo zaidi kwa bongo, simu mpya nyingi zinatoka kwa kuongezewa features ambazo wabongo hawazitumii kabisa au nchi haina miundo mbinu yake. mashahidi ni nyie hata humu jamii forums jukwaa la tech lina wadau wachache,
Matumizi ya simu ni kupiga simu, kuchati, kusikiliza muziki, kurushiana...
Wakuu,
Kuna kituko cha kufungia mwaka huku :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
Pia soma: LIVE - Kuelekea 2025 - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Watu wenye uhitaji Maalumu leo wamejitokeza katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo kwa...
pata mkopo wa riba nafuu na haraka kutoka kfinance kwa wakazi wa Dar es salaam na Dodoma
tunakopesha wafanyabiashara na waajiriwa wa secta zote serikalini na binafsi,
Tunapatikana mbezi beach mtaa wa baraka
Kwa mawasiliano tupigie 0739799115
N:B: Sihitaji idea za PS, kamari, forex, bitcoin.
habari zenu wana tech, naombeni mnipe ideas
Nipo mazingira ya mjini
binafsi ni muajiriwa lakini ni mdau mkubwa sana wa side hustles
Nahitaji wazo au vifaa / huduma walau kuingiza elf 10 kwa siku,
niliwahi kufungua banda la games tatizo kubwa...
Mgombea Urais wa Republican, Donald Trump anaendesha Mazungumzo na Mmliki wa Mtandao wa X (Twitter), Elon Musk na hadi kufikia Saa 10 Kasoro usiku wa leo Agosti 13, 2024 watu waliofanikiwa kujoin ni zaidi ya Milioni 1.4.
Hata hivyo Elon Musk amelalamika kupata mashambulizi kadhaa ndani ya...
Utaratibu wa uchinjaji wa Wanyama katika machinjio na maeneo mbalimbali yanayotambuliwa
Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi inalinda afya ya jamii kitaifa na kimataifa kwa kusimamia usalama wa afya ya mifugo na mazao yake nchini. Jukumu hili hufanyika kwa kutumia Sheria na Kanuni...
Ichukue hii! Kiwanja kinauzwa milioni 1 na laki 5 kipo Bagamoyo
kipo kidomole Bagamoyo ukubwa wa 30 kwa 25 akipo mbali na barabara ni dakika 10 kufika kiwanja kilipo
hatutojutia hata kidogo ukinunua kiwanja hicho
Karibu sana
simu 0712815440
Je ? Una google play console account.
1. Nanunua google play console angalau kuanzia mwaka 1 na kuendelea(chini ya mwaka tutazungumza).
2. Nanunua google play console yenye live app kuanzia 1 na zaidi,keystore&password na source code.
3. Nanunua google play console yenye live app bila keystore...
Wakuu,
Wale watu Classic karibuni.
Coffee table ya Milioni 3, ipate kwa milioni 1 tu. Piga simu haraka. Sasa hivi.. Hii ni offer.
Mbezi beach Africana
Mawasiliano: Piga simu au tuma Meseji kwenda: 0713208669. Mungu akupe nini?
Klabu ya Simba imetozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la mashabiki wake pamoja na walinzi wake wa uwanjani (stewards)kupanga njama na kufanikisha azma ya kuingia uwanjani na kufanya vitendo vinavyoashiria imani za kishirikina wakati mchezo dhidi ya Mashujaa Fc ukiendelea kwenye...
Kuchukua video ama picha ya matukio ya ajali si jambo la kiungwana, lakini pia linakiuka haki ya faragha yao kulindwa na kuvunja sheria ya taarifa binafsi na faragha. Picha au video zinazochukuliwa zinaweza kuwa za kudhalilisha na kushusha utu wa watu waliohusika kwenye ajali hiyo.
Kwa upande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.