Wapalestina milioni 1 kuhamishiwa Libya permanently

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,252
Reaction score
9,307
Wadau hamjamboni nyote?
The Trump administration is working on a plan to permanently relocate as much as one million Palestinians from the Gaza Strip to Libya, NBC News reports, citing five people with knowledge of the matter.

The plan is under serious enough consideration that the US has discussed it with Libya’s leadership, the report says.

In exchange for resettling the Palestinians, the administration would release to Libya billions of dollars of funds the US froze more than a decade ago, NBC adds
 
Waislamu wa katavi wamepewa hizi Taarifa?
Ngoja waamke kutoka usingizini watabwatuka weeee na kutoa maneno ya ajabu!!
Kuna jemba moja sijui ilikuwa imekuwa Maharage ya jana ilisema “ wapalestina hawawezi kuhama” najua akisoma habari hizi atapata aibu sana. Adiosamigo mdogoye wenzenu sasa wanajiandaa kwenda Libya!!!
 
Habari kama hii huwezi kuisikia anaiongelea Ritz Adiosamigo mdogoye adriz hata kama ataiona sehemu lazima ataipotosha kwanza ndipo anawaletea. Hata sasa hivi wakiona habari hii wataumia mno!!!!

Kwa maoni yangu bora tu waondoke Gaza maana wameiharibu sana si sehem salama kuishi tena bora tu waende kwenye Makao mapya huko Libya mbali na adui yao Mkuu Israel na kama ni Ugaidi basi wakaufanyie huko!!
 
Kuna tofouti kati ya Hamas na raia wa kawaida. Hamas hawatoki Gaza we nenda kale nguruwe njombe ili uzidi kukosa akili.
 
Kumbe umeamka kaeni kwa kutulia watu Million moja si mchezo acha raia wema watoke ili magaidi washughulikiwe vizuri!!
Sawa we endelea kuota kama Hamas mtawashinda. Hamas ni level ingine we watu wanatumia silaha za.kila aina na leo miaka 2 hawajui lini watamaliza vita.
 
Habari kama hii huwezi kuisikia anaiongelea Ritz Adiosamigo mdogoye adriz hata kama ataiona sehemu lazima ataipotosha kwanza ndipo anawaletea. Hata sasa hivi wakiona habari hii wataumia mno!!!!

Kwa maoni yangu bora tu waondoke Gaza maana wameiharibu sana si sehem salama kuishi tena bora tu waende kwenye Makao mapya huko Libya mbali na adui yao Mkuu Israel na kama ni Ugaidi basi wakaufanyie huko!!
Kwann waondoshwe kwao??
 
Sawa we endelea kuota kama Hamas mtawashinda. Hamas ni level ingine we watu wanatumia silaha za.kila aina na leo miaka 2 hawajui lini watamaliza vita.
Wew hujui ugumu wa ile vita unaletwa na nn? Unazani hiyo hali itaendelea? Wamedanganywa na Trump wamwachie mateka Edon ili Marekani awashinikize Israel matokeo yake mateka kaachiwa akaenda kupeleka taarifa zote za mafichoni.
Tangu mateka Edon aachiwe kilae siku IDF inauwa watu 100 plus ikiwa ni pamoja na waliomsindikiza mateka na viongozi wao.
 
Kuna tofouti kati ya Hamas na raia wa kawaida. Hamas hawatoki Gaza we nenda kale nguruwe njombe ili uzidi kukosa akili.
Acha raia wema wasepe, hao hamas wabaki wenyewe vyuma vizito vizito vishushwe bila kubagua gaza igeuzwe juu chini, ikiwezekana gaza yote ipigwe na silaha za maangamizi na sumu kila kiumbe kilichosalia kigeuzwe majivu ianze upya..
 
Ardhi imejaa majangwani huko yanini kubanana hapo Gaza?

Waende huko wakajitwalie mapande makubwa ya ardhi walime, wafuge, wazaliane waongezeke may be 400 years later mungu wao atawarudisha Gaza.
 
Kwanini Waisrael wasiende? Wao si ndiyo wana shida na mahala pa kuishi!
 
Sasa wale punda wao wanaowatumia kama usafiri itakuwaje? Wakiwaachia hamas hao punda lolote laweza kutokea ikatokea cross bleeding ya hatari kati ya punda na hamas
Maana wote tunajua akili ya hamas ilivyo kupitia tukio la October 7
 
Back
Top Bottom