milele

Milele is an urban gospel and humanitarian group composed of Kanjii Mbugua, Harry Kiiru, Christian Mungai and Kaima Mwiti. The group formed after the longtime friends who were originally from Kenya met in Pomona, California at a prayer breakfast in 1998. Milele, which means "forever" in Swahili has performed alongside gospel artists like Andrae Crouch and Helen Baylor and recorded four albums, Forever, Level up, Afrique and their most recent recording, Monday. Apart from the music, Milele has also launched many campaigns in Africa with the purpose of providing means for impoverished African communities to gather strength to make steps towards better living standards.

View More On Wikipedia.org
  1. Tundu Lissu: Hayati Magufuli alisema ni kichaa peke yake anaweza kukubali mkataba wa miaka 99 bandari ya Bagamoyo

    Mimi nilikuwa namchukia sana Magufuli siwezi kumsingizia neno, "Magufuli alisema Mkapa na Kikwete wameuza nchi kwa mikataba mibovu akaanza kuivunja mikataba yote,tukashtakiwa" Tundu Lissu#MkutanoOkoaBandariZetuNyakanazi. "Magufuli alisema awa Wazee wameharibu sana nchi,tukamwambia...
  2. R

    Je, unaweza kumpa mtu nafasi ya kumiliki utambulisho wako milele kwa gharama ya Ksh. 7,000 (sawa na Tsh. 120,000/-)?

    Watu wengi wajitokeza katika maeneo mbalimbali jijini Nairobi, Kenya kuandikisha utambulisho wao wa kipekee kupitia mboni ya jicho kwenye Kampuni inayoitwa Worldcoins, ambapo kama malipo wanapewa sarafu za kidigitali zenye thamani ya 7,000 za Kenya na mpaka sasa zaidi wa watu 50,000...
  3. Mwalimu Mpwayungu Village aishi milele

    Kwa kazi nzuri iliyotukuka ya kuwatoa watoto wetu ujinga,mwanafunzi wake mmoja huko mikoa ya kusini ameona amkumbuke Kwa njia hii Mwanafunzi huyo ambaye ameajiriwa mwaka huu hapa Katavi wilaya ya Tanganyika ameamua kulitaja jina la mwalimu huyu nguri/nguli katika moja ya maswali yake Mwalimu...
  4. Ogopa Teknolojia: Nimeweka mkataba wa bandari kwenye Chat-GPT, Imejibu kwamba bandari zitakuwa za DP World Milele!

    Kwa wale ambao hamuijui Chat GPT, hii ni teknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Bandia), Kumekuwa na vuta nikuvute ya huu mkataba, wapo wanaosema mkataba huu ni halali wakiongozwa na spika wa bunge Tulia Ackson na msemaji Gerson Msigwa... Upande wa pili ndio hawa wanaofanya ishu itrend...
  5. Ungekuwa ujinga kumtaka kocha Nabi abaki Yanga milele

    Kila mtu hapendi aibu na kushuka. Hata Nabi na wachezaji wanaoondoka Yanga baada ya kuipa Yanga Mataji mengi na kucheza finali ya CAF wangependa kuondoka na sifa Yao hiyo kama ikiwezekana. Ukiona kocha, mchezaji au mfanyakazi yeyote anaendelea kubaki kwenye kituo chake Cha kazi kwa muda mrefu...
  6. T

    Naishauri serikali iwape tena DP world umiliki wa SGR yetu milele

    Kwa kuwa Watanzania wameonesha kukosa uwezo wa kuendesha reli zetu, mimi kama Mtanzania mzalendo tena kindakinda, natoa ushauri kwa serikali yetu tukufu waipe DP World watuendeshee SGR yetu. Tukiwapa reli yetu DP World tutapata mafanikio zaidi ya hayo tunayotarajia kuyapata kwa kuwapa bandari...
  7. Mkataba na DP World siyo miaka 100, bali ni MILELE

    Swali ambalo limeulizwa sana mkataba huu ni wa muda gani? Wapi palipoandikwa miaka 100? Au wapi palipoandikwa miezi 12 ambayo TPA wamesema? Jibu lipo kwenye kufungu cha 23(4) cha mkataba. Kifungu hicho kinasema mkataba ukishasainiwa, pande mbili za mkataba (serikali ya TZ na serikali ya Dubai)...
  8. Lissu: Tusipopata Katiba Mpya kabla ya Uchaguzi 2025, tunyamaze milele

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu amewataka watanzania kuungana na Chama hicho katika madai ya kupata Katiba Mpya kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa (2024) na Uchaguzi Mkuu wa 2025. Lissu ametahadharisha kuwa Katiba Mpya isipopatikana kabla...
  9. Kuna Vibaka nawaona kabisa wanakula Rada Dirisha la Gheto langu, tafadhalini nichagulieni Adhabu ya kuwapa ambayo hawatoisahau Milele

    Je, 1. Wakija Kuniibia nimsaidie Kazi Israeli ili wakayaanze Maisha yao mapya Kinondoni au Kisutu? 2. Wakija Kuniibia niwe tu Mpole wachukue watakacho 3. Wakija Kuniibia nivizie wa Kwanza kuingiza / kupenyeza Kichwa chake Dirishani Kwangu na nikitenganishe Kichwa chake na Kiwiliwili? 4...
  10. Serikali isipochukua hatua kali kwa Wafanyakazi wa TRA wanaotuhumiwa kwa rushwa, wafanyabiashara wataathirika milele

    Hima hima Tanzania.🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Waziri mkuu, Jana tarehe 17/05/2023 katika mkutano wako na wafanyabiashara wa k/koo asilimia kubwa ya wachangiaji waliwanyooshea kidole baadhi ya wafanya kazi wa TRA kwa RUSHWA iliyokithiri. Kilichonishangaza hukutoa Kauli yoyote Kali ya kushughulikia changamoto hiyo...
  11. Je, ni kweli Michael Jackson alikuwa analala kwenye chemba maalumu ili aishi milele?

    Hii haiwezi kuwa habari mpya sana kwa wengi wetu humu. Makala nyingi zimeandika habari hiyo kuwa ni kweli. Lakini mimi naijumuisha katika moja ya conspiracy theories. Ni kawaida sana kwa mtu mashuhuri kuwekewa habari nyingi za uongo kwa media ili ku catch attention ya watu. Kumbuka 27 Januari...
  12. Pamoja na udhaifu wake wote ilionao, ni kwanini CCM inaamini itatawala Tanzania milele?

    Hicho chama kinahusika kwenye kila madudu yanayotokea kwenye nchi yetu. Hakuna jambo baya kwa Watanzania ambalo halijatokana na CCM kuwa madarakani. Lakini CCM wenyewe kwa kujiamini kabisa wanasema kwamba watatawala Tanzania milele? Haya ni maneno yanayoonesha CCM ina kiburi cha uzima kiasi...
  13. Baada ya kufa sitaki niwe kwenye species ya waafrika, sitaki nakaataa milele

    Hapo vip!! Tokea nije katika sayari hii ya Dunia sijawahi kufurahishwa wala kupenda kuzaliwa katika jamii hii nyeusi ya kiafrika.Ni jamii ninayoichukia sana na angali nipo miongoni mwao. CHuki niliyozaliwa nayo dhidi ya jamii ya watu weusi imekuja kupaliliwa sana na mambo yafuatayo. Kwanza...
  14. Tuzikatae ndoa kila iliyo sasa,leo , kesho na hata milele hapa duniani

    Salaam JF, Hii ni kwa wale walio muelewa Dr Mwaka, kwa hekima na busara zake, tunaokataa ndoa tunakataa na sababu nzito tunazo sisi na hadithi ya Adam na Hawa pale bustani ya Eden ni toshelevu usipoelewa basi. Tenda wema kadri ya uwezo, penda, timiza, furahi. Wema usizidi uwezo. Wengine...
  15. K

    Baada ya kumsikia Tundu Lissu juu ya ukomo wa madaraka ni anasa kwa CHADEMA, imani juu ya upinzani imetoweka kabisa. CCM itawale milele

    Siku Daktari wa Sheria na Spika wa bunge Mhe.Tulia aliposema CCM haitoacha dola kamwe , kwa mara ya kwanza nilishtuka lakini baada ya kujiridhisha na hotuba nzima, nakiri kusema nukuu ya kipande hicho kinatumika kupotosha. Siku zote natumia kanuni ya Thomaso, kujiridhisha kwa kuona na baada ya...
  16. L

    Upinzani ujikite kutafuta viti vya ubunge na siyo kiti cha urais maana hicho ni cha CCM milele

    Ndugu zangu watanzania, Huo ndio ukweli wenyewe japo Ni mchungu na wakuudhi au kukasirisha au kukera au kuzichafua nyoyo za wapinzani, lakini ndio ukweli wenyewe wanaopaswa waujuwe na kuukubali tu,kiti Cha Urais wa nchi hii Ni Cha CCM Daima , Ni kiti kisicho jaribiwa Wala kufanyiwa majaribio...
  17. Hivi binadamu akiishi milele si maji na hewa na sehemu kubwa ya ardhi vitaisha ili kumtengeneza?

    Habarini. Ukiangalia mwili wa binadamu na wanyama utaona kuwa ni mpangilio tu wa elements ambazo zipo kwenye mazingira tunayoishi. Asilimia zaidi ya 60 ya binadamu anaundwa na Oxygen. Elements zingine zinazofuata ni Carbon, Hydrogen na Nitrogen. Zingine zilizopo kwa uchache ni sodium , potasium...
  18. Wanawake wahaya mbarikiwe alowafundisha kupapasa mgongo vizuri tukiwa juu aishi milele

    Wasalaam, Jamani Kwa uchache hio ni sifa nzuri ya wanawake wa kihaya hawaboi mpapaso au mtomasowao ukiwa juu kama wote huku akiviringika, naomba kwa heshima wanawake wa makabila mengine sio vibaya mkaiga. Wadiz nikiwa katika meditation ya penzi la kihaya
  19. D

    Kwa walioyafanya wanaojiita wanamapinduzi kwenye hii nchi ni dhahiri kabisa hii nchi itaendelea kuwa na laana ya milele

    Waliuwa watu karibu 20,000 kwenye mapinduzi yale na wanendelea kuua na kutesa watu hadi hi leo. Ni ngumu sana hii nchi kuendelea kwa Laana hii, hata tungekepewa rasilimali za ulimwengu mzima tungekua maskini tu. Kinachosikitisha zaidi ni kuona common Men wakishabikia mambo ya kikatilia kama haya.
  20. Ukweli mchungu: Kikwete family ni Royal Family watatutawala milele

    Babu yake alikuwa Akida sijui Liwali kwenye serikali ya kikoloni. Baba yake akawa DC kwenye serikali ya Nyerere. Mtoto mtu akawa Rais, na bado ana ushawishi. Mke wake ni mbunge. Mtoto ni naibu waziri na bado umri wake ni mdogo unamruhusu kupambana. Bado ana watoto wengine wanakua, wengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…