Nimeshangazwa na Viongozi wetu kutojua dhima ya mkutano au kusudio la mkutano wanaoshiriki. Mfano mzuri ni mkutano wa Leo pale Manyara Babati kwenye uwanja wa Tanzanite. Dhima kubwa ya mkutano ule au tuseme sherehe ile ilikuwa kumuenzi baba wa taifa, ila Viongozi wetu walikuwa tofauti na dhima...