mikutano ya hadhara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Mbowe: Mikutano ya hadhara haikufutwa na Magufuli peke yake

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema uamuzi wa kuzuia mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa haukuwa wa Hayati John Magufuli pekee, bali na uongozi wa chama chake- Chama cha Mapinduzi (CCM). Mbowe ameyasema hayo leo Jumapili, Januari 22, 2023 katika mkutano wa hadhara uliofanyika...
  2. Anna Nkya

    Mwenyekiti Mbowe, kweli Rais Samia amefanya mazuri ila sifa kwake zimezidi!

    Nahisi Mwenyekiti Mbowe amelewa, hii sio sauti yake ya kawaida. Ametumia mkutano huu kujisafisha kuhusu kulamba asali. Japo Rais Samia Suluhu anafanya vziuri lakini ametumia muda mrefu sana kumsifia. Is MBOWE OKAY?
  3. comte

    Siamini kuwa CHADEMA hawana watu wa kusema kwenye mikutano ya hadhara hadi wawasubiri Lissu, Lema, na Wenje

    Hawa vijana wa CHADEMA waliojazana humu na kutoa maneno ya kejeli kumbe ni bure kabisa. Ni bure kiasi kwamba hawawezi kuongea kwenye mikutano ya hadhara na ndiyo maana wameahirisha kuanza mikutano ya hadhara hadi Lissu, Lema, na Wenje waje.
  4. saidoo25

    Nape aonya waandishi mikutano ya hadhara

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewasihi waandishi wa habari kuepuka kuandika maneno yasiyo ya staha na kuegemea upande mmoja wakati wa mikutano ya vyama siasa iliyoruhusiwa na Rais Samia Suluhu Hassan hivi karibuni. Nape alienda mbali zaidi na kusema...
  5. Behaviourist

    Tujikumbushe wanasiasa wanaofanya siasa za matusi, na kashfa zilizosababisha mikutano ya hadhara ya kisiasa kuzuiwa

    Taarifa zilizotoka za kuruhusu mikutano ya hadhara ya kisiasa hapo majuzi zinadai kuwa mikutano hiyo ilizuiwa baada ya baadhi ya wanasiasa kufanya mikutano hiyo kuwa pango la matusi,kashfa na uchochezi. Hebu kwa uchache tukaone haadhi ya video za wanasiasa hao
  6. The Burning Spear

    Hoja za vyama vya upinzsni zitakuwa zipi wakianza mikutano ya hadhara?.

    1. Je wamponde Samia wamsifie magufuli ? AU 2. Wamsifie Samia wamponde Magufuli? AU 3. Wamponde Awamu zote za CCM? Naona wanawakati mgumu kupata hoja maana wananchi tunamini Katika Magufuli hatuna imani na samia Ila wapinzani hawaamini Katika magufuli Wana imani na samia. Nasubiri Kwa hamu...
  7. comte

    Katika dunia hii ya kidigitali kulilia mikutano ya hadhara ni ujuha wa kiwango cha ajabu

    Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano...
  8. BARD AI

    CHADEMA kuzindua Mikutano ya Hadhara Januari 21, 2023

    Siku tatu baada ya Rais Samia Suluhu Hassan, kutangaza ruhusa ya mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa, Kamati Kuu ya Chadema imeazimia kuzindua rasmi mikutano hiyo. Rais Samia alitangaza uamuzi huo, Januari 3, 2023 alipokutana na viongozi wa vyama vya siasa na alisema: “Uwepo wangu mbele...
  9. J

    Dkt. Slaa amshutumu Magufuli kwamba zuio la mikutano ya hadhara lilikuwa batili na haramu

    Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio. Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo. Msikilizeni Dr hapa chini.
  10. Erythrocyte

    Simbachawene atetea uamuzi wa kuzuia mikutano ya hadhara. Avuliwe Uwaziri!

    Waziri wa Nchi, Sera na Uratibu wa Bunge Simbachawene, ni miongoni mwa Mawaziri wa Serikali ya CCM ambaye anaonekana dhahiri kwamba hajaridhishwa na uamuzi wa kuondolewa kwa zuio batili la mikutano ya vyama vya siasa. Amenukuliwa leo akitetea uamuzi ule wa kidikteta uliojaa uoga na ushamba...
  11. saidoo25

    Naomba Clip ya Kinana, Chongolo au Shaka inayompongeza SSH kuruhusu mikutano ya hadhara

    Sikuwa kwenye eneo la mtandao ila hadi sasa sijaona Clip ya Mzee Kinana Makamu Mwenyekiti wa CCM, Daniel Chongolo, Katibu Mkuu wa CCM wala Shaka Hamdu Shaka Mwenezi wa CCM wakimpongeza Rais Samia kwa uamuzi wa kutangaza ruhusa ya mikutano ya hadhara. Kama ndugu zangu kuna yeyote mwenye nayo...
  12. R

    Nieleweshe tafadhali: Mikutano ya hadhara ya kisiasa unaomba kibali polisi au unatoa taarifa tu polisi?

    Kwa tamko la Rais, ili kufanya mkutano wa hadhara wa siasa, utalazimika kuomba kibali cha polisi au unatoa taarifa tu na unakwenda jukwaani kufanya mkutano wako? MY observation: Kama kuna kuomba kibali, basi tatizo bado liko pale pale! Polis kwa mazoea yao ya chuki za upinzani, hawatatoa...
  13. Roving Journalist

    Rais Samia aruhusu vyama vya siasa kufanya Mikutano ya hadhara

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzungumza na Viongozi wa Vyama vya Siasa Nchini, leo Jumanne Januari 3, 2023. Mazungumzo haya yanafanyika Ikulu, Magogoni - Dar es Salaam. VIONGOZI WAWASILI Viongozi mbalimbali wa vyama wameshawasili ukumbini, wakiwemo...
  14. R

    Rais Samia anaweza akastahimili lakini chawa wake anaweza asistahimili

    Rais Samia ameyasema hayo akiwa anawaambia viongozi wa vyama vya siasa wanatakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwasababu kutukanana siyo mila za kitanzania. Akisema kuwa yeye anaweza kuwa na upeo mkubwa wa ustamihilivu kama aliyokuwa nayo, sababu yanampata lakini anakaa kimya lakini chawa wake...
  15. M

    Chama cha Mapinduzi anzeni nyie mikutano ya hadhara

    CHAMA cha Mapinduzi CCM kinapaswa ndio kiwe chama cha kwanza cha siasa kufanya mkutano mkubwa wa hadhara katika Jiji la Dar es Salaam na baadaye Mwanza, Mbeya na Arusha kama sehemu ya kuzindua mikutano ya hadhara iliyotangazwa leo na Rais Samia Suluhu Hassan. Je, ni maeneo gani ungependa CCM...
  16. Nyankurungu2020

    Mikutano ya hadhara inayokiuka ibara ya 30 ya JMT ni ubatili wa kisiasa. Imeruhusiwa ili kupoza malalamiko ya ufisadi unaotamalaki nchini

    Kwani tatizo ni kuwa na mikutano ya hadhara? Tatizo ni namna inanvyovunja katiba ya ya JMT hasa ibara ya 30 ya katiba ya JMT inayotaka kutumia haki za kikatiba bila kuleta vurugu, kuathiri wengine n.k Sasa hivi zitaanza vurugu ambazo zitasababisha watu wasifanye kazi, matusi na virungu kuanza...
  17. LUS0MYA

    Ruhusa ya mikutano ya hadhara ni utashi wa watawala au imeshinikizwa na masharti ya wakubwa wanaotoa mikopo?

    Tanzania imefungua ukurasa mpya wa demokrasia kwa kurejesha haki ya wananchi kushiriki mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa.Tunachosubiri kuona ni je kweli kuna utashi wa kisiasa kuruhusu mikutano hii au ni shinikizo la wakubwa? Maana yake kama ni utashi wetu basi ruhusa hii itatolewa bila...
  18. K

    Je, Nyerere angeogopa mikutano ya hadhara?

    Siku sikia kabisa wakati wa awamu ya Mkapa mwalimu Nyerere akipinga hata mara moja mikutano ya hadhara. Sasa inashangaza miaka hii bado kuna watu wanaogopa upinzani kiasi cha kuwatumia polisi kunyima vibali vya mikutano. Mimi namshauri Raisi na serikali yake kuruhusu mikutano na kujibizana kwa...
  19. Dr Akili

    Ubelgiji, Ujerumani, EU na USA hakuna mikutano ya hadhara wala maandamano ya vyama vya siasa baada ya uchaguzi mkuu. Kwanini sisi?

    Kote duniani mikutano ya hadhara na maandamano ya vyama vya siasa hufanyika tu miezi michache kuelekea uchaguzi mkuu. Hata huko Ubelgiji, Ujerumani, EU na USA ndivyo mambo yanavyokuwaga. Baada ya hapo the winner takes it all na upinzani huhamia bungeni. Ndiyo maana ya demokrasia: the majority...
  20. BARD AI

    CHADEMA kuanza Mikutano ya Hadhara Desemba 2022

    Msimamo huo umetangazwa Wilayani Sengerema na Mjumbe wa Kamati Kuu, John Heche kwa maelezo kuwa suala hilo ni Haki yao Kikatiba. Heche amesema “Ndani ya mwezi mmoja ujao tutatangaza ratiba na kuanza mikutano ya hadhara, mwaka 2022 hautaisha bila CHADEMA kufanya mikutano ya hadhara ambayo ni...
Back
Top Bottom