mikopo

  1. Mikopo ya dhamana ya kadi ya bank

    Naomba kufahamishwa Kama nimeshindwa kulipa mkopo ambao dhamana yake ulikuwa ni kadi ya bank... Kisheria inakuaje??
  2. S

    Waziri Mwigulu, pitia huu uzi wa mwaka 2016 unaweza kukusaidia kupata vyanzo vya mapato kwa ajili ya Bodi ya Mikopo

    Oktoba 31 mwaka 2016, nilipendekeza vyanzo vya mapato kwa ajili ya Bodi ya Mikopo kupitia Jukwaa la Siasa(mada ilihamishiwa Jukwaa la Elimu)ingawa teyari mojawapo ya chanzo mwaka huu mpya wa fedha serikali imekifanyia kazi kwa kukitumia kama chanzo cha kodi(tozo kwenye ving'amuzi). Wanachokosea...
  3. Tahadhari: Ipo siku hewa tunayovuta tutailipia kodi ili ipatikane pesa ya kulipa mikopo chechefu

    Hii mikopo tunayobugia kwa pupa hivi tutakuja kuilipa kupitia puani. Tanzania yakopa Tsh trilioni 2.4 kutoka IMF Muda wa kulipa ukifika, tunaweza hata kuambiwa tulipie hii hewa tunayovuta, maana ni rasilimali ya serikali na tulipe kama tunavyolipa kodi ya ardhi. Unapimwa uzito wako kisha...
  4. Mikopo ya kimkakati ya Ku stimulate uchumi

    Kwa mtazamo wangu Mama anafanya Vizuri sana na pia najua kuwa sio kila kitu kinaweza kufanyika kwa wakati mmoja hata hivyo nimeona nichangie yafuatayo; Ili kuwa na makusanyo ya Kodi makubwa na ya uhakika na kutengeneza ajira nyingi kwa Vijana nafikiri ipo haja ya kutazama upatikanaji wa Mikopo...
  5. Tupeane updates kuhusu mikopo ya Mabenki

    Habari waungwana wa jf. Taarifa nying kuhusu mikopo kutoka Taasisi za kifedha nchini ( Bank) ni za muda Sana. Binafsi nafikiria kwenda kuomba mkopo CRDB au NMB. Naomba maoni kutoka kwenu wadau juu ya Mambo Kama. 1. Riba. 2. Masharti. 3. Ubora wa huduma n.k Mkopo ninaoomba dhamana...
  6. T

    Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

    UNAWEZA UKANUNUA KWA CASH AU MKOPO. TARATIBU ZA KUPATA MKOPO WA GARI NI KWA CHASIS NUMBER TU. ●mteja utalipa 50%ya pesa kama utangulizi ●Gari lazima ikatwe bima kubwa&car track(gprs)ndio Dhamana yetu ●Muda wamkopo kuanzia miezi3,6,9,12 kwa magari madogo ama binafsi,kwa magari ya biashara kama...
  7. S

    Hivi wabunge wanaovuliwa Ubunge mikopo yao hulipwa na Serikali au hukatwa kwenye malipo yao ya kiinua mgongo?

    Hili ndio swali ninalojiuliza hasa ninapotafakari nguvu kubwa inayotumika kuwalinda Halima Mdee na wenzake baada ya chama chao kuwavua uanachama. Kama wamechukua mikopo(bila shaka wamechukua), mikopo hiyo italipwaje iwapo watasitishiwa ubunge wao na ukizingatia wako wengi na mikopo ya wabunge...
  8. Ni kweli kwamba watumishi wasiopitishia mishahara yao benki ya CRDB hawana nafasi ya mikopo katika benki hiyo?

    Hili suala nimelisikia sehemu ndugu zangu wanajamii forum kwa mnaojua ukweli wa suala hili Basi mtujuze tusiojua vizuri.
  9. NIKOPESHE App ya mikopo, kuna anayeifahamu?

    Habari wana JF, Kuna mtu yeyote humu anayeifahamu au aliyewahi kuitumia hii App ya Nikopeshe? Wanatoa mikopo bila riba na unachohitaji ni namba ya NIDA tuu. Ushauri wenu tafadhali.
  10. Interview Rais Samia na Azam TV, azungumzia safari, Urais, Mikopo ya Miradi ya Magufuli, Ripoti ya CAG

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza na Tido Mhando wa Azam TV, leo Mei 4, 2022 RAIS SAMIA: HAKUNA FUNDI WA URAIS, HAUZOELEKI Rais Samia Suluhu Hassan amesema nafasi ya Urais haizoeleki kwa kuwa kuna mambo mengi. “Sidhani kama kuna mtu anaweza kusema ni fundi katika nafasi ya Urais, labda...
  11. Y

    Wadau naulizia benki au taasisi gani za fedha zinazotoa mikopo ya riba nafuu kwa wafanyabiashara wa kati na wajasiliamali

    Wadau naulizia taasisi gani au benki gani inayotoa mikopo ya riba nafuu kwa wajasiliamali au wafanyabiashara wa kati
  12. J

    Hussein Bashe amekutana na kufanya mazungumzo na Menejimenti ya Benki ya Equity nchini

    BASHE AENDELEA KUHAMASISHA TAASISI ZA FEDHA KUTOA MIKOPO YA RIBA NA MASHARTI NAFUU KWA WAKULIMA; UJENZI WA MAGHALA NA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI BAADA YA KUKUTANA NA MENEJIMENTI YA BENKI YA EQUITY Dodoma, Tanzania. Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe amekutana na kufanya mazungumzo na...
  13. Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

    Basic salary: 940,000 ...... Michango/makato yake Chakuhawata contribution 5000 PSSSF 47,000 PAYE 94,200 Nmb bank loan 42,870,300 (451,266) NHIF fund employees 28,200 ...... NET AMOUNT DUE.. 314,333.68 Tshs
  14. V

    Kwako Waziri Bashe: Je, mpango wa kuwakopesha wakulima fedha za kuendeshea shughuli za kilimo kupitia Mfuko wa Pembejeo upo kama ulivyotuaminisha?

    Salaam aleikum! Nitumie fursa hii kukupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya. Nikiri kwamba Wizara ya Kilimo imekuwa na mawaziri wengi, lakini wewe, umekuwa tofauti kwa uchapakazi wako. Maono na mipango ya Wizara unayosimamia unawagusa wakulima wa ngazi zote hususan wa ngazi ya chini na kati...
  15. Dkt. Kimei: Mchakato wa utoaji mikopo ya Halmashauri ufanyiwe tathmini

    Mbunge wa Vunjo, Dkt. Charles Kimei amesema Mchakato wa kulenga vikundi haufanyi kazi duniani kote akisisitiza, "Tutumie mbinu mpya kutoa mikopo hata kwa mtu mmoja mmoja. Kutoa kwa Vikundi inaleta ugumu katika uwajibikaji". Akichangia Mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi Ofisi ya Rais -...
  16. Hivi Benki kuna mikopo ya build to rent?

    Build to rent ni mikopo kwa wajasiliamali wa kupangisha nyumba. Hitaji la nyumba mijini ni kubwa sana. Chumba chenye ceiling board, ndani ya nyumba yenye umeme na maji kinafika 70-90,000 mjini Dar. Kiwanja katika sehemu unayoweza kuoangisha chumba 80,000 kinaweza kukugharimu milioni 10-15...
  17. CAG: Watoto wa Masikini wapigwa chini mikopo elimu ya juu, Watoto wa matajiri wala bata

    Hakuna wa kumlaumu kama kwa %kubwa wasiojiweza wamekosa mikopo ili hali wanavigezo. Kwani Mama Mwenye nyumba alishasema " hata watoto wenye uwezo nao wanufaike mikopo" yote hayo ni kupindua mambo aliyofanya Past President kwajuhudi alizokuw akifanya. Na kwasababu alitamki ulitegemea board...
  18. Aliyewahi kupata mikopo inayotolewa na Halmashauri atusaidie muongozo

    Wakuu nasikia halmashauri wanatoa mikopo kwa ajili ya vijana. Je, kuna yeyote humu ambaye amewahi kukopa. Atupe muongozo, kama vile masharti yao, riba zao,na kiwango wanachotoa, nk
  19. Waziri Nape Nnauye: Miamala ya simu kutungiwa Sheria iwe 'Dhamana ya Mikopo Benki'

    Serikali imeeleza kuwa ongezeko la matumizi ya miamla ya fedha kwa njia ya simu imewapa wazo la kutunga sheria kutambua njia hizo zitambulike ikiwezekana kwa kuangalia uchumi wa mtu na itumike kama dhamana wakati wa kukopa benki. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape...
  20. Iringa: Vijana waeleza wanatishiwa na wazazi wao wakitaka kuomba mikopo

    Imeelezwa kuwa kutokana na uelewa mdogo na hofu ya baadhi ya wazazi juu ya mikopo mbalimbali inayotolewa na Halmashauri na taasisi nyingine za kifedha imesababisha kurudisha nyuma maendeleo ya baadhi ya vijana katika Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa ambao wamekuwa wakizuiwa na wazazi wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…