Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Kuna mtu anauliza taasisi ipi inatoa mikopo kwa wastaafu na terms zikoje.
Inashangaza! We ulikuwa wapi wakati wenzio wanafanya biashara kipindi wapo kazini? Kwahiyo kiinua mgongo kimeisha? Au kama kawaida yenu waalimu kupenda kukopa? Au mademu wamekupigq na kitu kizito? Kubwa jinga!Kuna mtu anauliza taasisi ipi inatoa mikopo kwa wastaafu na terms zikoje.
Akili yako unaijua mwenyewe na ujimga wako kama uliona haifai si ungekaa kimya badala ya kujidhalilisha akili yako.Inashangaza! We ulikuwa wapi wakati wenzio wanafanya biashara kipindi wapo kazini? Kwahiyo kiinua mgongo kimeisha? Au kama kawaida yenu waalimu kupenda kukopa? Au mademu wamekupigq na kitu kizito? Kubwa jinga!
Sawa mwalimu! Vp umepata feedback?Akili yako unaijua mwenyewe na ujimga wako kama uliona haifai si ungekaa kimya badala ya kujidhalilisha akili yako.
Mkuu VP ulipata nicheki tuyajenge ZaidKuna mtu anauliza taasisi ipi inatoa mikopo kwa wastaafu na terms zikoje.