mikono

Mykonos Airport (IATA: JMK, ICAO: LGMK) is the international airport of the Greek island of Mykonos, located 4 kilometers from the town of Mykonos. It serves flights to domestic and European metropolitan destinations due to the island being a popular leisure destination.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake nimenyosha mikono juu! 😅😅😅

    😅😅😅😅😅kwanza nchekeee!! Mshikaji wangu Homeboy alikuwa na Demu hapo Mwanza Town so alikuwa amepata demu mkali wa Kisukuma bomba sana. Waliishi mida mida hivi kama miaka miwili hivi. Wakisaidiana maisha yanaenda kimtindo. Ofcourse mwanamke alikuwa na vikazi vyake vya hapa na pale anapata kipato...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya uzalendo kwenye mioyo ya watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe

    Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwa Sasa kuwa mh Rais mama Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo kwa watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe. Watanzania kwa Sasa wanaridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais wetu na dhamira yake katika kuijenga Tanzania iliyo...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mikono yako ni lango la baraka zako, ichunge sana mikono yako

    Mikono yako ni lango eidha la kupitisha baraka au la kupitisha laana kwenye maisha yako. Tunapata utajiri kupitia mikono, tunapata afya kupitia mikono, tunapata umasikini kupitia mikono na tunapata magonjwa kupitia miko. Tuichunge mikono yetu kwa kuiombea, kuinawisha kwa maji ya upako/ ya...
  4. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Maana ya Mistari ya mikono ya kushoto na kulia, picha na decoding

    Usomaji wa alama za viganjani ulianzi nchini India na sasa ni maarufu sana duniani kote kama njia ya mtu kujua hatima ya mtu hapa ulimwenguni. Usomaji hufanyika kwa kuangalia mistari, umbo la kiganja na rangi pia. Mistari hiyo kama inavyoonekana kwenye picha hapo mwanzo inawakilisha vitu...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ten Hag anyoosha mikono, ataka Ronaldo aondoke Man United

    Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag inadaiwa kuwa amebadili mawazo yake na anataka Cristiano Ronaldo aondoke klabuni hapo baada ya awali kunukuliwa akisema kuwa Mreno huyo yupo kwenye mipango yake Taarifa za ndani ya klabu hiyo zinaeleza kuwa imekuwa ngumu kwa Ten Hag kufanya kazi na...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nimenyoosha mikono juu Chaaaaaaaa

    Kumbe kule Misri huo usajili mpya tulioambiwa kocha mzungu hajaupenda ni Moses phri na siyo Akpan Kwa mwalimu keshaona Phiri mkali kuliko mzungu wake aliyemleta basi bora amchomeshe tu benchi na kwaweka kina kiyombo na boko ili Dejan aonekane bora zidi yao Kiuhalisia team haina namba 9 wala...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Taiwan iko kwenye hatari ya kuingizwa mkenge ikawa kama mikono na damu itakayotumiwa na Marekani kujaribu kuidhoofisha China Kijeshi na kiuchumi!!

    Marekani iko katika vita ya kiuchumi na kijeshi na China lakini haiko tayari kutumia mikono na damu ya Wamarekani, kama ilivyokuwa kwenye vita ya kiuchumi na kijeshi na Urusi lakini haikuwa tayari kutumia mikono na damu ya Wamarekani. Kama ambavyo Ukraine iliingizwa mkenge ikajikuta katika...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nimenyoosha mikono juu

    Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya saa 11 asubuh moyo unauma natamani kuwe usiku tu tulale tusiamke. Sina namna siwezi kumlazimisha...
  9. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Dola ya marekani inaanguka katika mikono ya Biden kama ccm ilivyotaka kuanguka 2015 katika mikono ya Kikwete

    Salama wandugu, Ikumbukwe Kwanza kwa Nini Dola ya marekani ina nguvu katika biashara ya kimataifa, Katika ajenda za muasisi wa Taifa la marekani George Washington ya Kwanza ilikuwa kuifanya Dola kuwa na nguvu duniani yaani hata Kama wewe unataka kuuza viazi mbatata katika soko la dunia utauza...
  10. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Marioo kashashindikana! Unyama alioufanya kwenye Dear Ex nimemnyooshea mikono

    Nisiwe na maneno mengi hebu usikilize afu utoe maksi zako
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kukadiria kiasi cha mlo kwa kutumia mikono yako

    Mikono yako inaweza kutumika kukadiria kiasi cha chakula unachotakiwa kula kwa mlo mmoja. Ufuatao ni muongozo wa kukadiria kiasi cha mlo kwa kutumia mikono kama kipimo: 1. Vyakula vya nafaka, mizizi na ndizi kama vile ugali, wali, viazi: Kiasi sawa na ukubwa wa ngumi moja 2. Matunda Kiasi cha...
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe kwa kuwa umerudi CCM na kujinasibu wewe una mikono safi basi rejesha bil 46 ulizokwapua kupitia ubalozi wa Libya

    Ripoti za ndani kabisa zinaonyesha kuwa hakuna kampuni yoyote ile iliyopokea mkopo wa bil 46 ili iweze kujenga kiwanda cha saruji huko Lindi. Ripoti za ndani zinaonyesha wewe ukiwa waziri wa nje ulifanya janjajanja na hizo pesa zikakwapuliwa na hata huyu muwekezaji Meis industries hakupata...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Haikuwa offside kuzidi bega au mikono sio offside

    Tufahamu kwa undani offside rule. Mchezaji lazima azidi mwili sio mkono au bega.
  14. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Harmonize nimekunyooshea mikono juu you are talented..! Shuhudia collaboration mpya Marioo ft Harmonize..!

    Mimi nimeona nisiwe mnafki huyu mmakonde akitulia huwa anafanya unyama Sana, tangu asubuhi wimbo naurudia rudia tu. Japo marioo naye hajapoa lakini nachelea kusema harmonize kamfunika marioo Sana mule. Hii ni moja ya collabo bora Sana maana imejumuisha vichwa viwili na wala sio vilaza.. Kwa...
  15. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Njombe: Avunjwa mikono na miguu baada ya kukutwa na msichana

    Kijana anayefahamika kwa jina Benard Mkolwe mkazi wa kata ya Madilu, wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, amepigwa na kuvunjwa mikono na miguu baada ya kukutwa na msichana Sara Mgohole anayedaiwa kukutana naye nyumbani kwao kwa lengo la tendo la ndoa ikiwa ni siku ya kwanza tangu waanze mahusiano...
  16. John Haramba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba arudi nyumbani mikono mitupu baada ya kupotea kwa miaka 42

    Hiltan Kalugho mwenye umri wa miaka 94, amerejea nyumbani kwao nchini Kenya mikono mitupu baada ya kupambana Tanzania kutafuta maisha kwa miaka 42 bila mafanikio. Kalugho aliondoka Kenya mwaka 1980 na kumuacha mkewe na watoto saba na kuingia nchini Tanzania kutafuta maisha. ======== A...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kipanya leo: mikono inayosaidia watu ni mitakatifu kuliko midomo inayosali.

  18. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zinaungana mikono kuonesha moyo wa mshikamano na kujiendeleza

    Rais Xi Jinping wa China hivi karibuni aliutumia barua mkutano wa 35 wa wakuu wa Umoja wa Afrika, akipongeza moyo wa mshikamano na kujiendeleza ulioonyeshwa na nchi za Afrika chini ya uongozi wa Umoja wa Afrika, pamoja na juhudi zao zisizo na ukomo za kujitafutia njia za maendeleo zinazolingana...
  19. Mtondoli

    JamiiForums Tanzania Benki ya Kilimo Tanzania haina faida yoyote kwa Mkulima

    Wadau wenzangu wakilimo hiki kinachoitwa benki ya kilimo naona Kama hakina tija yoyote kwa mkulima halisi,najua mkulima yupo kijijini Lyazumbi, Katonto,Muze,Mtowisa,Chikumbulu huku au Ngulugulu huko Ileje ndani na vijiji vyote vinavyohusika na kilimo hawana taarifa na namna ya kunufaika na benki...
  20. dyuteromaikota

    JamiiForums Tanzania Nawa mikono ukitoka chooni

    Acha uchafu. Watu sehemu za bata hawanawi mikono kila watokapo maliwato. Anakuja mezani anataka mgonge mikono ukiongea point. Mi ntakwambia gonga meza. Mazafantaz. Enjoy your sunday.
Back
Top Bottom