Nimenyoosha mikono juu Chaaaaaaaa

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Kumbe kule Misri huo usajili mpya tulioambiwa kocha mzungu hajaupenda ni Moses phri na siyo Akpan
Kwa mwalimu keshaona Phiri mkali kuliko mzungu wake aliyemleta basi bora amchomeshe tu benchi na kwaweka kina kiyombo na boko ili Dejan aonekane bora zidi yao

Kiuhalisia team haina namba 9 wala sita

Kuhusu mazoezi ya wazi kuhudhuriwa na mimacho ya kila aina hapo Uzungu wa viongozi naona umeshika hatamu acha sisi wenye imani za kale tunyamaze maana tumezidi ushamba

Kufungwafungwa na utopolo hivi inauma sana lakini kuna wachezaji wengi simba hata hawajali kama Inonga nafikiri kwa sasa anahisi yuko kwenye show ya bongo fleva inabidi tuwachangamshe kwa matusi kidogo kwenye social media zao akili ziwarudi sawa

ONYO: bata bullets siyo wepesi hata tukivuka, waangola siyo wepesi au wazambia kwa mwendo huu wa subs za kocha kumtoa chama tutarajie maafa naona alidhani bado yuko pre season

Tunawazomeaga utopolo na points zao 0.5 za caf lakini mwaka huu wanawapiga wale vibonde wa south sudan wakipita kwa al hilal kuingia makundi wanaanza kusogea juu meanwhile kama mzahamzaha huu wa kumtenga Phiri na kumtegemea kiyombo na dejan utaendelea ,dah aiseee .he
 
Kumbe kule Misri huo usajili mpya tulioambiwa kocha mzungu hajaupenda ni Moses phri na siyo Akpan
Kwa mwalimu keshaona Phiri mkali kuliko mzungu wake aliyemleta basi bora amchomeshe tu benchi na kwaweka kina kiyombo na boko ili Dejan aonekane bora zidi yao

Kiuhalisia team haina namba 9 wala sita

Kuhusu mazoezi ya wazi kuhudhuriwa na mimacho ya kila aian hapo Uzungu wa viongozi naona umeshika hatamu acha sisi wenye imani za kale tunyamaze maana tumezidi ushamba

Kufungwafungwa na utopolo hivi inauma sana lakini kuna wachezaji wengi simaba hata hawajali kama Inonga nafikiri kwa sasa anahisi yuko kwenye show ya bongo fleva inabidi tuwachangamshe kwa matusi kidogo kwenye social media zao akili ziwarudi sawa

ONYO: bata bullets siyo wepesi hata tukivuka, waangola siyo wepesi au wazambia kwa mwendo huu wa subs za kocha kumtoa chama tutarajie maafa naona alidhani bado yuko pre season

Tunawazomeaga utopolo na points zao 0.5 za caf lakini mwaka huu wanawapiga wale vibonde wa south sudan wakipita kwa al hilal kuingia makundi wanaanza kusogea juu meanwhile kama mzahamzaha huu wa kumtenga Phiri na kumtegemea kiyombo na dejan utaendelea ,dah aiseee .he
 
Kiukweli kwa yule mzungu tumepigwa....

Kibaya zaidi ni kufungwa na utopolo...
 
Kiukweli kwa yule mzungu tumepigwa....

Kibaya zaidi ni kufungwa na utopolo...
basi kama ilishindikana manzoki mbona ma striker afrika wako wengi? mzungu keshaanza ile michezo kaze aliwafanyiaga utopolo kuwa wakala wa kuleta wachezaji...ila dah agh
 
Nishaanza kuogopa kimataifa it seems like kocha hampendi Moses Phiri wala chama...na hata hajui jinsi ya kuwatumia okrah, chama, sakho,okwa kwa pamoja ndiyo maana matola kama kujifanya fala kwenye benchi halafu bado watu wanamlaumu, kapombe naye eti ni sub ya mwenda
Hatuna kocha pale
 
Back
Top Bottom