mikoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kibosho1

    Sababu zinazochangia mikoa ya kusini kudumaa kimaendeleo ni hizi

    Hapa nazungumzia mikoa ya Lindi Mtwara na Ruvuma Kwanza kabisa watu hawa wana utamaduni tofauti na wa mikoa mingine. Ni mikoa yenye wakosoaji wachache sana nchini,ni mikoa yenye maendeleo duni sana,ni mikoa ya mwisho mwisho kabisa. Huwezi kusikia mbunge fulani au mwanaharakati hata wa...
  2. K

    Siku Chadema ikishika madaraka,viongozi waandamizi wa serikali watatoka mikoa hii.

    Nikiangalia wapiganaji wa hiki chama ,napata picha kwamba siku chadema ikishika madaraka,viongozi waandamizi watatoka mikoa ifuatayo. 1.kilimanjaro 2.Mara 3.Arusha 4.Mwanza 5.kagera 6.Mbeya 7.Iringa.
  3. escrow one

    Rais Samia: Serikali haifikirii kuanzisha Mikoa na Wilaya mpya kwa sasa

    Rais wa JMT Mama Samia amesema kwa sasa Serikali yake haifikirii kuanzisha Mikoa na Wilaya mpya kutokana na hali ya kiuchumi ya Taifa letu kwa sasa. Akijibu ombi lililotolewa na Mbunge wa jimbo la Mbagala mkoani Dar es salaam aliyetaka jimbo hilo lipewe hadhi ya Wilaya, Rais Samia amesema hali...
  4. mgt software

    Video ya Aliyekuwa Rais awamu ya Tano hakikataa utitiri wa Mikoa, Awamu ya Sita anaweza kuipitia kama Funzo

    Wana Jf Kwa mara nyingi Marehemu JPM alisistiza na kukataa utitiri wa Mikoa, akadai wakati wananchi wanateseka na kodi kuzalisha, wao wanazunguka zunguka tu na matumbo. Ona wenyewe
  5. Cannabis

    TANESCO: Mikoa 11 kukosa umeme kwa masaa 12 tarehe 15 Novemba 2021

    Mikoa 11 ya Tanzania itakosa umeme kwa saa 12 Novemba 15 mwaka huu kutokana na matengenezo yanayofanywa na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) katika njia ya kusafirisha umeme wa kilovolti 220 kutoka Kidatu hadi Iringa. Umeme utakatika kuanzia saa 12 alfajiri hadi saa 12 jioni ili kupisha...
  6. T

    UTEUZI: Chama cha Mapinduzi chateua Makatibu katika Mikoa 32 na Wilaya 168

    Hongera crdes wote kwa kuaminiwa na kuteuliwa kwenu hakika ni imani kubwa sana mmepewa na Mkt wetu Ndg Samia Suluhu Hassan kaitendeeni haki. === Nendeni kachapeni kazi ili kama Chama tuweze kutimiza matamanio na matarajio ya Wananchi wa Taifa hili, === Kasimamieni zile TZS 1.3 za IMF vizuri...
  7. Jesusie

    Mwenyekiti wa CCM-Tanzania afunga rasmi mafunzo ya makatibu wa Wilaya na Mikoa Jijini Dodoma

    Mwenyekiti wa CCM-Tanzania ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg Samia Suluhu Hassan amefunga leo rasmi mafunzo ya kuwajengea uwezo makatibu wa CCM ngazi ya Wilaya na Mkoa, Katika taarifa yake kwa Watanzani Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amesema...
  8. Replica

    Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 05, 2021: Inspector Mahita Mohamed atoa ushahidi

    Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe alitoa ushahidi wake. Jaji aliahirisha mpaka leo. Kuwa nami. ======= Jaji ameingia Mahakamani Kesi namba 16 ya Mwaka 2021...
  9. U

    Vitengo na Mikoa inayoongoza kwa RUSHWA za wateja katika shirika la TANESCO

    Katika vitengo vinavyoongoza kwa Rushwa katika ofisi nyingi za TANESCO ni katika mtiririko hapa chini kulingana na ukubwa wa TATIZO, na pia utaweza kufahamu mikoa ya KITANESCO inayoongoza kwa Rushwa 1. Kitengo Cha Kuungia wateja umeme kwamaana ya wenye nguzo na wasio na Nguzo: hichi ndo kitengo...
  10. peno hasegawa

    Ushauri: ~ Makatibu wa CCM wa wilaya na Mikoa wabadilishiwe vituo vya kazi kabla ya uchaguzi wa chama 2022

    Kuna makatibu wa CCM wilaya na Mikoa wasipobadilishiwa vituo vya kazi. Mapema na ksbla ya ichaguzi mkuu wavchama CCM 2022 watachagua mamluki na watu wasio na sifa. Pili wamekuwa miungu watu kwa chama na kwa wananchi. Ninashauri waondolewe mapema na kuweka wengine wapya na waadilifu.
  11. N

    Nini sababu ya mikoa ya Kusini kuwa salama sana kibinadamu?

    Nazungumzia Lindi na Mtwara haswa! 1. Kule husikii albino amechinjwa 2. Kule husikii wenye macho mekundu wameuawa kisa ni wachawi, 3. Kule husikii wenye upanja wamepigwa nondo ili zikatumike buchani 4. Kule husikii mtu amechunwa ngozi 5. Kule ni nadra kusikia wazazi, sijui mama, kutolewa...
  12. U

    Ni mikoa gani inaongoza kuwa na Moto mingi, ubishi mkubwa

    Nchii hii Kuna mikoa imejaaliwa maji na ukijani wa kufa mtu, mikoa inayopatikana katika nyanda za juu Mara nyingi unakuwa na vyanzo vingi vya maji yaani Mito, kwa leo labda tuangalie mikoa ya nyanda za juu kusini na mikoa ya nyanda za juu kaskazini. Naomba kuuliza mikoa ipi Ina Mito na vyanzo...
  13. Red Giant

    Hivi ingekuaje kama Wilaya au Mikoa ingepewa uwezo wa kusaka wawekezaji toka nje?

    Habari wakuu. Hivi ingekuwaje iwapo halmashauri za wilaya a mikoa ingepewa ruhusa ya kusaka wawekezaji popote duniani, kwa kujitangaza na kuwapa incentives zilizopo katika maeneo yao kama ardhi, kuwapelekea maji na kuwachongea barabara? Mfano labda wilaya ya Mbinga itangaze kuwa inahitaji...
  14. Shujaa Mwendazake

    CHADEMA yafika Mikoa 24 ya Tanzania Bara bila kukamatwa wala kuzuiliwa na Polisi

    CHADEMA wamefika mikoa 24 kati ya 26 Tanzania Bara bila kukamatwa na Polisi au kutolewa amri za DC na RC kuzuia mikutano na vikao vya chama katika Mikoa 24 sasa iwe kwa maagizo kutoka juu au kwa taarifa za kiintelijensia. Najaribu kuona kila jambo jema moja la Shujaa katika mabaya yake mengi...
  15. Leak

    Arusha na Kilimanjaro kuna shida? Kila kiongozi kwao ni mbaya?

    Nimekuwa nikijuliza maswali mengi sana kuhusu mikoa hii miwili ya Arusha na Kilimanjaro hasa majimbo ya Hai na Arusha Mjini ni kama watu wa haya maeneo ni watu parfect sana. Kila kiongozi anaye kuwa pale hasa kama hatokei kwenye milengo yao wanayoipenda au kuiamini basi huyo ni kiongozi...
  16. Kipenzi Changu

    Arusha: Ole Sabaya na wenzake wamefikishwa Mahakamani, kesi yaahirishwa

    Aliyekua DC wa Hai Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake leo wamefikishwa tena kwenye Mahakama ya Wilaya iliyopo Sekei Arusha, ili kujibu tuhuma zinazowakabili, Sabaya na wenzake wanakabiliwa na mashtaka matano. Itakumbukwa June 04,2021 Sabaya na wenzake walifikishwa Mahakamani hapo ambapo...
  17. Kiume3000

    Kwanini madereva wa mabasi ya mikoa wanasimamisha gari za abiria hotel za bei mbaya?

    Serikali yetu hembu tusaidieni sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inazidi shamiri sna kwa wale ndugu zetu wanao safiri mikoa ya mbali #Dar_to_mwnza, #Dar_to_mbya, #Dar_to_kgma, #Dar_to_Arusha kuna tabia na utaratibu wa mabasi walio jiwekea bila kuhofia abiria wao na sio rafiki kabisa...
  18. tutafikatu

    Rais Samia: Hospitali za Rufaa za Mikoa zinakufa

    Niliwahi kuandika mwaka 2016 kumsihi Mheshimiwa Rais Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli kwamba asizihamishe Hospitali za Rufaa za Mikoa kutoka TAMISEMI kwenda Wizara ya Afya, kwa sababu Hospitali hizi zilinufaika zaidi kiutawala zilipokuwa chini ya TAMISEMI...
  19. Replica

    Chamwino, Dodoma: Rais Samia Suluhu awaapisha Makatibu Tawala

    Jana Rais Samia Suluhu aliwasili mjini Dodoma na leo atawaapisha makatibu tawala aliowateua Mei 29, 2021. Pia Rais Samia aliwateua William Erio kuwa Afisa mtendaji mkuu wa FCC na Dkt. John Mduma kuwa mkurugenzi mkuu wa WCF. Kuwa nami. ========== Tulia Ackson: Wanawake hamkuteuliwa kwakuwa ni...
  20. Jaji Mfawidhi

    Historia ya uundwaji wa Mikoa Tanzania

    Tanganyika ilikuwa na majimbo 8 wakati inapata uhuru 1961. 1. Jimbo la Kati 2. Mashariki 3. Ziwa 4.Kaskazini 5. Nyanda za juu kusini. 6. Jimbo la Tanga. 7. Nyanda. MWAKA 1966 NYERERE aliunda mikoa 15 nayo ni:- 1. Kilimanjaro 2. Arusha 3. Pwani . 4. Dodoma 5.Tanga 6. Kigoma 7. Mara 8. Mbeya 9...
Back
Top Bottom