miguu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu Anaswa Miguu na kukatwa Jina na Kamati ya siasa ya Mkoa. Asubiria Maamuzi ya Kamati kuu.

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Ummy Mwalimu Waziri Mstaafu katika wizara mbalimbali ikiwepo wizara ya afya amejikuta katika wakati mgumu ,wakati wa mawazo ,wakati wa sintofahamu ,wakati wa mateso Ya moyo kibinadamu baada ya Jina lake kukwaa Kisiki na kukatwa katika vikao vya mchujo kamati...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waandamanaji wakicheza mpira wa miguu katikati ya Moshi wa Gesi ya kutoa machozi

    Waandamanaji wakicheza mpira wa miguu katikati ya moshi wa gesi ya kutoa machozi katika mitaa ya Nairobi wakati wa maandamano ya kumbukumbu ya Juni 25. Tukio hilo lilitokea katikati ya maandamano ya kitaifa yaliyoongozwa na vijana, hasa kizazi cha Gen Z, waliokusanyika kuadhimisha mwaka mmoja...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Ni kweli wapaka Rangi, wanaosafisha kucha na miguu chanzo cha Ndoa za watu kuvunjika?

    Wakuu hawa wanaofanya kazi ya kupaka rangi nakuwa osha miguu hasa jinsia ya kiume kunaweza kusababisha mtu akachepuka katika ndoa yake,kuna sehemu nimewoma jamaa anamwosha mdada miguu amemsogelea kabisa yaani "zero distance" sasa kun huyo jamaa ni mpaka rangi hapa mtaani kwangu, yeye anasema...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wamevuka mabahari yoooote, kuja kituuzia miguu ya kuku 🙄

    Yani miguu ya kuku 2000.Raisi wanatuonaje.
  5. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Polisi Trafiki komesheni ajali za wakimbia kwa miguu barabarani

    Polisi Trafiki waelimisheni wanaokimbia au kutembea kwa miguu barabarani watumie upande wa kulia ambao wanatazamana na vyombo vya moto vinavyokuja upande wao. Mara nyingi zimetokea ajali za watembea au wakimbia kwa miguu kugongwa na vyombo vya moto vinavyokuja nyuma yao kutokana na kutoviona.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tamko rasmi la mashabiki na wadau wa mpira wa miguu Tanzania

    TAMKO RASMI LA MASHABIKI NA WADAU WA MPIRA WA MIGUU TANZANIA Kuhusu Msimu wa 2024/2025 na Wito wa Mabadiliko ya Haraka TPLB Sisi kama mashabiki wa mpira wa miguu Tanzania, tunatoa tamko hili kutokana na kukithiri kwa dosari, vitendo visivyo vya kitaalamu, na uendeshaji mbovu wa Ligi Kuu...
  7. fact only

    JamiiForums Tanzania Mwanamke na Mwanaume kabla hamjatanuana miguu naomba mkumbuke haya

    Leo nikiwa kwenye safari zangu nimemuona mwanamke mmoja anamburuza mtoto mwenye umri wa miaka kama 3 au 4 na kumlazimisha mtoto atembee na mtoto alikuwa analia amechoka. Ikabidi nimsimamishe nimuulize vipi naona mtoto analia. Akanambia anaelekea Vingunguti na hana nauli hivyo wanatembea...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ngazi za jengo jipya hapa Msimbazi zamani DDC zimejengwa hadi eneo la watembea kwa miguu

    Jengo jipya hapa msibani zamani DDC wamejenga ngazi mpaka eneo la watembea kwa miguu hivyo kusababisha watembea kwa miguu kupita eneo la barabara jambo ambalo ni hatari.
  9. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Hii ya kukamata raia na kuwatesa, kuwatupa mabwepande kwa makundi ni tulikua tunasoma kwenye utawala wa idd amini

    Haijawahi tokea, polisi wanakamata raia wasio na kosa kwa sababu za kutoelewana kwa chama tawala na upinzani, na kwa amri kutoka juu, kukamata badala ya kupeleka watu kituoni wakafunguliwe mashitaka unapeleka kuwa jeruhi kisha kuwatupa maporini. Ukatili wa aina hiyo tunausoma kwenye utawala wa...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Historia ya mpira wa miguu

    Historia ya Mpira wa Soka (Football) Mpira wa soka ni moja ya michezo maarufu zaidi duniani, lakini historia yake ni ndefu na inajumuisha maendeleo mbalimbali kutoka kwa michezo ya zamani hadi kubuniwa kwa sheria za kisasa. kwa mujibu wa Kitabu cha Historia ya MichezoGoldblatt, David (2006)...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Historia ya mpira wa miguu

    Historia ya Mpira wa Soka (Football) Mpira wa soka ni moja ya michezo maarufu zaidi duniani, lakini historia yake ni ndefu na inajumuisha maendeleo mbalimbali kutoka kwa michezo ya zamani hadi kubuniwa kwa sheria za kisasa. 1. Asili ya Soka: Asili ya soka inatokana na michezo ya zamani kutoka...
  12. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mimi mlemavu sina miguu, natumia baiskel, kuna baba mmoja ananijali, Anaishi mtaani kwetu

    Samahani kaka magical power. Mimi naomba nisaidie kisheria au kimawazo. Mimi nikilema sina miguu huwa natumia baskel Hata kutembea natumia baskel kama naenda mbali huwa kuna kijana namuomba ananisukuma. Sasa kuna baba mmoja huwa ananipa msaada. Mara anipe hela yani ananijali sana. Anaishi...
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukiona namna Majaji wanavyomnyoosha Trump Marekani alafu ukiwaangalia Majaji wetu wanavyowalamba miguu CCM unasema tu tupate Katiba Mpya

    Katika sehemu za Watu Wanaojielewa Duniani Mhimili wa Mahakama ndo Kimbilio la Haki kwa Wananchi Wote Mhimili wa Mahakama ndo Chombo cha kuhakikisha Mamlaka ya Dola (Executive) na Bunge hayakinzani na Sheria pamoja na Haki. Mhimili wa Mahakama ndo chombo kinachopaswa kuhakikisha mamlaka ya...
  14. Holoholo

    JamiiForums Tanzania Ni njia gani nitumie ili mdogo wangu ajiunge na academy au timu yeyote ya Mira wa miguu nchini ??

    Wakuu, Ni mdogo wangu wa damu anaitwa Charles masanja ana umri wa miaka 12 anakiwasha sawa sawa anacheza nafasi zote za mbele namaanisha namba 8,9,10,11 na 7 Anakipaji kikubwa Sana,kipaji chake kimepelekea kuaminiwa ktk timu ya wakubwa na anacheza vizuri Sana Ndiyo zake ni kuwa mchezaji...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nyerere alikuwa na vimambo sana, eti shida ni kama miguu ya jongoo

    "Lakini hata shida hizi ziweje kwa ukubwa, zaweza kuondolewa. Shida zenyewe ni kama miguu ya jongoo tu. Mtoto wa jongoo alimwuliza mama yake: "Mama, mbona nina miguu mingi, je nianze kwenda kwa mguu au miguu ipi?" Nasi hapa tulitoe jibu hilo hilo la mama jongoo kwa mwanawe : "Nenda mwanangu...
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ukiona unachexa na Simba UJUE unapambana na BODI ya LIGI laamaana mjilinde miguu YENU KUFUNGWA akukwepeki ila afya zenu zibaki imaraa

    Mjitahidii kulinda miguuyenu Kwa sasa mnapochexa na Simba mjue mnavhexa na BODI ya LIGI Msijisahau mkajua mnachexa na Simba mtaliwa kiboga mapemaa Otherwise all dbest
  17. kingphisher

    JamiiForums Tanzania Msilete siasa kwenye mpira wa miguu

    Nasikia huko watu wakijifariji et ooh, mechi ya simba na Yanga ikipangwa hafu mgeni rasmi awe "MAMA" yanga wataogopa na kukubali kucheza. nimeshindwa kujua huyo mMama ni nani, na wanaiongelea mMama gani, yupi. ameikuta Yanga au Yanga imemkuta? sijajua huyo mmama ni nani. Mpira wa miguu...
  18. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Sheikh alalamika kutembea kwa miguu

    Amewataka waislamu wawajari
  19. Mowwo

    JamiiForums Tanzania Sheria mpya ya mpira wa Miguu

    Wakuu kuanzia msimu ujao Goalkeeper akikaa na mpira wakati wa mechi kwa sekunde 8 au zaidi ili kupoteza muda Timu pinzani itapewa kona(cornerkick) na refa wa mchezo husika. Mnaonaje sheria mpya iliyopitishwa na International Football Association Board (IFAB) itakayoanza Rasmi msimu ujao...
  20. Mikhail Tal

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na ganzi kwenye vidole vya mkono na hivi karibuni imesambaa kwenye miguu, shida inaweza kuwa nini hapa?

    Hii shida ilianza taratibu mwezi wa 12 mwanzoni ilianzia kwenye ncha za videle vya mkono. Nilijua itapona yenyewe ila sioni dalili. Wiki moja iliyopita naona ni kama inahamia kwenye nyayo na vidole vya mguu. Nilienda hospital, wakafanya full blood picture, cholesterol, sugar, urinalysis n.k...
Back
Top Bottom