mifugo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ushimen

    New Government Jobs UTUMISHI At TARI & Wizara Ya Mifugo na Uvuvi, May 2021

    JOB VACANCIES Click below to download PDF file: APPLICATION INSTRUCTIONS
  2. Kididimo

    Ili kuboresha Sekta za Kilimo na Mifugo nchini, Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Ma-DED watokane na Maafisa Mifugo au Kilimo

    Ni ukweli usiopingika kuwa Ili Uchumi wa Viwanda katika nchi yetu uimarike, ni lazima tutegemee Mali ghafi zaidi zinazotokana na Kilimo na Mifugo. Hivi sasa uzalishaji wa mazao ya Kilimo hasa yale ya biashara mfano kahawa,pamba, mkonge, na mengineyo umeshuka sana kipindi cha karibuni. Hali...
  3. Godfrey Sway

    Kilimo cha Azolla kwaajili ya chakula cha mifugo

    Azolla bado imeonesha kushika kasi hasa katika ufugaji wa kuku, samaki, ng'ombe mbuzi sungura na nguruwe kwan inapunguza kiasi kikubwa cha gharama ya chakula pia inaongeza ukuaji na afya ya wanyama. Azolla ina protein kubwa sana kwa ajili ya ukuaji wa wanyama. Kwa mahitaji ya mbegu ya Azolla na...
  4. D

    Biashara ya mifugo (ng'ombe, mbuzi, kondoo n.k)

    Ndg wana jf hope sote tu wa afya njema baada ya hekaheka za wiki nzima. Naomba mwenye EXPERIENCE ya kutosha na hii biashara ya Mifugo hasahasa Ng'ombe kuwaleta Dar kutoka Mikoani kama inalipa coz nimewahi enda pale PUGU Mnadani wakati wa Christmas angalau nijitafutie Mbuzi wa kumtafuna na...
Back
Top Bottom