miezi

Normunds Miezis (born 11 May 1971) is a Latvian chess Grandmaster (1997).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kagame hakuja msibani kumzika rais wetu, na alikaa miezi siku nyingi sana kabla hajatupa pole, Rais Samia unakwenda Rwanda kufanya nini?

    Nchi yetu ilifikwa na msiba wa kufiwa na rais, baada ya kufiwa immediately tulipokea salamu za rambirambi kutoka kwa maraisi wa jumuia ya Afrika mashariki akiwemo mzee Museveni, Rais Kenyata, Rais Ndaishimiye, Lakini Kagame ilimchukua siku nyingi sana takriban miezi miwili kabla ya kuwapa pole...
  2. M

    Miezi 9 imetimia lakini mtoto hajageuka tumboni

    Habari wandugu! Poleni kwa majukumu! naomba kujua au kueleweshwa kama kuna madhara kutogeuka kwa mtoto baada ya miezi kutimia. Tulifanya utrasound dk akatujuza kwamba mtoto hajageuka na hamna madhara yoyote atageuka tu! Sa sjaelewa vizuri, anatutia moyo au la! Nina hofu sana jamani.
  3. Natafuta Bwana/Bi Shamba (Crop Production Specialist) wa kusimamia shamba kwa muda wa miezi 6 kuanzia Oktoba 2021

    Natafuta Crop Production Specialis wa kusimamia shamba langu lililopo Dodoma eneo la Zuzu nje kidogo ya Jiji la Dodoma. Shamba hilo ni jipya (halijawahi kulimwa) litaanza kulimwa kuanzia Oktoba 2021. Kazi ya kusimamia shamba hilo itaanza mwezi Oktoba 2021 na itaendelea kwa muda wa miezi 6...
  4. Watoto 981 katika Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, wamepatiwa ujauzito ndani ya kipindi cha miezi sita

    Watoto 981 katika Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, wamepatiwa ujauzito ndani ya kipindi cha miezi sita kilichoanzia mwezi Januari mwaka huu. Kutokana na kitendo hicho cha ukatili wa kijinsia, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwanaidi Ali Khamis, ameagiza...
  5. Miezi 4 bila Hayati Magufuli: Kwanini Magufuli aliweza kuijenga nchi bila tozo ya mshikamano?

    MIEZI 4 BILA JPM:KWA NINI RAIS MAGUFULI ALIWEZA KUIJENGA NCHI BILA TOZO YA MSHIKAMANO!? Leo 12:50hrs 18/07/2021 Mwana wa kweli wa Afrika, Son of the soil, Hayati Rais Dr. John Pombe Magufuli,ndani ya miaka mitano aliifanya Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati bila tozo ya mshikamano akifanya...
  6. Wizara ya Maliasili yasitisha tozo za Loji, kambi za huduma za kitalii katika Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwa miezi mitatu

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk.Damas Ndumbaro amesitisha tozo ya pango ya ardhi kwa loji na kambi za huduma za kitalii katika Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwa kipindi cha muda wa miezi mitatu kwa lengo la kutoa ahueni kwa Wadau wanaotoa huduma hizo kukabiliana na athari za ugonjwa wa UVIKO 19...
  7. Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amejisalimisha kwa Polisi ili kuanza kutumikia kifungo cha miezi 15 jela

    Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma amejisalimisha kwa polisi ili kuanza kutumikia kifungo cha miezi 15 jela. Wakfu wa Zuma Foundation uliandika katika mtandao wake wa Twitter kuwa kiongozi huyo ameamua kuheshimu agizo la korti na kwamba alikuwa njiani kuelekea katika kituo cha polisi...
  8. Miaka 6 ya Hayati Magufuli mshahara uleule, miezi 3 ya Rais Samia Suluhu mshahara wangu umebadilika

    Habari, Ndani ya miaka 6 ya Magufuli niliambulia annual increment moja tu ya November 2017, ambacho ni kiasi kidogo sana. Kwa ufupi mshahara haujaongezeka katika kipindi chote hicho. Miezi 3 tu ya Rais Samia Suluhu salary slip yangu pale juu imebadilika. Watu wa imani tunaamini kuwa mateso...
  9. A

    Umuhimu wa kufundisha watoto kuogelea kuanzia miezi mitatu

    Mtoto huwa anaishi kwenye maji ndani ya placental. Hujigeuza na huzoea mazingira yake. Anapozaliwa humchukua muda mfupi kuzoea hali ya duniani, kipindi hiki mtoto analia sana hasa akihisi baridi ya usiku. Miezi mitatu mtoto anakua amepashapata chanjo za awali na ameanza kujenga adopted immune...
  10. Miezi sita watu wanapambana na kivuli cha Diamond, sasa kakirudia kiti chake inabidi wawe wapole

    Diamond amejijenga Sana kimziki Hilo halina ubishi, inawezekana kuna mapungufu pia , hata hvyo katengeneza team work yenye nguvu Sana ,.... Kwa sku za hvi karibuni kapigiwa kelele Sana negatively, kelele hzo hazijaathir chochote career ya mshikaj , Sana Sana zimempa hipe kubwa Zaid, .... ...
  11. Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ahukumiwa kifungo cha miezi 15 gerezani

    Mahakama ya Juu zaidi Nchini Afrika Kusini imemhukumu aliyewahi kuwa Rais wa Taifa hilo, Jacob Zuma kifungo cha miezi 15. Uamuzi huo umekuja baada ya Mahakama ya Kikatiba kumkuta na hatia ya kudharau Mahakama baada ya kukaidi agizo la kufika kwenye Uchunguzi wa Ufisadi wakati akiwa Rais. ======...
  12. J

    Rais Samia kupokea ripoti ya miezi mitatu (Januari-Machi) ya Benki Kuu kutoka kwa CAG

    Rais Samia amesema CAG ameshakamilisha ripoti ya CAG kuhusu Benki kuu kwa kipindi cha kuanzia January hadi March 2021 na ataikabidhi kwake siku ya Jumatano au Alhamisi. Umma utaelezwa yaliyomo ndani ya ripoti hiyo, amesisitiza Rais Samia. Chanzo: ITV
  13. 'Suluhunomics' kwa miezi mitatu tayari karejesha confidence kwenye uchumi 'Bishana na namba'

    Niliwahi kuandika hapa jukwaani na ntazidi kuandika. Ukitaka kukuza uchumi wa nchi tengeneza mazingira ya watu kujisikia wapo huru, hawabughudhiwi, wanajiskia kutendewa haki, hata uzalendo wa watu kwa nchi yao unakuwa mkubwa endapo mtu unahisi kwamba unatendewa haki. Na hi ina apply hata kwa...
  14. Magufuli alifariki miezi 3 iliyopita lakini unaweza kudhani alifariki kabla ya Nyerere

    Juzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.
  15. Je, Mtumishi wa Umma anaruhusiwa kuacha kazi kwa notisi ya miezi mitatu?

    Ningependa kujuzwa ni taratibu zipi za kufuatwa kwa mtumishi wa umma mwenye ajira ya kudumu? Je, anaruhusiwa kutoa notisi ya miezi mitatu?
  16. Ushauri: Naweza msafirisha Mjamzito wa miezi 7?

    Naomba ushauri kwa wazoefu, wataalamu, wajuzi n.k Amebakiza miezi 2 kwa makadirio. Ni safari ya almost 8Hrs, kutoka Dar kwenda mkoani. Tayari nipo out of time, safari hio ni either kesho/keshokutwa or never. Kama inawezekana, nini vya kuzingatia? NOTE: ni kwa njia ya Public transport/Bus.
  17. Serikali yakamata Wahamiaji haramu zaidi ya 1000 katika kipindi cha miezi 3

    Serikali imesema katika kipindi cha miezi mitatu imefanikiwa kukamata wahamiaji haramu zaidi ya elfu moja katika maeneo mbalimbali nchini. Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mh.George Simbachawene amesema hayo bungeni mkoani Dodoma. Amesema kwa sasa kuna operesheni maalum ambayo imeanza tarehe...
  18. J

    Ni aibu Chadema kutolipa Wafanyakazi mishahara kwa miezi 6 kwa kisingizio cha kukosa Ruzuku!

    Nimeshangaa chama kikubwa kama Chadema kinashindwaje kulipa mishahara ya watumishi wake!! Yaani pamoja na miradi yote waliyonayo Chadema pamoja na Ada za wanachama bado hamuwezi kulipa mishahara? Ruzuku haitolewi maalumu kwa ajili ya mishahara bali kusaidia ujenzi wa chama na hasa kueneza...
  19. Wilfred Mwalusanya Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Mbozi aachiwa huru baada ya kusota rumande kwa miezi 8

    Alikamatwa siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 na kupewa kesi ya uongo ya kutakatisha pesa na Uhujumu uchumi kwa amri ya CCM na DPP Biswalo Mganga, ambaye jana ameapishwa kuwa jaji wa Mahakama kuu. Leo ameachiwa huru baada ya Mahakama kuona kwamba Mashitaka yake yalikuwa ya uongo , ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…