miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Heshima uliyojijengea kwa miaka zaidi ya 50, usiiharibu kwa vipande 30 vya fedha

    Una heshima kubwa as one of the respected Chief Justice. Sasa kwa nini unataka kuharibu CV yako kwa upuuzi wa mtu mwenye uchu wa madaraka.. Jiangalie umebakiza miaka mingapi duniani? Achana na upuuzi huo , mtafute MUNGU sasa na si kuwafurahisha wenye uchu wa kuinyakua Tanganyika!
  2. JamiiForums Tanzania Mbona hii mission ya mwezini sijaielewa, ni kweli tuliwahi kutua mwezini miaka ya nyuma?

    Kwanini kama miaka ya nyuma NASA Waliweza kufanya landing mwezini kipindi cha cold war kwanini hii misheni ya Artemis 2 objective ni just kuuzunguka mwezi kitu ambacho naamini hata chombo kingetumwa kufanya hio kazi kingeweza me nilijua tena safari hii tutatua mwezini
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimefanya kazi Kampuni ya Wachina kwa miaka 10 bila mkataba, wameniondoa kazini bila kosa lolote, nafanyaje kupata stahiki zangu?

    Mimi nilikuwa Mfanyakazi kwenye kampuni ya Wachina inayojihusisha na michezo ya kubahatisha inaitwa BONANZA, ni kampuni maarufu sana na huenda ikawa ya kwanza kuingia nchini, nimefanya kazi takribani miaka 10 na bila mkataba wowote. Niliahidiwa kusainishwa mkataba kila siku zinapoenda mwisho wa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania BURKINA FASO: Waziri wa zamani ahukumiwa miaka 5 jela kwa wizi wa fedha

    Waziri wa zamani wa serikali nchini Burkina Faso amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la ubadhirifu wa fedha za umma, kwa mujibu wa uamuzi wa mahakama ulioshuhudiwa na shirika la habari la AFP Machi 27, 2026 Uamuzi huo unafuatia kesi ya awali ambapo watumishi wanne wa umma kutoka...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fish Pond Mystery! Mtoto wa Miaka 3 Afariki Shuleni Drowning ama Kuna Kitu Kinafichwa?”

    A very disturbing incident imeibua maswali mengi sana after 3-year-old pupil Faiz Faraj tragically lost his life at Gilgil Hills Academy, Nakuru County. According to reports, the young boy alikuwa darasani kama kawaida until around 11AM when he was reported missing. Shockingly, saa mbili...
  6. JamiiForums Tanzania Vipaumbele vikuu vya mwanaume mwenye umri wa miaka 30+

    VIPAOMBELE VIKUU VYA MWANAUME MWENYE UMRI WA MIAKA 30+ Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Kila umri unavipaombele vyake. Umaana wa maisha unauleta wewe kupitia vipaombele vyako. 2. Ili ufanikiwe utahitaji kuzingatia vipaombele kulingana na umri wako, fursa zinazokuzunguka, mbinu, uwezo na...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kujua Kama Mtu Anakufikiria Bila Yeye Kukuambia ( baada ya kuifanyia utafiti mwenyewe kwa miaka 12 )

    Kuna kitu niligundua kwa muda, na sikijui kama ni coincidence au kuna kitu kingine kinaendelea. Sio sayansi, au sheria maalum… ni kitu kinatokea tu ukianza kuangalia vizuri. mara ya kwanza nilihisi akiki yangu ina connect kwenye internet wirelessly maana nikihisi tu simu itaita, ghafla inaanza...
  8. JamiiForums Tanzania ARTETA IS THE ROTTEN WALKING BOY; Hovyo kabisa huyu afukuzwe tu. Miaka 8 no trophy. Kweli EFL tumekosa tena dhidi ya City?

    Straight to ostracize poor approach & strategies Plugged in the Team by this Rude boy, Arteta. Game ya Jana anaanza na Forward wawili lakini primary approach ni kujilinda so Forward walikuwa wa kazi gani? Foward za Arsenal ni Butu lakini bado aweka trust kwao kweli huyu ni Kocha? Jana...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Halima Nyakanga afungiwa na BASATA kwa miaka 3 na faini ya Tsh milioni 3

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia Halima Haji wa Kibaokata kutojishughulisha na sanaa kwa miaka mitatu kwa kosa la kusambaza video isiyozingatia maadili. Aidha, BASATA imemtaka msanii huyo kulipa faini TZS milioni 3 ndani ya siku 14 tangu kutolewa kwa adhabu hiyo, pamoja na kuondoa...
  10. JamiiForums Tanzania Miaka 100 ijayo tulio hai leo tutakua tumefariki

    Miaka 100 kuanzia sasa yaani mwaka 2126 sisi tulio hai leo, hatutakuwepo kwenye uso wa dunia. Kwa takwimu za mwaka huu, dunia ina watu takribani bilioni 7.8. maana yake miaka 100 ijayo dunia itakua imemeza watu wote hawa
  11. O

    JamiiForums Tanzania Iran imetekeleza hukumu ya kifo kwa watu watatu waliokamatwa kufuatia maandamano ya Januari akiwemo Mwanamieleka wa miaka 19

    Utawala wa Kiislamu nchini Iran leo umemnyonga Mwanamieleka (wrestler) wa miaka 19 aitwaye Saleh Mohammadi ambaye alikua mpingaji wa wazi wa utawala huo, pia alikua akihamasisha maandamano kupinga utawala huo. Iran imetekeleza hukumu ya kifo kwa wanaume watatu siku ya Alhamisi baada ya kutiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mkusanyiko wa Kumbukizi ya Miaka mitano tangu kifo cha Rais Magufuli

    https://www.youtube.com/watch?v=dfB86i6-Bck
  13. R

    JamiiForums Tanzania Raia wa Ufaransa ahukumiwa Azerbaijan miaka 10 jela kwa kosa la Ujasusi

    Mahakama nchini Azerbaijan Jumatatu imemhukumu raia wa Ufaransa, Martin Ryan, kifungo cha miaka 10 jela baada ya kupatikana na hatia ya ujasusi kwa niaba ya Paris, tuhuma ambazo alikiri kwa sehemu, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali ya Urusi RIA Novosti. Mamlaka ya mji mkuu Baku...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini kumekuwa na vifo vingi vya vijana wadogo miaka 18-26?

    Wapi Gen Z wanakosea au ni nature tu imeamua, Kila nikichek ni RIP kwa vijana wadogo.
  15. JamiiForums Tanzania Kamal Kharaz amesema Iran ipo tayari kwa vita vya muda mrefu

    Katika mahojiano maalum, Mshauri wa Sera za Mambo ya Nje katika ofisi ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Kamal Kharazi, alimwambia mwandishi wa CNN Frederik Pleitgen kuwa ni “simulizi la uongo” kudai kwamba uwezo wa kijeshi wa Iran umepungua kwa kiwango kikubwa, na akaongeza kuwa haoni tena “nafasi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Jaji Mstaafu Chocha alionya miaka 9 iliyopita kusema: "Tundu Lissu si mtu wa kawaida". Leo Taifa linashuhudia kutimia kwa onyo hili

    LISSU SI MTU WA KAWAIDA: Jaji Alionya, Taifa Linashuhudia! 👉Huyo ndiye Tundu Lissu mashine iliyomeza vitabu vya sheria na kuvimeng’enya hadi kuwa silaha ya haki. Kama ingekuwa ni hadithi za vitabuni, watu wangedhani hiki kichwa ni AI au mhusika wa kufikirika. Lakini leo, kukaa kwake mahabusu...
  17. JamiiForums Tanzania Kama kijana upo chini ya miaka 30 soma hapa ili ufanikiwe kwenye maisha

    Ili kijana kujenga mafanikio yenye heshima na ambayo ayachoshi roho yako zingatia vitu hivi hapa. 1.uhusiano wa kiroho(spirtual relationship) Kijana hili ufanikiwe ni muhimu kujenga uhusiano wako na Mungu katika maisha yako. Uhusiano wako na Mungu unajengwa private na sio public, Tenga muda...
  18. JamiiForums Tanzania Miaka kumi ya ufalume wa Rhymes mwaka 2014 ..since 2004 - 2014

    AFANDE SELE - MIAKA 10. Intro .. Yeah.!! Oooh.!! Miaka 10 Imefika Ya mfalume mimi Imepita viumbe wanakuja wanazaliwa wanakufa wanaondoka shwaa!! Dunia hudumu Daima weweee!! Chuki ya nani? usinitanie.. Wewe.. "Verse... 1. Sasa ni miaka 10 / Tangu niwe mfalume/ Lakini Bado ni mimi / Ndio...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu: Vita na Iran haitadumu kwa miaka, inaweza kufanyiwa maamuzi

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema anatarajia vita dhidi ya Iran “haitaendelea kwa miaka mingi,” wakati mzozo huo ukiendelea huku Israel akilenga zaidi kushambulia Hezbollah wanaoungwa mkono na Iran nchini Lebanon, na Iran nayo ikishambulia nchi za Ghuba zinazohifadhi kambi za...
  20. JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Katika miaka michache iliyopita kumekuwa na matatizo ya kuporomoka kwa maadili katika nchi yetu

    Wakuu, Akizungumza leo Februari 28, 2025 Jaji Mstaafu na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba alisema katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mmonyoko mkubwa wa maadili lakini Hayati Kardinali Pengo alikuwa ni mtu anayekumbusha umuhimu wa maadili
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…