miaka 35

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shobi

    Vitu unavyopaswa kujua baada ya kuwa na umri wa miaka 35

    1. Kudhibiti ulimi. Siyo kila hali unaongea kuna wakati unapaswa kukaa kimya 2. Jifunze kutulia ni bora kuliko kufanya drama / kuishi maisha ya mtandaoni. 3.Kubali kuna vitu haujui na umezidiwa epuka wivu Jifunze Kwa waliokuzidi. 4.familia unayotengeneza ni Jambo muhimu haijalishi ulitoka...
  2. mangosongoo

    Mwanaume, Mungu akikupa uhai mpaka unafikisha miaka 35 hakikisha uwe na familia. Fedha si kitu

    Ndugu zanguni, maisha yanakwenda kwa kasi sana, na hatujui ya mbele yetu ni nini, yanaweza yakawa mazuri au mabaya japo katika kanuni ya maisha hatutakiwi kujitabiria mabaya. Katika mazuri kunakufanikiwa kimaisha, kiuchumi, kifamilia, elimu na afya njema lakini katika mabaya nayakusikitisha kwa...
  3. Equation x

    Anzisheni mahusiano na watu wazima, hawa wa chini ya miaka 35 hawana tofauti na vitoto

    Anzisheni mahusiano na watu wazima, hawa wa chini ya miaka 35 hawana tofauti na vitoto, kutokana na kuwa na ahadi nyingi hewa. Kwa upande wangu, mabinti walio chini ya miaka 35 mimi huwa nawaita vitoto; kwa sababu wana usumbufu fulani katika uanzishaji wa mahusiano. Wengi wao wanatoa ahadi...
  4. BARD AI

    Guinea: Madaktari wafungwa miaka 35 kwa makosa ya Kubaka, Kuua na Kutoa Mimba

    Mahakama Nchini #GuineaBissau imetoa adhabu hiyo baada ya kubaini kuwa Madaktari hao walihusika na matendo hayo dhidi ya M'Mah Sylla, aliyebakwa akiwa Hospitali na kuhamishiwa kutibiwa Nchini Tunisia mwaka 2021. Waliohukumiwa ni Daniel na Patrice Lamah ambao wamepea kifungo cha miaka 15 jela na...
  5. Lanlady

    Inawezekana vipi mtu mwenye zaidi ya miaka 35 kuumia kwasababu ya mapenzi?

    Huwa najiuliza sana hili swali. Yaani huwa nashangaa kusikia au kuona mwanamke au mwanaume mwennye miaka 35+ kulia na kuhangaika kwa sababu ya mapenzi! Ni kwamba wameruka hatua za ukuaji au ni hisia? Unajua above 35, tuna assume mtu ana watoto wakubwa ambao wameshaanza kujitambua. Na hata kama...
  6. M

    Wenye umri wa miaka 35 hamjaoa na hamna hamu ya ndoa njooni tujadili

    Sasa nina miaka 35 sipati hamu kabisa ya kuoa na kuishi na mwanamke, labda aje tu nichaape aondoke. Ziko shida nyingi na hatari nyingi ninazoweza kupata kwa kutoishi na mwanamke, kiufupi sina sababu ya msingi ya kuwa bachela hadi sasa. Hakuna kitu nakerwa kama kulizwa naoa lini , current...
  7. Kalebejo

    DOKEZO TAKUKURU Mwanza tupieni macho mgogoro wa ardhi wa Abubakar Self

    VIONGOZI WA KITENGO CHA ARDHI JIJI LA MWANZA LINATUUMIZA WANACHI WALALA HOI Kada wa CCM Abubakar Hassan Self amemuomba Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan Kuingilia kati mgogogro wake viwanja na Halmashauri ya Jiji la Mwanza uliodumu kwa miaka 35 kama mgogoro wa Eneo la Rwagasore lilivyotatuliwa...
  8. BARD AI

    Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

    Kutoolewa katika umri fulani huja na maneno mengi, na mengi huwa hasi, ya kukera au kuumiza. Lakini je, kila kitu ni kibaya kwa wanawake ambao wamefikia umri wa miaka 35 au zaidi na bado hawajaolewa? Wanawake wengi wasio na waume walio na umri wa miaka 35 na zaidi, wanahisi kutokuwa salama na...
Back
Top Bottom