mgombea urais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    GE2025 Barua ya wazi kwa msajili wa vyama vya siasa, na Mwenyekiti wa tume ya Taifa ya Uchaguzi: Mgombea urais wa CCM siyo halali

    Ndugu Msajili na Mwenyekiti wa tume ya Taifa ya Uchaguzi Awali ya yote nawasalimia, na nawatakia majukumu mema ya kazi zenu. Nimechukua fursa hii kuwaandikia barua, kama raia, mzalendo, na mdau wa utawala wa sheria. Kama mnavyofahamu chama cha CCM kimetangaza mgombea wake miezi kadhaa...
  2. Mwande na Mndewa

    Je mchakato wa kumpata mgombea Urais wa CCM ukoje?

    Baada ya hotuba ya Ndugu Polepole,nimegundua sijui mchakato wa kumpata mgombea Urais wa CCM,naomba kueleweshwa?
  3. peno hasegawa

    Mgombea Urais kwa ticket ya CCM atachukua lini fomu ya kugombea Urais na atairudisha lini?

    Muda wa kuchukua fomu na kuzirejesha kwa wabunge na madiwani ulisha pita. Urais hakuna aliyechukua fomu,au hakuna mgombea urais??? Nimeuliza tu
  4. Waufukweni

    GE2025 Polepole: Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali

    Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali Kusema ni mgombea mmoja ni makosa Polepole asema kikao kilichotumika kumteua Rais kilikiuka taratibu na sheria za CCM. Ameendelea kusema suala la kutoa fomu moja na kupitisha mgombea kinyume cha taratibu ni kunajisi katiba...
  5. R

    Rais Museveni aidhinishwa na Chama chake (NRM) kuwa Mgombea Urais 2026

    Chama tawala nchini Uganda (NRM) kimemuidhinisha rais wa muda mrefu wa nchi hiyo Yoweri Museveni mwenye umri wa miaka 80, kuwa mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2026. Museveni amekuwa rais wa Uganda kwa miaka 39 tangu 1986 Hii ni baada ya Rais Museveni kutangaza rasmi Juni 29...
  6. Mto wa mbu

    Tetesi: GE2025 CHAUMMA wahaha kusaka Mgombea urais

    Chaumma wanaumiza kichwa kumsaka mgombea uraisi wa mwaka huu. Chama icho chenye wanasiasa majabari na wabobezi wa Siasa kama John Mrema na Vitus Nkuma Kipo chimbo kufanya analysis ya jinsi watakavyo uendea uchaguzi mkuu. Wachambuzi wa Siasa wanasema Kwa jinsi CHAUMMA inavyokubalika uenda...
  7. ngara23

    Wallace Karia amebakia kama mgombea Urais TFF, wagombea wengine wakosa vigezo

    Nafasi ya Urais TFF imebakia 1 nayo ni ya Wallace Karia, wagombea wengine 6 wamekosa sifa kwenye mchujo na usaili wa awali Tatizo kubwa lililowanyima sifa za kugombea Urais ni kukosa endorsement kila mgombea alitakiwa awe na angalau endorsement 5, ambapo mgombea Wallace Karia amevuna...
  8. DuaZaMama

    PreGE2025 Mchakato wa CHAUMMA kupata mgombea Urais nchini kuanza

    Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimetangaza kuwa mchakato wa kumpata mgombea wa urais wa Tanzania kupitia chama hicho, pamoja na kupitisha ilani ya uchaguzi, utafanyika baada ya kukamilika kwa mikutano ya awamu ya pili ya Operesheni C4C. Kalenda ya kumpata mgombea huyo, imesogezwa mbele...
  9. Tlaatlaah

    Kwa nafasi ya Uraisi, Uelekeo wa Vyama vingi vya Upinzani nchini ni Kumuunga mkono Mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan, Unadhani ni Kwanini?

    Ni kipi hasa kimewavutia zaidi vyama vya wapinzani nchini hata kujizuia kufikiria kusimamisha wagombea urais kupitia vyama vyao vya siasa, na kutoa fursa hiyo adhimu kwa kuunga mkono azma ya Dr.Samia Suluhu Hassan kugombea nafasi ya uraisi wa JMT katika uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025...
  10. Just Pray

    Mgombea Urais wa Colombia apigwa risasi akiwa kwenye kampeni

    Katika hali isiyo ya kawaida mtoto (15) amekamatwa kwa tuhuma za kumshambulia kwa risasi Seneta wa Colombia anayewania kuwa rais ajaye wa nchi hiyo. Katika tukio hilo, seneta Miguel Uribe Turbay (39) akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kampeni yake uliofanyika Bogota nchini humo alijeruhiwa...
  11. Valencia_UPV

    Nitamtafutia wadhamini Mgombea Urais CCM nchi nzima

    Kwa ridhaa yangu bila kulipwa chochote. Najitolea kuzunguka nchi nzima kumtafutia wadhamini Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM pindi Tu Tume Huru ya Uchaguzi watapotoa Fomu stahiki. OktobaTUNATIKI
  12. Roving Journalist

    Prof. Lwaitama: Kama utaratibu wa CCM kupata Mgombea Urais umebadilika, Wananchi wanaweza kuahirisha Uchaguzi

    Akizungumzia dhana ya kuwa tarehe ya Uchaguzi Mkuu haiwezi kubadilika, Mdau wa Siasa, Profesa Azaveli Lwaitama amesema si kweli na kwamba tarehe inaweza kubadilika kwa sababu mbalimbali ikiwemo mlipuko wa ugonjwa au vita au Wananchi wakiamua iwe hivyo. Amesema hayo alipohojiwa na Haki TV ambapo...
  13. funaku

    Uchaguzi wa mwaka 2000 Chadema haikuwa na mgombea Urais

    Hii ni kumbukumbu kwa vijana wa 2000
  14. Dr Akili

    Hivi Tundu Lissu, Heche na Mnyika watakuwa kwenye hali gani ikitokea ghafla Freeman kajiunga na CHAUMA akiwa mgombea urais wa JMT?

    Jee watazimia? Pressure zao zitapanda au zitashuka? Wataweza kuendelea na hiyo no reforms no election? Jee wataporomosha matusi hadi ya nguoni? Mimi nafikiri tu kwa sauti? Jee wewe unafikiri kipi kitawapata hawa watu ikitokea hivyo?
  15. PendoLyimo

    SI KWELI PreGE2025 Mbowe apokelewa na kuteuliwa kugombea Urais kupitia Chaumma

    TAARIFA KWA UMMA UTAMBULISHO WA MGOMBEA URAIS WA CHAMA CHA HAKI NA MAENDELEO (CHAUMMA) Dar es Salaam, 21 Mei 2025 Chama cha Haki na Maendeleo (CHAUMMA) kinapenda kuwataarifu wanachama wake, wapenzi wa chama, na umma kwa ujumla kuwa, katika kikao chake cha Kamati Kuu kilichofanyika tarehe 10...
  16. M

    PreGE2025 CCM ilijikanyaga vibaya kukubali agenda ya dharula kupitisha jina la Rais Samia kuwa mgombea Urais

    Kwanza hakubaliki na kukiwa na tume huru isiyoegemea kwake, atapigwa asubuhi na mapema na wapinzani wake, hana meno kwa mafisadi na wafuja kodi za watanzania na anayoyafanya anayajua mwenyewe na yanamfurahisha yeye pekee, hawezi kudhibiti watekaji wala kukemea uharifu huo Ni mbinu gani ambayo...
  17. W

    PreGE2025 Kenya waishangaa Tanzania kuona Rais anayegombea ndiye anaisimia Tume ya Uchaguzi

    Alooo hii ni fezea🤣🤣 yaani toka Wakenya watushangae kwenye uchaguzi wa 2020 wanaendelea kutushangaa mpaka leo! We ulisikia wapi mtu anagombea na hapo hapo ndio asimamie mchakato wa uchaguzi afu aache afeli? Hata ungekuwa wewe ungeruhusu hilo? Mwendo wa kujipakulia minyama tu, Bunge na...
  18. W

    PreGE2025 Majaliwa Kyara achaguliwa kuwa mgombea Urais kupitia SAU

    Mkutano Mkuu wa Chama cha Sauti ya Umma (SAU), umemchagua Bw. Majaliwa Kyara, kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kupitia chama hicho, kwenye Uchaguzi Mkuu, unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu, wakisisitiza kauli mbiu ya chama chao Sala na Kazi, wakiamini italeta mafanikio katika...
  19. Allen Kilewella

    PreGE2025 G55 kundi lenu halina Mgombea Urais?

    Kila siku mnasema kundi lenu linawakilisha watia nia wa udiwani na ubunge. Mbona sijasikia mkisema mna mtia nia ngazi Urais!? Naona kama hizi bidii zenu ni kubwa sana kama vile zinachagizwa zaidi na Mgombea Urais kuliko hao watia nia wa Udiwani na Ubunge mnaowataja Kila siku. Jee G55 kundi...
  20. Poppy Hatonn

    PreGE2025 Kinachosubiriwa ni CHADEMA wamtangaze mgombea urais

    CHADEMA wakimtangaza mgombea urais,nchi itakuwa tayari kwa Uchaguzi. Lakini badala ya kumtangaza mgombea urais CHADEMA wanafanya utalii mikoani. Halafu Chadema hawana upendo na Umoja katika Chama chao. Hatujaona mass exodus kutoka kwenye Chama kama iliyokuwepo Freeman alipokuwa Mwenyekiti,hata...
Back
Top Bottom