mgombea urais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania GE2015 Je ni kweli mgombea Urais CCM 2015 alikuwa Amina Ally ila kwa kutamka Lowassa atakuwa Makamu wake akagauza upepo?

    Nipo hapa Dodoma mzee mmoja wa Makamo ndani ya chama kateta nami jambo hili. Mzee anadai Balozi Amina Ally aliteleza wakati wa kuomba kura huku akijua wazi jina la Lowassa limekatwa na kudai atamteua kuwa mgombea mwenza. Kauli yake hiyo kilimkera mwenye Chama chake kipindi hicho na bahati...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa: 2015 Nilipelekwa Italia for Presidential Training kwa Mkufunzi wa Angela Mark wa Ujerumani, niliandaliwa Mgombea Urais

    Shallom. Jana weekend nilikuwa natembelea Na kusaka habari za siasa zinazojiri mitandaoni. Nilikutana na interview ya Dr Slaa akiwa nyumbani kwake Mbweni iliyorushwa na Jambo Online TV. Pamoja na mambo mengine majadiliano yale yalijikita hasa kujadili ni kwa namna gani Dr Slaa alijiengua...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 JF kama timu na familia moja Oktoba 2025: Twendeni tukamchague Dkt. Samia Suluhu, Mgombea Urais wa CCM kwa awamu ya pili kama mkuu wa nchi yetu huru

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu. Amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi kifupi sana...
  4. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Nakubali Tundu Lissu awe Mwenyekiti na Mgombea Urais wa kambi yote ya Upinzani. Anza na kazi hii. Rudisha kundini kina Mdee na Wenzake.

    Ukweli usemwe. Kilichowaponza kina Mdee ni ule utawala wa mabavu wa awamu ileee. Ulishapita, Chadema ni muhimu ijengwe kuanzia ilikoishia kabla ya awamu hii.
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu komaa wewe ndiye mgombea Urais. Anza kufanya kazi ambazo mwenye wajibu na mfariji mkuu hazifanyi kwa kuanza na Muhimbili

    Mh. Lissu wewe mwenyewe unaelewa kuwa ukiwa mwenyekiti wa chama inakunyima nafasi ya kuwa mgombea nafasi ya Urais. Wafuasi wengi hawaelewi hilo. Ombi langu kwako, badili upepo wa kisiasa ndani ya chama na nje. Mkakati uwe ni kufanya mambo ya ustawi zaidi za jamii. Watanzania ni werevu sana na...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa uhasama uliopo ndani ya CHADEMA, ni wazi kura za maoni na uteuzi wa mgombea Urais wao 2025 zitawasambaratisha kabisa

    Uadui na uhasama unaoendelea ndani ya CHADEMA hasa miongoni mwa viongozi waandamizi wa chama hicho, ni hatari kwa afya na uhai wa wanaopigana vita ya maneno na chama chenyewe kwa ujumla. Ukiwafuatilia vizuri, utangundua ni kama wanaviziana na kutegeana tu kwamba who is to break the line first...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Biden wa Marekani kuhamia Zanzibar

    Video hii hapa chini inadai Rais wa Marekani atahamia Zanzibar. Ina ukweli? Video ya Rais Biden
  8. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nani anafaa kuwa kampeni meneja wa Mgombea Urais wa CCM 2025?

    Siasa za hoja ufanywa na wana mikakati ambao wanaweza wasiwe wanasiasa ila wanafahamu vyema siasa. Siasa za hoja zinahitaji sana kampeni meneja ambaye ni neutral na mwenye malengo ya Taifa kuliko mwenye maono ya chama. Kampeni meneja mwenye maono na asiyefungamana na upande wowote anaweza...
  9. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Venezuela: Mgombea Urais wa Upinzani asema alilazimishwa kusaini matokeo ya Kushindwa dhidi ya Maduro

    VENEZUELA: Aliyekuwa Mgombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Julai 20124, Edmundo González ameendelea kusisitiza kuwa alimshinda Raia Nicolàs Maduro lakini Mamlaka ziliamua kubadili matokeo yaliyoamriwa na Wananchi Pia, Gonzàlez amedai alifuatwa na Watu wa Maduro na kulazimishwa kusaini matokeo...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa 'Dua Shtakia Mungu' itakayosomwa Afrika Mashariki huenda kuna Chama Kikakosa Mgombea Urais wake katika Uchaguzi Mkuu ujao

    Haya tuanze mapema kumtafuta wa Kumrithi.
  11. W

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa Upinzani Venezuela Akimbia nchini na kutafuta Hifadhi Hispania

    Mgombea urais wa upinzani, Edmundo González, amekimbia Venezuela baada ya serikali kutoa hati ya kukamatwa kwake, kufuatia upinzani kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais wa Julai 2024. Aidha Vikosi vya usalama vya Venezuela vimezingira Ubalozi wa Argentina, wakidai kuwa viongozi sita wa upinzani...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mdau: Mgombea Urais wa pili kwa wingi wa kura awe Mbunge moja kwa moja

    Serikali ilitoa fursa ya Vyama vya siasa kutoa maoni ya Mabadiliko ya sheria za Tume ya Uchaguzi,kama sikosei Chadema walisusa wakidai wanataka Katiba Mpya ilhali wanajua mda hautoshi. My Take Binafsi naunga mkono wazo hili ila Sasa shida ya kususa ya nyie Machadema ndio zinawatokea Puani. In...
  13. Afcon 2027

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nani huamua chama kitoe fomu moja ya mgombea wa Urais?

    Habari wanajamvi, Nimekuwa naona kwenye majukwaa mbalimbali ya siasa, wanasiasa wakisema kuwa watachapisha fomu moja tu ya Urais. Napenda kujua Who, au which group has that authority ndani ya chama kuamua kwamba ni fomu moja tu ndo itachapishwa?
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CHADEMA, CUF nao kuchapisha fomu moja tu ya mgombea Urais 2025

    Unadhani falsafa hii inamaanisha nini? Mathalani, inasemekana wafia chama wa CUF wanapambana kuhakikisha mgombea Urasi wake anakua ni Profesa pekee, na anapata nafasi hiyo bila changamoto kwa heshima ya utumishi wake uliyotukuka kwa chama kwa muda mrefu. lengo lao ni kuepusha gharama kubwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Suala la Mgombea Urais CCM linaangalia Ukanda, Udini na Ukabila

    Utasikia kuwa Rais ajaye hawezi kutoka dini fulani kwa sababu Rais aliye madarakani tayari ni wa dini hiyo. Rais hawezi kutoka kanda fulani kwa sababu hiyo kanda ilishatoa Rais. Rais hawezi kuwa kabila fulani kwa sababu kuna sababu nyingi za kutokubaliana na mtazamo huo. Masuala ya...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnatizama lakini CNN Mahojiano ya moja kwa moja ya Mgombea Urais wa Marekani Trump na Waandishi wa Habari Weusi huko Chicago?

    Mkiambiwa Waafrika tuungane tulijenge Bara letu, kwani Wazungu huwa hawatupendi hatusikii na tunawapenda tu.
  17. Ngongo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA, ni muda sahihi kumtangaza mgombea Urais?

    Heshima kwenu wanajamvi. Mgombea uRais wa CCM ni Samia Suluhu Hassan. CHADEMA mgombea wenu nafasi ya uRais ni nani? Kila nikichanga karata zangu mgombea anayefaa kubeba heshima ya kukiwakilisha chama ni Tundu Lissu. CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani kimeshiriki chaguzi nyingi tangu enzi za...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania mgombea Urais huru inawezekana kama ilivyowezekana Rwanda. Tujitafakari!

    Salaam, Shalom! KATIBA yetu ya nchi IPO wazi kabisa kuwa, HAKI ya kuchagua inaenda sambamba na HAKI ya kuchaguliwa. Yaani HAKI ya mgombea nafasi yeyote katika ngazi yeyote kisiasa, haipasi kuminywa ndani ya vyama vya siasa pekee. Jambo hili la kuminya HAKI ya kuchaguliwa, ndio hasa kitu...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na kufanya Mazungumzo na Danieli Fransisco Chapo Mgombea Urais wa Msumbiji Kupitia FRELIMO

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amekutana na kufanya mazungumzo na mgombea Urais wa Msumbiji Kupitia FRELIMO Mheshimiwa Danieli Fransisco Chapo,Ikulu ya Dodoma hii leo June 12. Hii ni katika kuonyesha ushawishi wa...
  20. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA watafute mgombea mwingine wa urais, Tundu Lissu, Mbowe, Msigwa, Sugu na John Mnyika warudi bungeni! Nchi itakuwa salama zaidi

    Harakati za uchaguzi mkuu zinakaribia lakini naona watu imara tunaotaka wakatusaidie kwenye mhimili wa bunge tunaweza kuwapoteza kwa kutamani kugombea urais na kukosa fursa ya kutusaidia kutunga na kusimamia raslimali zetu huko bungeni. Tundu Lissu aachane na ndoto za kugombea urais aende...
Back
Top Bottom