mgombea urais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    GE2025 If not lip services, Lissu anaachiwa, Chadema inashiriki uchaguzi, TAL Mgombea Urais, tunafanya uchaguzi mkuu huru na wa haki kweli

    Wanabodi Kufuatia mazungumzo ya rais wa TLS juzi kuomba kuonana na Rais Samia,kumuomba pamoja na mambo mengine,ni kuomba Lissu aachiwe,kanuni za uchaguzi zirekebishwe,Chadema ishiriki uchaguzi. Kiukweli,sijawahi kuona rais msikivu kama Samia!,siku ya Jumanne mtu aombe kumuona rais,kesho yake...
  2. Rashda Zunde

    GE2025 Mgombea Urais CCM, Samia Suluhu Hassan arejesha fomu

    Tumekamilisha taratibu za uteuzi, sasa tupo tayari kwa kampeni.Safari inaanzia Kawe, Dar es Saalam kesho. Usisubiri kuhadithiwa. #OktobaTunatikiSamia
  3. JanguKamaJangu

    GE2025 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetengua uteuzi Mgombea Urais wa ADC (Wilson Malumbe) kwenye kuwania Urais wa Uchaguzi Mkuu 2025

    Maktaba Media imepata taarifa kuwa Mgombea Urais kupitia Chama Cha Alliance Democratic For Change (ADC) Ndg. Wilson Malumbe huenda akaondolewa kwenye mchakato wa Urais wa Uchaguzi Mkuu 2025 baada ya Ofisi ya Msajili wa Siasa kubainisha kasoro za kupatikana kwa Mgombea huyo. Haya yanajiri wiki...
  4. P

    Vyama vya kisiasa vyaa anza uchunguzi kuhusu mgombea urais wa ICT.

    Kiongozi huyu , VAR, ya vyama vya kisiasa ya mnasa mgombea urais chama cha ICT , kanda wachama hicho ikiandiii imekosa vigezo vya kuwa mgombea urais wa chama hicho kama katiba yao ya chama inavyoelezaa kwa mgombea urais vifungu vya sheria 6A(2) na 4(5)b vikieleza sifa za mgombea uraisi...
  5. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 CCM Zanzibar yatangaza Ratiba ya Mgombea Urais Kuchukua Fomu

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Khamis Mbeto, ametangaza rasmi ratiba ya mgombea wa nafasi ya urais wa Zanzibar kupitia chama hicho, akieleza kuwa mgombea husika atakwenda kuchukua fomu ya kuwania urais kwa tiketi ya CCM. Amesema siku ya zoezi hilo muhimu...
  6. Waufukweni

    GE2025 Picha rasmi ya Kampeni: Mgombea urais wa CCM Dkt. Samia na mgombea mwenza Dkt. Nchimbi

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao wa Oktoba 29, Hii ndio picha rasmi ya Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan. Picha ya pili ni Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi
  7. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Gwajima amehamia NCCR Mageuzi na Mwabukusi ameamua kumuunga mkono mgombea Urais wa CHAUMMA

  8. M

    GE2025 Mwana CCM amuandikia Msajili wa Vya Siasa barua ya Malalamiko ya UKIUKWAJI wa taratibu za kupata Mgombea Urais wa CCM

  9. Ex Spy

    GE2025 Mgombea Urais mwenye watoto 25! Si mchezo

  10. R

    GE2025 Salum Mwalimu: Nikiwa Rais, nitavaa kapelo, Tisheti na Jeans Mtaa kwa mtaa

    Mtiania urais wa Tanzania wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu ameendelea kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini ili kumwezesha kuteuliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuwania urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumatano, Oktoba 29, 2025. Mwalimu ambaye pia ni...
  11. PAYE

    GE2025 Mgombea Urais kupitia ADC, Wilson Elias Mulumbe akabidhiwa fomu za uteuzi na Mwenyekiti wa INEC

    Mgombea wa kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elias Mulumbe, tarehe 15 Agosti 2025 amekabidhiwa fomu za uteuzi na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jacobs Mwambegele. Hafla...
  12. R

    GE2025 Mgombea Urais UDP afika INEC kuchukua fomu

    Wafuasi wa Chama Cha United Democratic Party, UDP wakiingia ofisi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kumsindikiza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho, Saumu Hussein Rashid leo, Agosti 15,2025
  13. FRANCIS DA DON

    Je, kama mgombea urais akafariki dunia kabla ya uchaguzi kufanyika, utaratibu unasemaje?

    Mfano siku 3 kabla ya uchaguzi, mgombea wa UDP au TLP wa nafasi ya uRais akang’ata shuka.., utaratibu ni kuahirisha uchaguzi au inakuwaje.. Utaratibu wa kikatiba unasemaje?
  14. Tlaatlaah

    GE2025 Kwa mtazamo wako, kati ya mgombea urais Luhaga Mpina wa (ACT Wazalendo) na Salum Mwalimu wa (CHAUMMA), nani mkali zaidi na mwenye haiba ya urais?

    Ni yupi ana ushawishi zaidi na angalau mtaji wa kura za kumzidi mwingine? Kumbuka Luhaga Mpina anatoka mkoa Simiyu, huku Salumu Mwalimu akiwa anatoka Unguja, Zanzibar. Salum Mwalimu ana uzoefu wa kua naibu katibu mkuu wa chadema Taifa huko nyuma, na pia aliwahi kua mgombea mwenza wa urais...
  15. McLaren

    GE2025 Mgombea Urais chama cha DP aahidi kufuta kikotoo cha wastaafu akishinda Urais

    Wakuu Ahadi kutoka kwa wagombea zinaendelea kumiminika
  16. mwanamwana

    GE2025 Mgombea Urais kupitia Democratic Party (DP); Nitafuta mfumo wa kikokotoo kwa watumishi wa umma

    Mgombea urais kupitia Chama cha Democratic Party (DP), Abdul Mluya, amesema kuwa endapo atapewa ridhaa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kugombea nafasi hiyo, kipaumbele chake cha kwanza kitakuwa kushughulikia na kufuta mfumo wa kikokotoo kwa watumishi wa umma. Mluya ametoa kauli hiyo leo...
  17. DuaZaMama

    GE2025 Mluya: Serikali yangu itakuwa na wajibu wa kuwatunza mama mjamzito na mtoto kwa kumpa lishe bora kwa muda wa miezi mitatu

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Democratic Party (DP), Abdul Juma Mluya, akiambatana na Mgombea wake mwenza Sadoun Abrahman Khatib, leo Agosti 13, 2025, wamechukua fomu za uteuzi katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa jijini Dodoma...
  18. DuaZaMama

    GE2025 Leo Agosti 14, 2025 mgombea urais wa ACT Wazalendo Luhaga Mpina na Mgombea mwenza Fatma watazungumza na wahariri wa vyombo vya habari

    Leo Agosti 14, 2025 Mgombea Urais wa Tanzania wa ACT Wazalendo Ndg Luhaga Mpina na Mgombea Mwenza, Ndg Fatma Fereji watazungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari. Mahala Jengo la Maalim Seif Magomeni DSM Muda: 4:00 Asubuhi.
  19. Roving Journalist

    GE2025 RC Kihongosi aongoza Wananchi wa Arusha kumdhamini mgombea Urais wa CCM, Dkt. Samia

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Kenani Laban Kihongosi leo Jumanne Agosti 12, 2025 amewaongoza wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Arusha kujitokeza kwenye Ofisi za Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Arusha, kumdhamini Mgombea Urais wa Chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni...
Back
Top Bottom