mgombea urais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Kihongosi aongoza Wananchi wa Arusha kumdhamini mgombea Urais wa CCM, Dkt. Samia

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Kenani Laban Kihongosi leo Jumanne Agosti 12, 2025 amewaongoza wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Arusha kujitokeza kwenye Ofisi za Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Arusha, kumdhamini Mgombea Urais wa Chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni...
  2. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mgombea Urais aliyepigwa risasi Colombia afariki dunia

    Seneta wa Colombia na mgombea urais, Miguel Uribe, amefariki dunia miezi miwili baada ya kupigwa risasi kichwani katika shambulio la kulengwa mahsusi lililotikisa taifa hilo la Amerika Kusini. Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 39 alipigwa risasi tatu — mbili kichwani na moja mguuni — wakati wa...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Cheyo aongoza mkutano mkuu wa UDP mgombea urais, mwenza kujulikana leo

    Mwenyekiti wa Chama cha United Democratic Party (UDP), John Cheyo leo Jumatatu Agosti 11, 2025, amehudhuria mkutano mkuu wa chama hicho unaofanyika katika Ukumbi wa Lulu, Sinza, jijini Dar es Salaam, licha ya changamoto za kiafya zinazomkabili kwa muda mrefu. Cheyo, maarufu Mzee Mapesa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais Chama Cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Mbatina Rwamugira achukua fomu INEC

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi Chama Cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Mbatina...
  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais wa Chama cha UMD, Mwajuma Mirambo na mgombea mwenza watinga INEC kuchukua fomuu

    Wafuasi wa mgombea wa nafasi ya Urais wa Chama Cha UMD wakimsindikiza mgombea wao Mwajuma Mirambo akiwa na mgombea mwenza Mashavu Alawi Haji kuingia ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Kwa ajili kuchukua fomu za kuwania nafasi hiyo. Source EATV...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC yamkabidhi Fomu Mgombea Urais wa TADEA, Georges Bussungu

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Democratic Alliance (TADEA)...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Mongella: Uteuzi wa mgombea Urais CCM haukukiuka katiba

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongella amesema mchakato wa kumteua mgombea wa urais wa Tanzania ulizingatia Katiba ya chama hicho.
  8. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu mgombea urais na Devotha Minja mgombea mwenza kupitia CHAUMMA

    chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimemteua Salum Mwalimu kugombea urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu Oktoba 2025. Salum alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar kabla ya kuhamia CHAUMMA. Wakuu, Leo ndo tutajua nani atachaguliwa na CHAUMMA...
  9. Parabolic

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA kuteua mgombea urais Agosti 7

    Kulingana na taarifa iliyotolewa leo Agosti 5, 2025 na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Taarifa kwa Umma, John Mrema, Agosti 7 kutakuwa na mkutano mkuu utakaokuwa na ajenda ya kupitisha Ilani ya uchaguzi na ajenda ya kutelua wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano na Zanzibar.
  10. Adharusi

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CCM kuhusu mgombea urais wa chama

    Kwanza, nikipongeze Chama cha Mapinduzi kwa mchakato wa kura ya maoni kwa wagombea ubunge na madiwani wa majimbo (uteuzi kwenye vyombo vya dola). Nakipongeza sana Chama cha Mapinduzi kwa kurudisha utaratibu huu wa kura ya maoni kupigwa kwenye kata kwa wajumbe wote wa matawi mpaka mabalozi...
  11. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kisiasa, lawama zote ni kwa Kikwete kwa kuvuruga uteuzi wa mgombea Urais, lakini TUJISAHIHISHE

    Sintofahamu tunayoiona sasa ndani ya CCM, imetengenezwa na rais mstaafu Jakaya Kikwete. Wanachama wa CCM tunalaumu kwa vile utaratibu wa kikatiba haukufuatwa. Suala la kumteua mgombea wa kiti cha urais NJE ya utaratibu na katiba ya chama lilikuwa kosa kubwa. Na hili limemjengea Mwenyekiti wa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Vigogo 3 wa CCM wajipanga kwenda mahakamani kupinga uteuzi wa mgombea urais kwa tiketi ya CCM

    Polepole ameamsha hasira miongoni mwa wanaccm walio wengi. Na hivyo kupelekea vigogo 3 kujipanga kwenda mahakamani kuzuia uteuzi wa mgombea urais kwa madai kuwa mchakato haukufuata katiba, kanuni na taratibu za chama chao. Endapo shauri hilo litafunguliwa, kuna uwezekano mkubwa CCM ikafuata...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Maliki Marupu amememjibu Dkt Malisa amemwambia akasome Katiba vizuri

    Aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi CCM mwaka 2015, Maliki Marupu licha ya kumjibu mwanachama mwenzake Humphrey Polepole kufuatia kauli yake kuhusu mchakato wa uchaguzi wa urais ndani ya chama hicho pia amemvaa Dkt Godfrey Malisa . Marupu ameyasema hayo kufuatia hoja alizoziibua Dkt...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Polepole na uzalendo mpya! Ana uchungu na katiba ya CCM kuliko ya nchi?

    NDUGU POLEPOLE NA UZALENDO MPYA! ANA UCHUNGU NA KATIBA YA CCM KULIKO YA NCHI. Sote tunajua Uzalendo maana yake ni mapenzi ya mtu kwa nchi yake. Lakini Balozi Polepole amekuja na tafsiri nyingine tofauti , Polepole amekuwepo nyakati zote Katiba ya nchi ikivunjwa tena Kwa ushabiki mkubwa...
  15. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Piga picha nini Msajili wa vyama angeifanyia CHADEMA kama ingepitisha mgombea Urais kwa mwendokasi bila kutoa fursa kwa wanachama wengine?

    PIGA PICHA NINI MSAJILI ANGEIFANYIA CHADEMA KAMA INGEPITISHA MGOMBEA URAS KWA MWENDOKASI BILA KUTOA FURSA KWA WANACHAMA WENGINE?
  16. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu anafaa kuwa mgombea urais

    Jambo moja sielewi, kwamba watu wengine wanataka mchakato wa kumpata mgombea urais CCM urudiwe ili Samia Suluhu athibitishwe au hata abadilishwe. Sioni sababu,kwa sababu Rais Samia amefanya kazi nzuri,na akichaguliwa tena ataendelea kama alivyofanya mwanzo. Anajenga flyover,anajenga daraja...
  17. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Coaster Kibonde: Mgombea anayenipa Changamoto nafasi ya Urais ni Mgombea wa CCM

    Kauli hiyo imesema na Coaster Kibonde Mgombea Uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Demokrasia MAKINI katika kipindi cha MORNINGBANTU cha Star Times Bongo
  18. mkuuwakaya

    JamiiForums Tanzania Kwamba Mwenyekiti wa CCM Taifa amejipitisha kuwa mgombea urais kwa mlango wa uani/jikoni? Na Msajili kajikalia kimyaaa kama hamna kilichotokea

    Kama kichwa cha mada kinavyojieleza. Hali hii ndugu zangu haitapita hivi hivi, hata kama mgombea ambaye amepitishwa na JK atapita hapo Oktoba. Hali hii itaendelea kukitafuna chama chetu na kuleta mgawanyiko mkubwa. USHAURI: Tufuate utaratibu wa watu kwenda kuchukua fomu, na kama tutakubaliana...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyepinga uteuzi mgombea Urais CCM aibuka tena, asema sio tu katiba ya chama iliyovunjwa, bali hata katiba ya Tanzania ilivunjwa

    Mchungaji Dk.Godfrey Malisa aliyefutwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameendelea kusisitiza kuwa kilichofanywa na Chama hicho kumpitisha Rais Dk. Samia kuwania nafasi ya Urais haikuwa sehemu ya Mkutano Mkuu wa CCM kwani agenda hiyo ilipachikwa dakika za mwisho hivyo kuna maswali ya...
  20. Common Folk

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mch. Dk. Godfrey Malisa: Naendelea kusisitiza katiba ya nchi na chama zilivunjwa kwa kumteua SSH kuwa mgombea Urais wa CCM

    Mchungaji Dk.Godfrey Malisa aliyefutwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameendelea kusisitiza kuwa kilichofanywa na Chama hicho kumpitisha Rais Dk. Samia kuwania nafasi ya Urais haikuwa sehemu ya Mkutano Mkuu wa CCM kwani agenda hiyo ilipachikwa dakika za mwisho hivyo kuna maswali ya...
Back
Top Bottom