mgombea urais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    GE2025 Mgombea urais kupitia CCK aahidi kutoa ekari tano za shamba kwa kila kijana kuanzia umri wa miaka 21 hadi 35

    Mgombea urais kupitia tiketi ya Chama Cha Kijamii (CCK), Coaster Kibonde ameahidi kutoa ekari tano za shamba kwa kila kijana kuanzia umri wa miaka 21 hadi 35 ilikuboresha maisha ya vijana, kwa upande mwingine Kibonde ameahidi kutoa elimu bure kuanzia elimu cha awali hadi chuo kikuu.
  2. Roving Journalist

    GE2025 Kesi ya Mpina kuzuiwa kugombea Urais Kupitia ACT inaendelea leo Septemba 8, 2025 Saa 8 Mchana Mahakama Kuu Dodoma

    Kesi ya Luhaga Joelson Mpina dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi ya kuzuiliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia ACT Wazalendo, itaendelea Leo Saa 8 mchana katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma. Chama cha ACT kimesema Waandishi wa Habari wanakaribishwa Kuhudhuria...
  3. Roving Journalist

    GE2025 Mgombea Urais kupitia CCM, Dkt. Samia akiwa katika Kampeni - Makambako Mkoani Njombe, Septemba 6, 2025

    https://www.youtube.com/live/ir1LWQnv3m0?si=YhzAuPVswyg_nq9Z Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Makambako Mkoani Njombe leo tarehe 06 Septemba, 2025. Wananchi waliojitokeza...
  4. Roving Journalist

    GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Mada Maalum itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza Dkt. Emmanuel Nchimbi. Agosti 27, 2025 Mwenyekiti wa INEC, Jaji Mstaafu Jacobs Mwambegele kwa mamlaka aliyopewa amemteua Samia Suluhu...
  5. DuaZaMama

    GE2025 Mgombea Urais (NLD): Mbunge analipwa mshahara wa millioni 12 uzalendo uko wapi?

    Mgombea Urais kupitia Chama cha National League For Democracy (NLD) Mhe. Doyo Hassan Doyo amesema akifanikiwa kupata ridhaa ya Watanzania na kuwa Rais wa Nchi atahakikisha anashusha Maslahi ya wabunge wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania hadi kufikia Milioni 1.5 huku Madaktari Bingwa wakipokea...
  6. Roving Journalist

    GE2025 Mapokezi ya Mgombea Urais kupitia NLD, Doyo Hassan Doyo Mkoani Tanga, Septemba 4, 2025

    Mapokezi ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Doyo Hassan Doyo, leo Septemba 4, 2025 alielekea katika Viwanja vya Stendi ya Pangani, jijini Tanga, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa kampeni za chama NLD.
  7. DuaZaMama

    GE2025 Mgombea urais (AAFP): Ukifanya Fujo Zanzibar upelekwe Guantanamo

    Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha Wakulima (AAFP) Said Soud, amekiaasa chama cha ACT Wazalendo kuacha kuhamasisha fujo kwa kisingizio cha kura ya mapema kwani kufanya hivyo ni kuonesha kwamba wana uchu wa madaraka. Mgombea huyo ameutaka Umoja wa mataifa, Jumuiya ya madola SADC...
  8. DuaZaMama

    GE2025 David Ernest Silinde Awaapisha wanatunduma kumpigia Mgombea urais kupitia CCM

    Mgombea ubunge wa jimbo la Tunduma kupitia chama cha mapinduzi CCM amewaapisha wanatunduma kumpigia Mgombea wa nafasi ya urais kupitia chama hicho Samia Suluhu Hassan, amefanya hivyo leo katika kampeni za chama hicho Tunduma, mkoani Songwe.
  9. McLaren

    Mgombea Urais chama cha MAKINI: Tukishinda tutagawa bodaboda bure

    Wakuu, Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo chama hicho kitapewa ridhaa ya kuongoza dola, kitatoa bodaboda milioni moja kwa vijana kwa ajili yao ili wajiajiri.
  10. S

    Yule Mgombea anayependwa zaidi Duniani kwa sasa Dkt. Samia Suluuhu Hassan Kutikisa Songwe

    https://www.youtube.com/live/oKhmY026yws?si=5-O75s2JdtUZjczD Angalia hii Live yanayoendelea Songwe-MLOWO Leo, macho na masikio ya Watanzania yameelekezwa Mkoani Songwe ambako mgombea urais anayependwa zaidi duniani kwa sasa, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anaendelea...
  11. S

    Niko njiani naelekea Sumbawanga nikanunue radi ya kumtupia mgombea urais

    Unadhani ni mgombea yupi anastahili kutupiwa radi?? Mgombea atakayetajwa na wengi ndiye nitamtupia hiyo radi.
  12. JanguKamaJangu

    GE2025 Mgombea Urais (NLD), Doyo: Kukimbiwa na Waandishi wa Habari ni jambo ambalo limetufedhehesha

    Mgombea Urais kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo amelalamikia Vyombo vya Habari kuwapa nafasi Wagombea wa upande mmoja na kuacha vyama vingine vikiwa havina watu wa kuwaripotia taarifa zao. AMeyasema hayo jana Agosti 31, 2025 alipokuwa akizungumza na baadhi...
  13. JanguKamaJangu

    GE2025 Chama cha NLD chaomba radhi kwa kusitishwa kwa shughuli za kampeni za Mgombea Urais mnamo Agosti 31, 2025

    TAARIFA RASMI YA CHAMA CHA NLD KUHUSU KUSITISHWA KWA SHAMRASHAMRA ZA KUMPONGEZA MGOMBEA URAIS MHE. DOYO HASSAN DOYO NA MGOMBEA MWENZA BI. CHAUSIKU KHATIBU, NA KUOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE ULIOJITOKEZA Chama cha National League for Democracy (NLD) kinapenda kutoa taarifa rasmi kwa waandishi...
  14. DuaZaMama

    GE2025 Mgombea Urais Zanzibar atinga na Bodaboda kuchukua fomu

    Mgombea urais Zanzibar, Ameir Hassan Ameir, ameonesha utofauti kwa kutinga na usafiri wa bodaboda kwenda kuchukua fomu ya kuwania urais. Soma Pia: GE2025 - CCM Zanzibar yatangaza Ratiba ya Mgombea Urais Kuchukua Fomu
  15. P

    Dodomaa inasimama na mgombea urais Dkt Samia Suluhu Hasan

    Nimekuwa na wakati mzuri pamoja na wakazi wa Dodoma tukielezana yale ambayo serikali yao imefanya kwa manufaa yao katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, na mipango yetu kwao kwa miaka mitano ijayo, baada ya wao kutupa ridhaa kupitia Uchaguzi Mkuu 2025. Nimewashukuru kwa kuendelea kukiamini...
  16. toto2000

    Mapokezi ya mgombea urais CCM Kibaigwa-Dodoma

    "Kibaigwa tumeshuhudia historia ikijengwa—umoja na maendeleo mbele kwa mbele! ✊🌍
  17. ndege JOHN

    Polepole ana akili kubwa sana anachofanya NI kujitengenezea mazingira mazuri Sana ya kuja kuwa mgombea urais 2045.

    Kwa sababu kausoma mchezo kaona asilimia kubwa ya Hilo kundi la wanamtandao anaowataja wengi wao NI watu wazima wenye zaidi ya Miaka 60 na kama mnavyojua umri tuliopewa na Mungu average NI Miaka 70 so ashajua Miaka 20 ijayo wengi wao watakuwa washarudisha namba kwa mola. Hiyo NI move nzuri Sana...
  18. chiembe

    Nashauri CCM iteua mwandishi kutoka kila chombo wa kutembea naye

    Haya mambo ya na hujuma kila mahali. Jana nadhani yule ni Idda Mushi, ndiye alipewa kazi ya kuripoti ziara ya kampeni.! Naongelea taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku Kwa kushirikiana na Mhariri wa ITV walikuwa wanaonyesha sehemu ambazo watu hawakukaa kwa sababu ya jua kali, mwisho kabisa...
  19. S

    GE2025 Sifa 90 alizokuwa nazo Samia Suluhu Hassan, mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM

    Hizi ndio sifa 90 za Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi, Dkt.Samia Suluhu Hassan. 1. Anajitambua 2. Analijua vizuri eneo (Nchi) analoliongoza na watu wake 3. Anaielewa vizuri kazi yake na mipaka yake 4. Ni mcha mungu, anatii amri za Mungu na Maelekezo ya Dini yake 5. Anatunza afya yake jambo...
  20. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Machifu Morongoro wafanya tambiko kumuombea mgombea urais kupitia CCM Samia Suluhu

    Wazee wa kimila pamoja na Machifu mkoani Morogoro wamefanya tambiko maalum kwa ajili ya kumpokea na kumuombea mgombea wa Urais kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono kampeni zake mkoani humo. Akizungumza wakati wa tukio hilo...
Back
Top Bottom