mgogoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Urusi na Ukraine: Nchi za magharibi zaumbuka. Zilitaka kupeleka silaha Ukraine zikidai ni misaada ya kibinadamu

    Wafanyakazi wa viwanja vya ndege wamegoma kupakia shehena ya silaha Toka Nchi za magharibi, huku zikiwa zimeandikwa kuwa ni shehena ya madawa na vyakula Kama misaada ya kibinadamu! Nchi za magharibi ni washenzi! Wanashangilia vita kwa kuwa kwao ni soko la silaha na fursa ya kufanya majaribio ya...
  2. JamiiForums Tanzania Katavi: Serikali waombwa kuingilia kati mgogoro wa ardhi, wadai wawekezaji wamepewa kinyume na utaratibu wa sheria

    BAADH ya wananchi wa Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi wameiomba Serikali ya Mkoa huo kuingilia kati mgogoro wa ardhi wa zaidi ya hekali 40 zilizopo katika Kitongoji cha Jelemanga "A" na "D"kijini cha Milala. Mgogoro huo uliodumu muda mrefu unatokana na baadhi ya wananchi kudai kuchukuliwa...
  3. JamiiForums Tanzania Wakili amtaja mtu atakayemuokoa Makonda mgogoro dhidi ya GSM, afafanua kosa alilofanya kisheria

    Mgogoro wa kuwani eneo uliopo kati ya Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabishara maarufu Ghalib Said Muhamed (GSM) unaendelea na hadi sasa kila upande unavuta upande wake ukiamini wenyewe ndiyo una umiliki halali wa eneo hilo. Tayari GSM kupitia Mwanasheria, Alex...
  4. JamiiForums Tanzania Elimu ya ardhi mgogoro wa Makonda na GSM

    Adv. Taslima Kaijage +255 715 / 784 / 774 - 161820 1. Ukinunua ardhi(nyumba,kiwanja,shamba)hakikisha unafannya transfer(kuhamisha umiliki kutoka aliyekuuzia kwenda jina lako Mnunuzi) mara moja kadri uwezavyo. Wengi mkinunua kwasababu hakuna anayekulazimisha kufanya transfer kwa haraka basi...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna hii taarifa ya mgomo wa mabasi Mtwara – Masasi, Mtwara – Lindi

    Madereva wa magari yanayofanya safari Kati ya Mtwara na Masasi na Mtwara Lindi wamegoma kufanya kazi kutokea stendi kuu ya mkoani Mtwara kwa madai ya kutoridhika na nauli ya sasa na kutaka ongezeko la nauli. Kwa sasa nauli ya Mtwara Masasi ni 7,500 na wanataka ifike 10,000. Na Mtwara Lindi...
  6. JamiiForums Tanzania UN: neno 'war' na 'invasion' yasitumike kwenye mgogoro wa Russia/Ukrain. Yatoa muongozo.

    Screenshot: from Twitter.
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel akutana na Putin kumaliza mgogoro Ukraine, Marekani yabariki

    Waziri Mkuu wa Israel, Naftali Bennett amekutana kwenye mazungumzo ya saa tatu na Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika Jiji la Moscow, Urusi katika harakati za kutatua mzozo wa Urusi na Ukraine, mazungumzo hayo yamepewa baraka na Utawala wa Marekani. Mazungumzo hayo ya kidiplomasia yamesimamiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Ajiua kwa kujitumbukiza kisimani baada ya kuua mke, mtoto kisa mgogoro wa michepuko

    Mwanaume aliyejulikana kwa jina la Madirisha Kanyalu (60) amejiua kwa kujitumbukiza kwenye kisima baada ya kumuua mtoto wake Meshack Madirisha (miezi 11) pamoja na mkewe aitwaye Evodia Nyerere (27) kwa kutumia kitu chenye makali akimtuhumu mkewe kuchepuka na wanaume wengine. Kwa mujibu wa Kaimu...
  9. JamiiForums Tanzania Wapenzi wa timu ya Chelsea na Bilionea wenu Roman Abromavich mnachangia mgogoro wa Ukraine. Bunge la Uingereza lataka mali za bilionea huyo zikamatwe

    Wapenzi wa timu ya Chelsea na Bilionea Tajiri wenu Roman Abromavich mnachangia mgogoro wa Ukraine bunge uingereza lataka mali za bilionea huyo zikamatwe na anyanganywe timu ya Chelsea kwa sababu yeye rafiki mkubwa wa Putin na ana uhusiano na biashara zake na Russia zinazotakiwa kuwa freezed za...
  10. JamiiForums Tanzania Fredrick Lowassa afunguka mgogoro wa Ngorongoro, asema “Wamasai wana haki”

    Picha: Fredrick Lowassa Mbunge wa Jimbo la Monduli, Fredrick Lowassa kupitia mtandao wake wa Instagram, ameandika kuwa jamii ya Wamasai kutoka Ngorongoro ni Watanzania na wana haki sawa Kama Watanzania wengine. “Wamasai wa Ngorongoro ni Watanzania na wana HAKI sawa kama Watanzania wengine...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa ardhi Ngorongoro usiposhughulikiwa vizuri waweza kuwa kitisho cha usalama kwa Taifa

    Mgogoro wa ardhi ya wamasai kule ngorongoro usiposhughulikiwa kwa hekima na busara basi waweza geuka kuwa kitisho kikubwa cha usalama wa Taifa kwa sababu kama nilivyowahi sema hapo zamani kwenye makala yangu jinsi idara zetu za usalama zimejikita na siasa kiasi mataifa yakigeni yanatengeneza...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mgogoro Ngorongoro: Gazeti la The Guardian, mmelipwa au ni kujitoa ufahamu?

    Inasikitisha sana tunakoelekea, jana Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitembelea kata ya Loliondo mkoani Arusha na kwenye hoja za msingi alizoongelea tena kwa urefu na kuwapa wakazi wa eneo lile fursa ya kuchangia ni kuhusu pori tengefu la Loliondo. Tena kama haitoshi alisisitiza kabisa kwamba...
  13. JamiiForums Tanzania Msimamo wa China kuhusu mgogoro wa Ukraine

    Wiki iliyopita, waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi alitaja masuala ya usalama ya Urusi kuwa "halali", akisema yanapaswa "kuchukuliwa kwa uzito na kushughulikiwa". Siku ya Jumatatu, balozi wa China katika Umoja wa Mataifa Zhang Jun alikwenda mbali zaidi na kusema moja kwa moja kwamba China...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibari ukivunjika,na ukatokea mgogoro, mgogoro huo utasuluhishwa na mahakama ipi au mkataba uko kimya juu ya hili?

    Ni wazi wananchi wa pande zote za Muungano huu hawaridhiki na huu Muungano na ni wanasiasa ndio wanaoung'ang'ania kwa masilahi yao, hivyo ni swala la muda Muungano huu kuja kuvunjika au kuzua mgogoro mkubwa. Swali langu ni je, Muungano ukivunjika na ukatokea mgogoro labda katika kugawana...
  15. JamiiForums Tanzania Mgogoro mkubwa baina ya Serikali na wananchi waishio ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro

    Wasalaam kutoka Ngorongoro. JF na Great thinkers wote wa humu wamekuwa na mchango mkubwa kwa matatizo yanayowakabili wananchi wa Tanzania kutoka maeneo mbalimbali... Nawandikia hivi ikiwa kuna mgogoro mkubwa ndani ya Ngorongoro ikihusishwa na nia ya Serikali kutaka kuwaondoa wananchi hao...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya na Marekani zajadili mgogoro wa Ethiopia na masuala ya Afrika

    Waziri wa mambo ya nje Marekani amewasiliana na rais Uhuru kwa simu wakaijadili Ethiopia na udhabiti wa Afrika kwa jumla..... Kenya's President Uhuru Kenyatta and US Secretary of State Antony J. Blinken on Tuesday held talks with peace in Ethiopia and Somalia topping the agenda. State...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia amaliza mgogoro wa miaka kumi kati ya Tanzania na Afrika Kusini

    Kumekuwa na mgogoro mkali wa kibiashara hasa ya Parachichi baina ya Tanzania na Afrika ya Kusini uliodumu kwa mwongo mzima(miaka kumi) sasa bila muafaka wowote. Mtakumbuka February, 2021 kabla ya ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan Jumla ya tani 3.514 za avocados|parachichi toka Tanzania...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa CHATO wazaa mgogoro wa kiutawala, kikabila na kielimu

    Upendeleo Siku zote ufarakanisha watu, walipoanza kujenga uwanja wa ndege na majumba makubwa Chato tulitahadharishwa kwamba Hawa watu wanaelekea kujitenga na kujitengenezea Mamlaka yao. Tulioambiwa tumkemee huyu mtu atavuruga Wananchi tulimsifia kwamba ni mzalendo. Leo aliyokuwa anayafanya...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Ufumbuzi wa Kudumu wa Mgogoro wa Israel na Palestina

    Kufuatia dunia kukata tamaa kwamba mgogoro wa Israel na Palestina hauwezikuisha asilani na kwamba dunia imegawanyika katika mgogoro huu kwa kuchukuwa pande mbili ambapo upande mmoja wa dola za Magharibi kushikilia kuiunga mkono Israel (kisirisiri) na upande wa dunia ya Waarabu na Waafrika...
  20. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa KKKT Konde: Tatizo ni hela iliyoliwa na kundi la Askofu

    Imebidi niingie chimbo kuchunguza mgogoro huu wa Dayosisi ya Konde. Wazungu wanasema penye mgogoro usiotaka kuisha- FOLLOW THE MONEY! Kiti cha Askofu kimeshindwa kurudishwa Tukuyu maana ofisi ya Tukuyu ilimokuwa Dayosisi imeuzwa au kupangishwa kwa milioni 200. Ofisi wameuziwa au kupangishwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…