Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, Alhamisi Mei 28.2026, Mahakama imeifuta rasmi na kuindoa Mahakamani Hati ya kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu...