Nafasi ya Dini Katika Mgawanyo wa Madaraka

Nafasi ya Dini Katika Mgawanyo wa Madaraka

Lebanon ilikuwa nchi nzuri sana ilipoanza kuwa na huruma na kupokea wakimbizi wa kipalestina wa kiislamu shida zilianza hapo na zimeendelea mpaka sasa na ndicho kinachoanza kutokea UK na US na sehemu kubwa ya ulaya na infact muslim brotherhood wataichukua US, na Europe na wananchi hasa Christians wa nchi hizo watapitia dhiki kuu ambayo haijawahi kuwepo.
 
Madaraka hayahitaji dini, yanahitaji elimu
Elimu bila kuelimika ni upumbavu

Imagine professor au doctor anajivunia dini yake publicaly huu si usenge.

Waangalie wakina lipumba, Fatma karume, Zitto na Gwajima, Ismail jusa butiku &.com si Wana elimu mbona elimu zao haziwasaidii kukemea uhuni muda wote rais awe muislam wengine watakaa kimya rais awe mkristo wengine watakaa kmy.

Elimu sio kila kitu ndio maana Lissu, Mange , Warioba na Shekh ponda wamenyooka kwasababu wamekataa kutumia dini zao kufanya siasa wanasimama na uhalisia.

Udini uwa ndani ya mtu automatically hata asome vipi anazidi kuwa mpumbavu tu
 
Back
Top Bottom