mganga

Mganga (mganga wa kienyeji) ni mtu anayehudumia watu kwa njia za kienyeji ikiwemo kutibu.
  1. Mshana Jr

    Jinsi Nilivyomtapeli Mganga wa Kienyeji: Simulizi ya "Mjanja Aliyekutana na Mwerevu"

    Watu wengi husema mganga wa kienyeji ni mtu wa kuogopwa. Wanasema ana macho yanayoona mbali na majini yanayompa taarifa za kila anayemtembelea. Lakini siku hiyo, niliamua kuthibitisha kuwa hata "nguvu za giza" hupigwa na giza la njaa na tamaa. Mtego wa Kisaikolojia Mganga huyu, ( jina kapuni")...
  2. A

    DOKEZO Tuhuma za Mganga Mkuu Serengeti, asimamishwe na kuchunguzwa

    kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma ambazo zinathibitika za mganga mkuu wa halmashauri ya wilaya ya serengeti nashangaa mamlaka zake mkoa ,Tamisemi na wizara zikikaa kimya pasipo kutusaidia watumishi. Ofisi imegeuka sehemu ya madili na kosa aonekane mtu anaenda kinyume ni anapewa uhamisho...
  3. M16_kwaoz

    Wezi wananifilisi

    Habari wanajamvi... Kwamuda wa mwaka na miezi kadhaa,nimekuwa nasumbuliwa na wezi kuiba kwenye sehemu ninapofanyia shughuli zangu za uzalishaji wa kipato cha kila leo. Ninafanya shuguhuli za bustani ya mazao ya kilimo haswa michikichi na miti(matunda) na ya kawaida..Wezi wamekuwa wakiniibia...
  4. A

    KERO Alichosema Jaji Mkuu hutasikia Mganga Mkuu wa Serikali anakisema kwa niaba ya wadau wake

    Yote aliyosema Jaji mkuu yanaakisi Mmomonyoko wa uwajibikajo kwa taasisi nyingi na Baadhi ya Sekta na Wizara,, hususa Wizara ya Afya na Sekta ya Afy. Nchi imekua na utendaji mbovu kutokana na watumishi kutopewa stahiki zao, kubadilishiwa Miundo ya Mishahara kulingana na hali ya kiuchumi...
  5. Scared

    Wazee anayejua mganga mzuri, nimeibiwa tofali zangu site

    Nilipeleka site tofali 500 miezi mitano iliyopita Leo nimetoka kutembelea nimekuta hazipo majirani nawauliza wanasema walisafiri kwamba hawakuwepo hivyo natafuta mganga wa kuweza kufanya hii kazi kikamilifu aiwezekani mtu ujibane Kwa ajili ya ujenzi halafu mijitu inakuja kubeba tu tofali zangu...
  6. Moto wa volcano

    Ni nani anasema kwenda kwa mganga wa kienyeji ni dhambi !? Huo ni upotoshaji

    Kuna mafundisho ktk dini zetu hizi haswa walokole wanawapoteza watu , sioni kama kuna tatizo kwa mtu ambaye ana matatizo ya kiafya kwenda kutafuta tiba kwa waganga wa kienyeji hakuna ubaya wowote wala dhambi. Tiba za kienyeji ni uumbaji wa Mungu kuwasaidia watu kuondokana na maradhi mbali...
  7. Its Tesha

    Video: Tangazo la uchaguzi kama uchawi, Oktoba tunatoka hakuna mganga zaidi ya wananchi

    Amkeni watanzania Bongo Movie ya CCM imetoka Rami ebu watuache kidogo hahahahahahahahahaah
  8. Kikubwa Pumzi

    Nisaidieni kumpata mganga mzuri wa kuinua nyota na kufungua riziki kiuchumi

    Mambo yangu ya kimaisha yamekuwa magumu sana, mambo hayaendi vitu havifunguki watu wamejiweka pembeni na mimi. Nahitaji taji spiritual support. Maisha yangu yamekuwa ya kuangaika kwa miaka na miaka sipati nafuu ya life. Toka ujana mpaka naingia utu uzima. Naomba mwenye mganga konki kabisa wa...
  9. R

    Mganga amuua Mteja wake na kufukia Mwili Shimoni, Pwani

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia kijana mmoja aitwaye Ally Juma Shaban, Miaka 29, Mganga wa tiba asilia na Mkazi wa Makazi Mapya, Mlandizi kwa tuhuma za mauaji ya Juma Yoram Nyambihira, Miaka 58, Mkazi wa Makazi Mapya Mlandizi. Inaelezwa mnamo Tarehe 29.08.2025 Jeshi la Polisi Mkoa...
  10. Roving Journalist

    Mganga Mkuu wa Serikali afafanua sakata la Muuguzi na Askari kuvutana Wodini Hospitali ya Kibondo

    Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe amewatoa hofu wananchi juu ya picha mjongeo (video) iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha Muuguzi na Askari wakivutana katika Hospitali ya Halmashauri ya Kibondo huku ikidaiwa askari kuvamia chumba cha kujifungulia, jambo ambalo amesema sio kweli na likiwa...
  11. Maya Angelou

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha. Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa...
  12. ELI COHEN

    Hivi bado kuna mtu anaamini kuwa vyama vya siasa vya upinzani ndio vitaleta mageuzi katika taifa hili?

    Vyama hivi vinavyotumika kama stepping stone ya career za watu, kufanyiana unafiki wao kwa wao, loyalty chalii.., kurubunika, etc Upande wangu, i dont think so.
  13. jamaikatz

    Mikoa 7 huwezi kufanya biashara kama huna mganga wa kweli

    1.Njombe 2.Mbeya 3.Mwanza 4.Katavi 5.Rukwa 6.Dar 7.Simiyu
  14. ELI COHEN

    Cameramen huwa hawaanguki na mapepo, njia ya kwenda kwa mganga imejaa masikini ila we unatoka mjin kufata utajir kwake, ishara ni nying ila mwafrika🤣

    Tunahangaika na vitu ambavyo tunataka vi-prove kitu kwetu wakati hata vyenyewe binafsi haviwezi hata kuji-prove.
  15. Bei Rahisi Electronics

    Mama yangu amenipeleka kwa mganga

    Wakuu mama yangu amenipeleka kwa mganga wa kienyeji baada kutoona Maendeleo licha ya kuwa na kazi nzuri masharti niliyopewa nisifanye Mapenzi mpka naoa nikifanya nitakufa hivi ni kweli
  16. JanguKamaJangu

    Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt.Grace Magembe: Ugonjwa wa Vikope umetokomezwa kwenye Halmashauri 64 nchini

    Serikali kwa kushirikina na Shirika la Kimataifa la Ujerumani Hellen Keller, imewatibu wagonjwa wa vikope na kutoa tiba ya upasuaji wa mtoto wa jicho kwa watu wapatao 100,000 katika Halmashauri 64 nchini. Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt.Grace Magembe ameyasema hayo Agosti 4, 2025, mara baada...
  17. A

    KERO Uonevu unaofanywa na Mganga Mkuu wa Wilaya ya Serengeti

    Mganga mkuu wa wilaya anaharibu idara ya afya na kamati ya afya mkoa wanafahamu. Mkurugenzi anafahamu. Anawasimamisha kazi watumishi bila kufuata utaratibu na bila mkurugenzi kujua. Amewasimamisha watumishi wa kituo cha afya Natta bila Mkurugenzi kushirikishwa (ambaye ni mwajiri). Amemchukua...
  18. Kipenzi Changu

    Vibe la No Reforms No election mitandaoni; Mganga wa Chadema sio tapeli

    Watz wamevamia posts za Rais Samia kama nyuki. Namuona akifunga comments kwa posts ijayo Msigwa anatukana watu huku amefunga comments Post yeyote ya public figure watu wanavamia kama manyigu na NRNE, wapo mpaka pages za Simba na Yanga. Hawa watu mimi sijui wametokea wapi. Insta inatisha...
  19. Mr Beach Boy

    Hizi ndio kauli zangu pendwa kutoka kwa mshana Jr

    Kupitia post na mazungumzo na Mr IQ intelligence mshana Jr The platinum nimejifunza haya hapa. 01.Waganga wanafanya KAZI kwa kumuomba Mungu, na wewe usimuombe Mungu kupitia mganga(Muombe Mungu moja kwa moja utafamikiwa) 02.Sema sana ongea sana ila Usiombe yakukute. 03.kwenye maisha Kuna...
Back
Top Bottom