mgahawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zikwe

    Nahitaji Eneo la Biashara ya Chipsi

    Habari Wana JF, Kama Kichwa Kilivyoeleza. Nahitaji Eneo la Biashara ya Chipsi Na Mgahawa Kwa Kupanga Na Ikiwezekana Tuma Na Picha Ya Eneo Lenyewe tuje tuingie Mkataba. Haya ndo Maeneo Ninayoitaji Eneo Hilo Liwepo; i) - Sinza ii) - Kinondoni iii) - Magomeni !v) - Mbezi Karibu na Magufuri...
  2. Mbunifu Mwaminifu

    Nataka kufungua mgahawa ambao utakuwa maalum kwa kuuza Biriani tu maeneo ya Kinondoni

    Salaams wana jamvi. Mimi ni mdau wa miaka mingi humu ila sio mara nyingi kuwa active lakini huwa napitia sana baadhi ya thread zinazohusu biashara na ujasiriamali. Mimi naishi maeneo ya Kitunda relini na by profession ni Graphics designer ila tangu nikiwa kijana mdogo (teenager) miongoni mwa...
  3. B

    Mgahawa wa ajabu, nani yupo free nimpeleke

    Je unaweza kushiriki chakula cha jioni ukiwa mtupu bila nguo na watu 40 usiowafahamu? • Huko nchini Marekani upo mgahawa unaowapokea wateja wanaopenda kupata mlo wakiwa watupu. • "The Füde Breathwork Experience" mjini New York City ni hafla ya chakula cha jioni ambapo washiriki hula chakula huku...
  4. Mohammed wa 5

    Kisa kifo Cha AKA mgahawa wa wish on Florida umeshuka pakubwa kibiashara

    Uongozi wa mgahawa maarufu huko Darban Afrika kusini WISH pale ambako AKA alipigwa risasi,Baada ya kupata chakula chake Cha mwisho,last supper. Unatangaza kuufunga mgahawa wa WISH kuanzia tareh 10/4/ Wanatarajia kuwaalika watu mbalimbali kula chakula Cha mwisho unaoitwa last supper kwa ajiri...
  5. Bwanamaya

    Msaada wa namna ya kuendesha biashara ya mgahawa ambao ni Classic, ingawa siyo sana

    Wapendwa kama ambavyo nimeandika hapo, naomba msaada wa kitaalamu jinsi ya kuendesha biashara hii. Sijafungua ila nimesha fanya maandalizi ya chumba pamoja na vifaa baadhi, ishu kubwa itakuwa kwenye ku-manage pesa na wafanyakazi nk.
  6. JanguKamaJangu

    Italia: Wanawake watatu wauawa kwa risasi katika mgahawa

    Tukio hilo limetokea baada ya mtuhumiwa kuingia katika mgahawa huo na kuanza kuzungumza kwa sauti “Nitawaua wote humu”, muda mfupi baadaye alianza kufyatua risasi ambazo pia zimejeruhi watu wengine wanne huku mmoja akiwa kwenye hali mbaya kiafya. Mtuhumiwa ambaye ana umri wa miaka 57...
  7. KISUNZU YP

    Anatafutwa mhudumu wa mgahawa

  8. Ms Billionaire

    House4Rent Eneo la Bar/ Mgahawa unapangishwa Sinza

    Mgahawa/ Bar ipo maeneo ya sinza mugabe. Kodi ni laki tatu na nusu maongezi yapo. Unakodishiwa viti pia na eneo ni kubwa la kutosha.
  9. Melki Wamatukio

    Nilimpatia elfu tisini jana, leo kakataa kunikopesha chakula kwenye mgahawa wake

    Habari zenu wana JF, Nina mahusiano na bidada mdogo tu ambaye anamiliki mgahawa mdogo tu, lakini unamuingizia pesa si chini ya 20K kwa siku, ni mchapakazi kweli kweli na shughuli zote anazifanya mwenyewe kitu kilichonivutia kuwa naye! Mgahawa wake ndo ulikuwa chanzo cha mimi na yeye kufahamiana...
  10. Zikwe

    Kama unahitaji mpishii wa kupika kwenye shughuli yako yoyote au mgahawa, nipo tayari kufanya kazi

    Habari Zenu Wakuu. Mimi ni Kijana wa Kiume Mwenye uzoefu wa miaka mitano(5) kwenye kupika na Ninaeamini Kwenye kufanya kazi kwa bidii na Pia kutekeleza Jukumu unalopewa kwa wakati Sahihi. Hivyo Kama Unaitaji Mpishi wa kupika kwenye Shughuli yako Yoyote mfano HARUSI, KITCHEN PARTY...
  11. Mac Alpho

    Nilivyoingiza 17.6M ndani ya mwaka mmoja na nusu, kwa biashara ya Mgahawa kwa mtaji wa kawaida kabisa

    Habari zenu humu ndani? si muandishi mzuri sana wa nyuzi humu jf ila leo nimejisikia kushare kitu kidogo na nyinyi juu ya biashara, nikiamini kwamba naweza kubadili fikira za baadhi ya vijana na wazee humu juu ya biashara. Kwa taaluma mimi ni Civil Engineer na huwa napata vikazikazi ambavyo...
  12. Papaa Mobimba

    Video: Inadaiwa kutokea Kisumu, kibaka akwapua simu za wazungu kwenye mgahawa

    Kijana wa Kikenya amelitia Taifa hilo katika aibu baada ya kukwapua simu mbili za watasha waliokuwa wakipiga stori sogozi kwenye mgahawa. Kijana huyo aliyeingia ndani ya eneo hilo akiwa anaongea na simu na kwenda kukaa karibu na watasha hao lakini ghafla alikwapua simu hizo na kufanikiwa kukimbia.
  13. Masai wa Town

    Inasadikika Mkahawa huu upo Barcelona, Spain

    Welcome my fucking customers and see the new fucking menu 😅
  14. JanguKamaJangu

    Somalia: Watu 6 wauawa kwa mlipuko katika mgahawa Mogadishu

    Watu sita wameuawa katika mlipuko uliotokea katika mgahawa Jijini Mogadishu ambao ulikuwa ukitumiwa na askari Polisi na Wabunge, Ijumaa Aprili 22, 2022 “Watu wengine saba wamejeruhiwa kutokana na mlipuo huo,” amesema Abdikadir Abdirahman, Mkuu wa Gari la Wagonjwa. Aidha, mteja aliyekuwa eneo...
  15. Ms Billionaire

    Mgahawa unapangishwa Sinza

    done
  16. Ms Billionaire

    Mgahawa unapangishwa Sinza

    done
  17. M

    Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.

    Habari za mchana viongozi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
  18. Saad30

    Je, hii ramani imekamilika?

    Habari nyingi wakuu.. Katika ujenzi ambao nataka nianze Inshaallah baada ya kumaliza mambo mengine sasa nimechorowe ramani hii hapa kutokana na nyumba yangu nataka iwe hivi. Hivyo basi wakuu humu kuna magwiji wa haya mambo ya ramani pamoja na ujenzi wake.Naomba kufahamu kutoka kwenu je hii...
  19. Sky Eclat

    Meza ya kulia chakula inapendeza jikoni au kwenye mgahawa

    Meza ya kulia jikoni inafaa kwa matumizi ya familia ya kila siku, kama nyumba ni kubwa main dining inaweza kutumika kama watu ni wengi au kuna special event.
  20. J

    Nafasi ya ajira ya mhudumu wa mgahawa (Restaurant)

    Job title: Restaurant Waitress. Location: Newala, Mtwara. Remuneration: 120,000/- per month. Non-Cash benefits: Food & Accomodation. Send message on WhatsApp to: +255 656 203 045.
Back
Top Bottom