Natafuta mtu ambaye ataweza endeleza pale nilipoishia, nilikua nataka kufungua mgahwa na nimenunua viti meza kabati na vyombo va kutumia na majiko ila nimekwama katika mtaji na hela ya kulipia eneo la bishara hivyo kama kuna mtu naweza kuja na kuweka hela yake katika kulipia eneo na mtaji
Mimi...
Habari wadau napata changamoto moja kwa wahudumu wangu wa mgahawa kwa muda mahesabu baada ya kuwahudumia wateja ukifika muda wamahesabu. Je ni njia gani rahisi naweza kutumia ili nisisumbuane nao?
Habari wadau napata changamoto moja kwa wahudumu wangu wa mgahawa kwa muda mahesabu baada ya kuwahudia wateja ukifika mda wamahesabu. Je ni njia gani rahisi naweza kutumia ili nisisumbuane nao
Habari za leo wanafamilia!
Tuna mgawaha mdogo maeneo ya Chang'ombe maduka mawili Dar, tunahitaj Dada mmoja wa kusaidia kudeliver order na kufata order.
Akiwa anaishi mitaa ya huku au angalau gari moja itakuwa afadhali.
Posho/ mshahara ni Laki 1 kwa mwezi!
Wasiliana na Dada,
0689565965
0655...
Habari zenu wadau,
Naomba kuuliza namna ya kupima chakula cha biahara mfano wali na nyama au ugali na mboga zake ili kupata faida Pia juice ya parachichi na embe au embe na passion huniletea hasara sijajua kuna kitu cha nyongeza cha kuweka ili kuifanya iwe nyingi au labda natengeneza nzito...
Habari wakuu.
NATAFUTA ENEO KWA AJILI YA MGAHAWA AU M PESA MTAJI LAKI TANO TU. Nimehangaika sana hapa Dar sasa nimepata laki tano kama mtaji wa kuanza kufanya biashara ndogo ndogo kwa sababu njaa ni kali sana.
Hivyo nimefikiria kuanza biashara za migahawa, baba/mama lishe, m pesa au kuuza nguo...
UPDATE:-
Asanteni Nyoote mlio onesha Nia na kuni connect na ndugu zenu.
Bado nafanya maongezi, naimani waliojitokeza tukawasiliana wanatosha, kwa Sasa.
Shukran Sana.
Habari zenu wana JF,
Anahitajika mpishi ambae anajua kupika (mwenye uzoefu na iyo kazi atapewa kipaombele) pamoja na kuwa na uwezo wa kupima sahani za chakula kwa ajili ya mgahawa.
Pia anahitajika mpishi mwengine kwenye chipsi na nyama choma, watakuwepo wawili na mmoja ameshapatikana bado...
Starbucks imefungua mgahawa wake wa kwanza nchini Italia. Mgahawa huo umefunguliwa katika Jiji la Milan, kaskazini mwa nchi hiyo. Mojawapo ya kahawa zinazouzwa ni inayotoka Tanzania na inapatikana hapo kwa TZS 22,000 kwa gramu 100.
Nimefungua biashara ya Mgahawa sehemu flani hapa jijini Dar es Salaam, nimeweka wafanya kazi 3; mmoja kwa ajili ya chips na wa2 kwa ajili ya chakula kwa sababu biashara yenyewe bado changa. Eneo ambalo nafanyia biashara lina population kubwa na halina competition kubwa sana. Mimi napitia mida ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.