mfungwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Wanaokwenda jela si wote wana hatia, hata wewe kesho unaweza kuwa mfungwa

    Hakuna anaejua siku yake ya kesho itakuwa vipi, lolote laweza kutokea uwe muhalifu ama sio mhalifu waweza kujikuta umeingia rasmi 18 za kwenda gerezani. Wiki iliyopita nilienda mtembelea rafiki gerezani, yupo kwa takribani mwezi sasa kosa likiwa kununua simu kwenye magroup haya ya whatsapp...
  2. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Yule Mfungwa aliyemshtaki Askari kwa Magufuli anaendeleaje?

    Takriban Miaka 3 iliyopita Rais aliyekuwa madarakani (hayati JPM) alitembelea gereza la Butimba, Mwanza kwa ajili ya kukagua maendeleo katika gereza hilo. Naam alijitokeza kijana mmoja ambaye alikuwa na mfungwa na kutoa tuhuma kadhaa dhidi ya askari fulani gerezani hapo. Tuhuma zile zilimletea...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Iran: Mfungwa aliyekamatwa kwa kuipinga Serikali anyongwa

    Serikali imetangaza ni tukio la kwanza la kunyongwa hadharani kwa Mohsen Shekari aliyekutwa na hatia ya kufanya uhalifu ikiwemo kumshambulia Askari kwa Kisu na kufunga Barabara Adhabu hiyo inakuja wakati wafungwa wengine pia wakikabiliwa na uwezekano wa kuhukumiwa kifo kwa kuhusika katika...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, aliyefungwa na Mwamba Azam FC na aliyefungwa na Mchovu Ihefu FC nani ni wa Kudharaulika na Kuchekwa?

    Katika Uzi huu Kazi yangu Kubwa GENTAMYCINE ni kusoma tu Comments zenu huku nikimuandaa Ng'ombe aliyenona apelekwe haraka Mbarali Mkoani Mbeya ili Wachezaji wa Ihefu FC waweze Kumla ila Mshambuliaji Lenny Kisu apewe Maini huku Beki Juma Nyosso apewe Maini pamoja na Figo kwa Kumuweka Mtetemaji...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Aliyefungwa kwa kubaka, kuambukiza UKIMWI aachiwa huru

    Hamimu Yunusu, mkazi wa Kahama mkoani Shinyanga ambaye mwaka 2018 alihukumiwa kifungo cha miaka 34 jela kwa kumbaka mwanafunzi wa darasa la nne na kumwambukiza Ukimwi kwa makusudi, ameachiwa huru. Hukumu ya Yunusu ilijumuisha kifungo cha miaka 30 kwa kubaka na miaka minne kwa kumwambukiza...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Mfungwa aliyetoka gerezani kwa msamaha wa Rais adaiwa kufanya mauaji

    Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro linamshikilia mmoja wa wafungwa ambao waliachiwa huru kwa msamaha wa Rais mnamo Mei Mosi, 2022, Nestory Elias (62) kwa tuhuma za mauaji. Elias anadaiwa kumuua Mwajuma Sadru (75), Mkazi wa Mtaa wa Bong'ola kutokana na mgogoro wa kugombania eneo la biashara ambalo...
  7. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Maisha ya mfungwa anayesubiri kunyongwa gerezani

    Anasema wafungwa ambao wanasubiri kunyongwa kwa siku hupewa dakika 15 tu za kutoka nje na muda mwingi hubaki ndani. “Kwa kuwa wanakuwa wengi gerezani, basi kuna baadhi wanaweza kukaa muda mrefu bila kuona hata jua na baadhi wamefikia hatua ya kuchanganyikiwa kutokana na msongo wa mawazo,”...
  8. shampondo shila

    JamiiForums Tanzania Kwa ukatili nilioufanya kwa huyu paka, naomba tu Mungu unisamehe

    Nikiwa zangu nimetulia na familia yangu chini ya mti hapa nyumbani akaja paka na mwanae wakakaa pembeni yetu kama kawaida kwa paka wanaoishi vizuri na binadamu hawaogopi hata wanaweza kukuchezea kama kuku tupia mguu hivi Basi bhana yule paka mdogo sijui ni shetani gani alimuingia ghafla...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Siku ya kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika, hakuna mfungwa aliyesamehewa?

    Ama kweli hii ni awamu ya Sita! Nimejaribu kusubiri kwamba labda kuna tangazo litatoka baada ya sherehe lakini naona kimya kimetanda, kulikoni? Kama yupo aliyesikia jambo hili ni vema akatushirikisha
Back
Top Bottom