mfungo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyuki Mdogo

    Ndugu zangu ambao Hatujafunga mfungo wa Ramadhan/Kwaresma tunapaswa kuishi kwa Tahadhari kubwa sana

    Nimesikitishwa sana na kitendo cha kijana Hassan kumchoma kisu mwenzake kisa kamuomba maji ya Kunywa. Ndugu zetu mlioko katika mifungo, mbona mna makasiriko sana kipindi hiki cha mwezi wa toba? Nashangaa sana kuona mtu akasirika kisa mwenzie anakula.. mnahukumu vipi wakati nyie si Waumbaji...
  2. M

    Kwenye mfungo vyakula vinapanda bei, biashara ya pombe, kitimoto na gesti ngumu. Hii ina tafsiri gani?

    Ebu tuelimishane, Kwanini kwenye mfungo wa Ramadhan vyakula vinapanda bei? Kwanini bar, gesti na kitimoto biashara inakuwa ngumu kwenye mfungo? Mimi nilitegemea biashara ya chakula iwe ngumu maana si watu hawali chakula. Na kwa biashara za bar na kitimoto ziendelee kama kawaida maana...
  3. African Geek

    Hivi hawa wanaokula kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhan na Kwaresma ni hawana dini au ndo wanajiendekeza?

    Wana jamii kwema?. Leo nikiwa kwenye mizunguko yangu. Nikakutana na sahani za misosi zinapitishwa mchana kweupe watu wanapiga misosi fresh yani. Kabla macho hayajatulia vizuri naona juisi zina miminwa. Sasa nikawa najiuliza hivi huu mwezi si Waislam na Wakristo funga imetukuta sote kwa pamoja...
  4. 5523

    Zanzibar Ligi yasimama kupisha mfungo wa Ramadhan

    Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi Kuu Zanzibar (@zffzanzibar), Hashim Salum ametangaza kuwa Ligi Kuu ya Zanzibar itasimama kwa muda wa mwezi mmoja kupisha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kuanzia ulioanza leo. Ligi hiyo inatarajia kurejea Mei 6, 2023. Chanzo: East Africa TV
  5. Wadiz

    Tuache minyanduo na mahitaji ya mbususu kipindi hiki cha Kwaresma na mfungo wa Ramadhan.

    Ibada ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku. Nichukue fursa hii kutoa Rai na kuomba mabaharia wote na kauli mbiu zetu tugutuke kuelekea kwenye crisis ya upatikanaji wa mbususu. Tuchukue sample zetu kadhaaa walau nne na kuweka fungu la pesa kwa ajili ya kuwasitiri na kuwatunza kama...
  6. Mtuturas

    Viongozi wa serikali, taasisi futurisheni kipindi cha mfungo wa Kwaresma

    Imekuwa kawaida kipindi cha Mfungo wa ramadhani viongozi wa serikali, taasisi mbalimbali za serikali na binafsi kufuturisha. Sasa basi ili kuondoa dhana ya upendeleo au double standard ni vyema basi katika kipindi hiki cha Mfungo wa Kwaresma basi futari ikaandaliwa pia na taasisi hizo. Ni...
  7. Pascal Mayalla

    Je, wajua Wakristo huwasindikiza Waislamu Kufunga Ramadhan? Leo ni Jumatano ya Majivu, Wakristo tutafunga siku 40, vipi Waislamu Mtatusindikiza?

    Wanabodi Hili ni bandiko la swali kuwa Je, wajua kuwa sisi Wakristo huwa tunanawasindikizaga ndugu zetu Waislamu kufunga swaumu wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadan? Leo ni Jumatano ya Majivu, Wakristo tunaanza safari ya kufunga kwa siku 40, vipi nyie wenzetu Waislamu, je mtatusindikiza kama...
  8. T

    Afariki akiwa kwenye mfungo wa siku 30, aliahidi kufufuka Desemba 8

    Abdel Raphael (42) Mkazi wa Mtaa wa Uwanja halmashauri ya mji Geita amekutwa amefariki ndani kwake akiwa kwenye mfungo wa siku 30 akitarajia kufufuka Desemba 8. Mmoja wa waumini waliokuwa wakishiriki ibada ya pamoja na marehemu ambaye alikuwa mchungaji wao anasema marehemu aliwaaminisha kuwa...
  9. Transistor

    Mfungo wa umeme wenye kupunguza uwezekano wa moto katika jengo

    "Wall and underground concealed conduit wiring" Habari wakuu, Ningependa kuelezea aina hii ya ufungaji umeme kwenye makazi,tofauti na ule wa kupitisha waya juu ya dari na ukuta. Katika mfumu huu kiasi kikubwa cha wire zinapita katika ukuta na chini ya sakafu. Mara nyingi upitishaji wa...
  10. Mohamed Said

    Mfungo wa Ramadhani na Sikukuu ya Eid mbali na nyumbani

    MFUNGO WA RAMADHANI NA SIKUKUU YA EID MBALI NA NYUMBANI Hii mbali na nyumbani nimemwibia gwiji wa fasihi, Shafi Adam Shafi. Adam Shafi ameandika kitabu, ‘’Mbali na Nyumbani.’’ Ukisoma kitabu hiki utapata hisia mtu anakuwaje akiwa mbali na kwao. Mombasa si mbali na Dar es Salaam kiasi cha...
  11. matunduizi

    Mfungo wa Ramadhani ufanywe kuwa utaratibu wa kila Siku wa ulaji. Soma Faida hizi za pendekezo hili.

    Mimi ni mkristo. Nimewahi kushiriki kama wiki nzima kushiriki Mfungo huu. Asubuhi SAA 9-11 tulifuturu Msosi mzito. Wali, nyama,samaki,tambi,uji,juice,matunda mbalimbali, maji ya kunywa, mboga za majani na Kachumbari mzigo. Jioni SAA 12 tulifuturu vitu simple simple tu futari. SABABU KWA NINI...
  12. OKW BOBAN SUNZU

    Askofu Gwajima atangaza mfungo wa kumng'oa AMALEKI katika nchi

    Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi. kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
  13. mtima nyongo

    Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

    Mazingira ya maisha hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa Ramadan kwa Wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida. Mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa...
Back
Top Bottom