Mfumuko wa bei ya mafuta utatuua

Fighter101

Member
Jan 8, 2022
46
63
Hakuna kipindi kigumu kama hiki, watu wanateseka ila wanaumia kimyakimya

Bahati mbaya sana hata JF ya sasa lumumba wamejaa sana wanakazi moja tu kusifia na kucrash kashifa zote kwa chief.

matokeo yake mijadala mizito na ya msingi haijadiliwi wapinzani ndo hao wameshalamba sukari.

Ya ndugai tutayakumbuka wakati kumekucha, hata takwimu za mfumuko wa bei sijui zimeenda wapi tunasiksia za corona tu.

Watz siyo kwamba ni wapole ila hatujielewi ndo maana tunapelekwa kama kondoo, siku tukijielewa tutafika mbali sana.

Hata politiians wetu most of them ni vilaza hawatufikishi popote wanakazi moja tu kujirimbikizia mali .

1657180816061.png


Bei ya VYakula kabla ya ncHi kuuzwa
 

Legacy ya Jenerali Ulimwengu ni ipi hapa Tanzania?
 
Mkubwa kilichopo watu wapunguze matumizi ya bidhaa za viwandani mfano badala ya majani ya chai unaweza mtama uliokaangwa na kusagwa
 
Mambo Ni Magumu Sana
Yaani Haijalishi Ulipo Hali Tete Sana
 
Hizi bei ni za zaidi ya 30 years ago. Usipotoshe watu
Bei za zamani kweli ila sio miaka 30 iliyopita, utakuwa unatuwahisha kuzeeka.

Nusu sahani chipsi nimekula kwa 200, sahani 300. Chipsi mayai 500. Wali maini 500, soda 250 - 300 n.k miaka ya 2000 mpaka 2005 hapo.
 
Bei za zamani kweli ila sio miaka 30 iliyopita, utakuwa unatuwahisha kuzeeka.

Nusu sahani chipsi nimekula kwa 200, sahani 300. Chipsi mayai 500. Wali maini 500, soda 250 - 300 n.k miaka ya 2000 mpaka 2005 hapo.
🤣🤣🤣🤣🤣 unaogopa kuzeeka!!! Kwa hiyo at least 22 years ago.
 
ACHENI KUTUMIA VYOMBO VYA MOTO NYIE MNAOLALAMIKA TU
PAKINI MAGARI,WATU HUMU TUKIPANDA DALADALA,BODABODA MNATUBEZA HUMU
ONDOENI FIKRA ZA KITUMWA...
PUNGUZENI KUTUMIA VYOMBO VYA MOTO MUONE WENYEWE BEI WATAZOWEKA SAWA

OVA
 
Back
Top Bottom