mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Wizi uliofanyika katika mfumo wa Selcom Pay, What happened.?

    Tumesikia habari za wizi uliofanyika katika mfumo wa Selcom Pay, wahusika wamekamatwa na zaidi ya bilion 2 Ni ukweli usio na shaka ya kuwa mfumo uliingiliwa pamoja na kuwa Selcom hawajataka kuliweka wazi Je ni nini kimetokea.? How did the breach happen .? Pesa zetu ziko salama.? W Kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mfumo wa tozo/kodi unaweza kuboreshwa

    Naamini kabisa kuwa, Serikali inania njema sana ya kukusanya tozo/mapato ambayo ni muhuimu sana kwa maendeleo ya Nchi Hata hivyo napendekeza kuwe kunatolewa mashindano ya kupendekeza vyanzo vipya vya mapato kila mwaka tofauti kabisa na tulivyo navyo. Ikitokea mtu akapendekeza chanzo na...
  3. JamiiForums Tanzania Rais anapoonesha mfumo ndio unaotoa fedha na si Rais

    Hapa kwetu kumezoeleka viongozi wa juu kutamba na kutoa matamko ya kumsifu Rais kwa kutoa fedha za maendeleo. Zambia mambo ni tofauti kabisa.
  4. JamiiForums Tanzania Uwekaji wa mfumo wa anwani za makazi kufanyika kwa muda wa miezi mitano badala ya miaka mitano

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Serikali itatekeleza uwekaji wa mfumo wa anwani za makazi kwa muda wa miezi mitano badala ya miaka mitano kama ilivyokuwa itekelezwe hapo mwanzo. Waziri Nape amesema zoezi hilo linafanyika kutokana na misingi mitatu...
  5. JamiiForums Tanzania Kupima wanafunzi wa kidato cha pili kwa kutumia division ni kuharibu mfumo wa elimu

    Kwa miaka kadhaa sasa baraza la mitihani ya taifa linatoa matokeo ya kidato cha pili kwa kutumia mfumo wa division tofauti na ule wa miaka ya nyuma wa wastani.Hii tasfiri yake kuwa mwanafunzi akiwa amepata D mbili na F saba au 9 basi anakuwa amefaulu kuendelea na kidato cha tatu na hatimae kuja...
  6. JamiiForums Tanzania Mafundi hapa mfumo wa maji safi na machafu umepitia wapi?

  7. M

    JamiiForums Tanzania Buriani Mzee Nalaila Lazaro Kiula; Mwadilifu aliyeponzwa na Mfumo kifisadi

    Usiku wa kuamkia Jana amepumzika Mzee Nalaila Lazaro Kiula. Alipata kuwa Mbunge wa Zamani wa Iramba, na Waziri wa zamani wa Ujenzi na Mawasiliano, Naibu wa Waziri wa Elimu na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya. Mzee Kiula ni mojawapo ya Wahanga wa siasa za fitna, majungu na mitandao ndani ya CCM. Akiwa...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Blockchain; Mfumo uliokuja kuvuruga mifumo ya kibenki na ndio kisa hupigwa vita (decentalized system)

    HELLO GUYS! Baada ya kusubiri muda mrefu kidogo tukisubiri tuweze kuongezeka napenda kuwakumbusha kuwa hapa ni sehemu salama zaidi na mafunzo yote yatatolewa bure bila malipo yoyote na tutajitahidi kila siku kuleta angalau somo moja ili kufikia malengo ya kila mmoja kuweza kuelewa nini maana ya...
  9. JamiiForums Tanzania Mfumo wa 'Uongozi' Tanzania ungekuwa wa 'Umakini' Kuna 'Wapuuzi' kadhaa waliochukuwa 'Fomu' za Kugombea 'Uspika' kamwe wasingethubutu

    Kuna Mmoja hata Mfumo wake tu wa Elimu ni mbovu ( japo ni Tajiri kwa Ushirikina na Utapeli ) wake halafu naturally tu ni Fool nimeona kachukua Fomu ya Kugombea Uspika. Kuna mwingine Kwanza ana miaka 26 tu halafu 'hajasapua' bado 'Sapu' zake za Chuo Kikuu anachosoma na hata kuandika tu Chapter...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mihimili ya Kenya wanaiga nchi za ulimwengu wa Kwanza sisi tunaiga mfumo wa Burundi. Jaji Mkuu kamkaripia Rais uteuzi wa Majaji

    Jaji Mkuu wa Kenya amemtaka Mhe. Rais wa Kenya kuheshimu sheria na kite majaji sita wanaohitajika kikatiba. Aidha amesisitiza kuteuliwa kwa majaji wawili walimpinga wakati wa BBI. Hii ni mwendelezo wa uwajibikaji wa Jaji Mkuu kama mkuu wa mihimili. Jaji Mkuu aliyemaliza muda wake itakumbukwa...
  11. JamiiForums Tanzania Naona Rais Samia anarudisha kwenye mfumo taratibu taratibu watu waliotumbuliwa

    Hii inanipa tafasiri ya kwamba ingawa alikuwa Makamu wa Raisi enzi za Hayati Magufuli pia walikuwa hawaelewani yaani walikuwa ni kama maji na mafuta. Hapa chini tunaona Mama kamrudisha Dr. Baghayo Abdallah Saqware kuwa Kamishina wa Mamlaka ya usimamizibwa Bima Tanzania (TIRA) ambaye...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Rais Samia amewanyima hoja wapinzani wake ndio maana wamekimbilia kwenye mfumo dume"Wapuuzeni"

  13. JamiiForums Tanzania Marekani yaziondoa Ethiopia, Mali na Guinea kwenye Mfumo wa AGOA

    Serikali ya Marekani imeanza rasmi kutekeleza agizo la Rais Joe Biden la kuziondowa Ethiopia, Mali na Guinea kutoka makubaliano ya kibiashara kati ya taifa hilo na Afrika kutokana na uvunjwaji wa haki za binaadamu.M Marekanihivi leo imeziondosha Ethiopia, Mali na Guinea kutoka kwenye programu...
  14. JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Mfumo wa Siasa una shida. Huwezi kuzungumzia Kilimo wakati huna Mabwawa

    Prof.Assad ametoa maoni yake kuhusu mfumo wa siasa wa nchi yetu. Siasa yetu inatufanya tusiwe na malengo yanayopimika. Anashangazwa na waziri kuzunguka kuchukua kero za wananchi wakati Mkurugenzi na Mkuu wa Wilaya wapo huko. Anasema labda sababu ni kupata posho tu. Anasema watu wanazunguka...
  15. JamiiForums Tanzania Kama Siasa tulifikia hapa, naomba kujua mhariri wa hili gazeti. Je huu ndio mfumo wa kuchora katuni?

    Ndugu wana jamvi, Japo mimi sio mchoraji wa katuni lakini nawaombeni kujua mawili matatu kuhusu hii fani; hivi huwa inaleta picha gani au taswira gani unapomchora mtu/kibonzo cha mtu kwenye gazeti tena ukurasa kwa mbele kwa taswira ya ng'ombe? Maadili ya kiuandishi hapa yanasemaje? Naombeni...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kidigitali wa usimamizi wa taarifa za kanisa

    Kwa kipindi kirefu taasisi nyingi za kidini hasa makanisa hayajawa na mfumo rasmi wa usimamizi wa taarifa zake. Hivyo nikaamua kuunda mfumo ambao utawezesha hilo. Sasa nimetoa toleo la kwanza ambapo kwa kutumia hilo utaweza kufanya yafuatayo 1. Kusimamia taarifa za washirika/waumini 2...
  17. JamiiForums Tanzania Zanzibar waache majaribio yasiyo na tija kwenye mfumo wa elimu

    Binafsi nilishangaa kujua mfumo wa zanzibar ni kumaliza shule ya msingi darasa la sita kisha mtu anaenda form 1. Sijui wanakimbilia wapi? Au kwa vile shule zao kuna kina mama na kina baba wanalea japo wao ni watoto? Mfumo huo pia umekua na matokeo duni ya kidato cha nne. Kila mwaka shule za...
  18. JamiiForums Tanzania Unatumia mfumo gani kuendesha biashara yako?

    Mwaka ndio unaelekea mwisho, na ni wakati wa kufanya majumuisho. Kuna mengi ya kuangalia, lakini kwa leo tuangalie mifumo. KWA WATUMIAJI WA MIFUMO 1. Umetumia mfumo gani 2021? 2. Experience yako imekuwaje mwaka huu 2021? 3. Unadhani mfumo husika umekidhi mahitaji yako na unataka kuendelea nao...
  19. JamiiForums Tanzania WhatsApp Unafanya Majaribio Ya Mfumo Wa Kutuma Na Kupokea Crypto

    Miezi sita iliyopita kampuni ya Meta ilitoa Wallet yake ya Crypto ambayo inaitwa Novi Wallet na inatumia Stablecoin ya Pax Dollars (USDP) ambayo ni crypto yenye thamani sawa na Dola 1. WhatsApp imeanza majaribio ya kuunganisha Wallet ya Novi na WhatsApp hivyo utaweza kutuma na kupokea pesa...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa wanaoona mbali, Waziri Ndalichako ni sumu kwenye mfumo wa elimu

    Kwa muongo mmoja uliopita umuhimu wa elimu ulikuwa na thamani sana kwa vijana maana thamani yake iliendana na mazingira yaliyokuepo na watu wengi walitamani kupata elimu ili waweze kujikomboa kiuchumi Baadaya ya muongo mmoja kupitia, hali iliyopo sasa KWA TANZANIA SIO DUNIANI KOTE elimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…