mfanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Ahmed Assas ana hati ya kusafiri ya kidiplomasia kwa hadhi ipi aliyo nayo? Nchi imeoza hii

    Haya ni machache yaliyopo hadharani. Hatuyajui ya sirini. Sote tunaijua hadhi ya kuwa na passport yenyewe hadhi ya kidiplomasia. Huyu mfanyabiashara anapitisha biashara ngapi kwa kutumia pass ya kidiplomasia aliyopewa? Waliyompa wamelipwa kiasi gani? Je serikali ni kweli haijui na kufahamu juu...
  2. Think2

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mfanyabiashara hii mikoa bila ndumba hutoboi

    ● Njombe ●Iringa ●Mbeya ●Katavi ● Mwanza ●Tabora ●Kigoma ●Tanga ●Ruvuma ●Morogoro hio mikoa kama huna mganga wa uhakika bora uache tu kufanya biashara au uende dar ☆Hii mikoa ni kawaida mfanyabiashara kunukia dawa za kienyeji muda wote,wkt wafanya biashara wa dar wao wananukia unyunyu tu ☆Hii...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mfanyabiashara au mwekezaji alikuwa anatafuta betting platform ya biashara ila amekwama jinsi ya kuipata?

    Wakuu habari, Hivi kuna mfanyabiashara au mwekezaji alikuwa anatafuta betting platform ya biashara ila amekwama jinsi ya kuipata ? Betting platform inahitaji uwekezaji mzuri na wa kiwango cha kati au cha juu. naomba kama kuna mtu alikuwa anafikiria kuwa nayo hivi karibuni tuwasiliane.
  4. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi ana hela kuliko mfanyabiashara, but mfanyabiashara ana maendeleo kuliko mfanyakazi tujadili hili

    Mfanyakazi ana uhakika kesho nitapata anatumia yote, mfanyabiashara kisa senti kwake inatoka kwa hesabu ili asiue mtaji. Mfanyabiashara huwaza zaidi kuzidi kuwekeza mfanyakazi huwa zaidi kutumia.
  5. Mumlii

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa perege za singida

    Habari mm nko ushirombo_ Geita, nahitaji tufanye biashara na mtu ambaye anafanya biashara ya hzi samaki, huwa natembea minadan. Akiwepo kahama, ama maaumbwe
  6. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara atakuwa eligible kwa mkopo wa riba nafuu sana kama mfanyakazi/Wafanyakazi wake atawalipa mshahara kupitia bank

    Uwepo wa informal sector na watumiaji wachache wa bank ni changamoto na tatizo kubwa sana Tanzania., Nikiwa Rais wa Tanzania ntafanya mambo yafuatayo kuondoa informal sector, kuongeza formal sector na kuongeza watumiaji wa bank SIFA ZA HAO WAFANYAKAZI Lazima mishahara yao iwe inapitia bank...
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mitano Tena: Kwa mfanyabiashara maarufu Izack Ngowi.

    Mitano Tena! https://www.instagram.com/p/DLaYAx8I2q5/?igsh=MTMzc2J5dGJzOTJv
  8. B

    JamiiForums Tanzania Aliyemtishia Nape Bastola ni kati ya waliohukumiwa kunyongwa kwenye kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini. Je, kuna lililojificha?

    Wakuu, Jana Juni 23, 2025 hukumu ya kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini ilitolewa, ambapo askari wawili kati ya saba walioshtakiwa walihukumiwa kunyongwa huku watano wakiachiwa huru. Kati ya hawa waliohukumiwa kunyongwa ni bwana Gilbert Kalanje ambaye alikuwa Mkuu wa Upelelezi wilayani...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivhayo: Mfanyabiashara Anayejenga Afrika Kupitia Ukarimu

    Wicknell Chivhayo: Mfanyabiashara Anayejenga Afrika Kupitia Ukarimu Mfanyabiashara maarufu kutoka Zimbabwe, Sir Wicknell Chivhayo, ameweka historia kama mmoja wa wafadhili wakubwa zaidi Afrika, akitoa misaada ya thamani ya zaidi ya dola milioni 60. Misaada hiyo inajumuisha fedha taslimu...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Bro to bro advice, Usimgeuze mke kuwa kitu alichokuwa sio, Kama ulitaka msomi, mfanyabiashara, mwanasiasa, ungemtafuta mwenye sifa hizo toka mwanzo

    Leave her kama ulivyomkuta, ukichokonoa nyaya zitazidi volti utapigwa shoti mwanamke ukimuoa mwache aishi kama ulivyomkuta usiingie mtego wa huruma au kwasababu una vijihela na connections umpeleke chuoni kuongeza elimu, kumfungulia duka kubwa, kumuingiza kwenye siasa, n.k. hatakuwa tena...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Tajiri wa India Afariki Ghafla Uwanjani Baada ya Kumeza Nyuki

    Tajiri mwenye asili ya India, mwenye umri wa miaka 53 na mpenzi maarufu wa mchezo wa polo, ambaye pia alikuwa karibu sana na Prince William, amefariki dunia kwa kusikitisha wakati wa mechi ya polo huko Windsor mnamo Juni 12. Mashuhuda wanasema alilalamika ghafla akisema, “Nimekimeza kitu,” na...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara na mkewe wachinjwa kikatili Bonyokwa, watoto wagundua asubuhi!

    Ni unyama na ukatili wa kutisha! Asubuhi ya leo Alhamisi, Juni 12, 2025, maeneo ya Bonyokwa wilayani Ilala jijini Dar, wanandoa ambao majina yao hayakupatikana mara moja, wamekutwa wamekufa kwa kuchinjwa kikatili na kitu chenye ncha kali! Kwa mujibu wa vyanzo, tukio hilo limetokea usiku wa...
  13. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mfanyabiashara una taasisi yako unataka iwe inaonekana kwenye Google map yaani raman ya dunia nichek

    Kama wewe ni mfanyabiashara una biashara yako unataka iwe inaonekana kwenye Google map yaaani mtu ata aki request a Afike hadi dukani kwako yaani duka linaonekana kwenye raman Ya dunia kama unataka iyo nicheki 0743 257 669 nikusaidie
  14. youngkato

    JamiiForums Tanzania Tunamsaidiaje huyu mfanyabiashara?

    Tunamsaidiaje huyu mfanyabiashara? Ni tweet kutoka kwa Vanessa Temba inayozungumzia ugumu wa maisha ya ujasiriamali/biashara. Anaeleza kwa njia ya uhalisia na hisia kuwa: ->Unaamka asubuhi hujui kama utaweza kuuza chochote. ->Hujui kama utapata pesa ya kurejesha madeni. ->Kuna wasiwasi na...
  15. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania MFANYABIASHARA ALIA NA POLISI ARUSHA KUKATAA KUFUNGUA KESI,ADAI KUDHULUMIWA MAGARI NA MDOGO WA MBUNGE

    MWEKEZAJI wa sekta ya usafirishaji jijini Arusha ,Patrick Mulokozi amelalamikia Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kwa kushindwa kumpa ushirikiano kuweza kupata mali zake ambazo ni mabasi mawili aina ya Costa aliyokuwa amekodisha kwa kampuni ya usafirishaji ya Impala shato inayofanya biashara ya...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ndugu wagoma kuchukua mwili wa marehemu, washinikiza Jeshi la Polisi kumkamata Mfanyabiashara madini

    Familia ya Marehemu Ediga Mwaniwe wa Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi kwa siku sita imekataa kwenda kuchukua mwili wa ndugu yao kwa ajili maziko uliohifadhiwa katika hospital ya Manispaa hiyo kwa lengo la kushinikiza Jeshi la Polisi Mkoani humo kutenda haki ya kumkamata mfanyabiashara wa madini...
  17. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Arusha amchoma mfanyakazi wake na pasi

    MFANYABIASHARA Maarufu anayemiliki vituo vya mafuta jijini Arusha, Maganga Lago anatuhumiwa kumfanyia ukatili wa kutisha mfanyakazi wake wa ndani aliyetajwa kwa jina Moja la Teleza raia wa nchi Jirani kwa kumpiga na kisha kumchoma na pasi ya moto akimtaka kimapenzi. Tukio hilo ambalo...
  18. Tanzanian Dream

    JamiiForums Tanzania Wewe Kama mfanyabiashara makini unahitaji both physical and spiritual protection.

    Recently nimepokea taarifa mbaya kutoka kwa jirani wa mfanyabiashara mmoja!ambaye amevamiwa usiku na watu wenye silaha,wakamcharanga mapanga,wakampora hela na kutokomea kusikojulikana!..huyo jamaa anamiliki maduka Kama sita ya huduma za kifedha,anapofunga maduka yake huwa anakusanya mpunga wote...
  19. Waziri2025

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamwamuru kuachia ofisi ya mfanyabiashara maarufu jijini Arusha Saleh Alarmy kwa kushindwa kesi

    Licha ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Divisheni ya Biashara, kuamuru kufutwa kwa hisa asilimia 18 zilizokabidhiwa kwa Daudi Ibrahim Lumala kinyume na utaratibu, pamoja na kufutwa kwa nafasi yake kama Mkurugenzi wa Kampuni ya Sunset Tarangire Limited, Lumala bado ameendelea kuwepo ndani...
  20. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara tambua bidhaa ya kwanza kabisa niwewe binafsi

    Kwa mfanya biashara personality yako ni muhimu sana kabla hata ya bidhaa unayopeleka sokoni. Hapa namaanisha ,muonekano wako, matumizi sahihi ya lugha za kibiashara, mahusiano mazuri na watu ,mavaz yako n.k Mfano jana usiku jamaa yangu mmoja katika pitapita zake, alijikuta amenunua mikate 27...
Back
Top Bottom