mfanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. youngkato

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mfanyabiashara yeyote anayeanza kujitafuta anatakiwa kusajili jina la biashara?

    Kwa nini mfanyabiashara yeyote anayeanza kujitafuta anatakiwa kusajili jina la biashara? Kuna biashara nyingi mitaani zinafanya vizuri – zina wateja, zina jina zuri lakini hazijasajiliwa. Watu wanadhani kusajili jina ni kwa matajiri au makampuni makubwa. Hii siyo kweli. 👇1 Kusajili jina...
  2. youngkato

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Mfanyabiashara anayejitafuta anapaswa kusajili jina la Biashara?

    Katika safari ya kujitafuta kupitia biashara, kuna hatua ambazo huweza kukuinua haraka au kukugharimu muda, jina, na hata fedha zako. Moja ya hatua za msingi kabisa ambazo kila mjasiriamali anayejitambua anapaswa kuchukua ni kusajili jina la biashara. Hii si tu kwa ajili ya kufuata sheria...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kitabu: Mfanyabiashara wa Venice.

    Tafsiri ya kitabu The Merchant of Venice. 1939. SHYLOCK (SHAILOKI) NA ANTONIO SHYLOCK, Myahudi, alikaa Venice (mji mmoja wa Uitalia). Alikuwa mkopeshaji fedha wa namna mbaya kabisa. Yaani yeye hungoja hadi mchuuzi awe katika hali ya dhiki kubwa ya kuhitaji fedha; ndipo Shylock humkopesha fedha...
  4. Kibenje KK

    JamiiForums Tanzania Kila Mfanyabiashara aliye Makini na maono ya Biashara yake Anapaswa na ni Lazima kuwa na mambo haya

    Mfanyabiashara wa Tanzania anayechukulia biashara yake kwa umakini anapaswa kuwa na mambo yafuatayo: TIN Number (Taxpayer Identification Number) – Hii ni namba ya utambulisho wa mlipakodi kutoka TRA, inayomwezesha mfanyabiashara kulipa kodi rasmi. Leseni ya Biashara – Hutolewa na halmashauri...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa watumwa aliyegeuka kuwa Mtumwa

    Diallo alizaliwa mwaka wa 1701, alikuwa mwana wa mfanyabiashara wa watumwa katika Senegal ya sasa 🇸🇳 Alipokuwa mkubwa, alijihusisha sana na biashara ya baba yake, kuuza watumwa kwa wafanyabiashara wa ulaya Hata hivyo, katika mojawapo ya shughuli zake za kibiashara, maisha ya Diallo yalibadilika...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godfrey Sitta: Katibu wa CCM Meatu amenunuliwa na mfanyabiashara mkubwa, amekua akisumbua kwa kugawa hela mchana na usiku kukigawa Chama

    Kada wa CCM, Godfrey Sitta amedai kuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Meatu, Mkoa wa Simiyu, Naboth Manyonyi amenunuliwa na mfanyabiashara mkubwa ambaye amekua akisumbua kwa kugawa hela mchana na usiku na kukigawa Chama na matokeo yake 'tutaingia vita ya sisi kwa sisi' na kuwapa wapinzani nafasi.
  7. KASHAMBURITA

    JamiiForums Tanzania Unga wa mahindi/mahindi yanauzwa

    Habari za wakati huu … Mimi n mkulima mdogo mdogo nimefanikiwa kuvun mahindi tani kumi katika mkoa wa tanga na kufanikiwa kusafirisha dar es salaam nipo hapa kutafuta mteja wa mahindi au kama inawezekana mteja wa unga mana nina uwezekano wa kuyasaga….wako katika ujenzi wa taifa
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mfanyabiashara kuwa makini na wale jamaa wanaokuja na kujitambulisha kuwa ni mawakala wa kampuni fulani na wanasambaza bidhaa

    Utapeli mwingine na namna hii. Either anakuwa tapeli ahusiki na kampuni hio au ni winga wa kukusanyia bidhaa ila anajitambulisha kuwa ni wa kampuni husika. Unakuta hadi bizness cards wameandaa either ikiwa na jina ya kampuni maarufu au kampuni feki alioitunga. Then anakuambia tumepita...
  9. upupu255

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Simon Mbowe (52) afia gesti akiwa na binti wa miaka 27 Songea

    Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limetoa taarifa za kufariki kwa mfanyabiashara Simon Mbowe (52) ndani ya nyumba ya wageni (Gesti House), tarehe 19, Februari 2025 huko Matawale wilayani Songea ambapo kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Marco Chilya amesema Simon amekutwa akiwa na mpenzi...
  10. Pascal_TZA

    JamiiForums Tanzania Aliyemteketeza mkewe kwa magunia mawili ya mkaa ahukumiwa Kunyongwa mpaka Kufa

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam leo February 26,2025 imemhukumu kunyongwa hadi kufa Mfanyabiashara Khamis Luwonga (38) kwa kumuua Mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa Katika kesi ya jinai namba 44/2023 mfanyabiashara huyo mkazi wa Gezaulole...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara na Dereva Kortini kwa Umiliki Haramu wa Ethanol na Kugushi Stempu za TRA

    Mfanyabiashara, Novita Shirima (49) na dereva, Justine Mbise (29) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi mkoani Kilimanjaro wakikabiliwa na mashtaka sita, ikiwemo kumiliki kemikali aina ya ethanol kinyume cha sheria, kughushi stempu za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kutumia...
  12. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Mwalimu atiwa mbaroni kwa kujihusha na mapenzi ya jinsia moja

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara linawashikilia watuhumiwa wawili ambao ni Mwalimu wa Shule ya Msingi Nanyani iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara, Mohamed Ally Kajao (34) na Dickson Paul Tamba (27), mjasiriamali, mkazi wa Mkuti Chini Machinjioni wilayani Masasi, kwa kujihusisha...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara aloingiza Mafuta yalowaathiri zaidi ya watu 200, Awalipe fidia waathirika wote , na achukuliwe hatua za kisheria

    Haya mambo yanatakiwa yawe yanapelekwa hivihivi. Huwezi kuathiri watu zaidi ya 200 , alafu wao ndio wawajibike kujitibia. Hata hivo tunachokiona ni Athari ya Nje, vipi huko Ndani?. Soma Pia: DAR: Zaidi ya Watu 200 wadhurika ngozi wakidaiwa kula Chakula chenye Mafuta yenye Simu huko Temeke...
  14. Knock life

    JamiiForums Tanzania MBOWE , wewe ni mfanyabiashara na kawaida ya wafanyabiashara huwa wanatafuta favor kutoka serikalini , hivyo ni ngumu wewe kuitoa ccm madarakani.

    Mbowe , wewe ni mfanyabiashara mkubwa unamiliki Biashara kadhaa wewe na familia yako. Hivyo kuendelea kushirikiana na Ccm (serikali) inakufaidisha sio tu kisiasa bali hadi kiuchumi. Hivyo Tumeamua kukuachia Chama chako ili ufikie malengo uliyojiwekea.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuajiriwa ajira rasmi aliniambia hawezi kuwa kwenye mahusiano na mfanyabiashara anayejitafuta

    Binti Baada ya kuajiriwa serikalini moja kwa moja hakusita akaniambia mimi nitafute level zangu wenye vibiashara vidogo mimi simfai kwamba hatuwezi ongea topic zinazofanana kwa vile yeye ni mtumishi mimi ni biashara Dah mwanangu basi tu! Mwaka unaisha vibaya
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hizi ni biashara zinazolipa ila sio rafiki sana kwa mfanyabiashara anayeanza kujitafuta.

    Watu wengi tumekuwa tukipeana ushauri wa biashara zinazolipa hasa kwa wale vijana wadogo wanaoanza pilika baada ya kutoka masomoni. Nimekumbuka biashara kadhaa nzuri ila sio rafiki kwa anayeanza biashara ambaye bado mtaji wake ni mdogo. Haya ni maoni yangu ila sio sheria. 1. Biashara ya...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa mfanyabiashara Ulomi na viashiria vya uhalifu ktk jamii yetu jicho la tatu linahusu..

    Vijana nawaomba mje hapa msome na mfungue macho yenu ya Tatu tupunguze haya madhila. Ktk dunia ilio staarabika kuna mambo tunayaona na kuna mambo hatuyaoni. Ila nivyema tuambiane ukweli tupone sote. Epuka kulisaliti taifa lako na kulihujumu ni hatari kwako binafsi na uzao wako. Kuwa Raia...
  18. Inside10

    JamiiForums Tanzania Polisi Dar waanza kumtafuta mfanyabiashara anayedaiwa kupotea.

  19. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Mfanyabiashara Elon Musk wazidi kuongezeka

    Mfanyabiashara maarufu wa Marekani, Elon Musk amekuwa Mtu wa kwanza katika historia duniani kufikisha thamani ya juu ya utajiri wa dola bilioni 400 za Kimarekani ( zaidi ya Trilioni 970 za Kitanzania) baada ya kuongezeka kwa utajiri wake kutokana na ushindi wa Rais mteule Donald Trump katika...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara hatokueleza wapi anapata faida, kamwe usije kuomba ushauri ukadhani atafunguka 100%

    Hapa nawajibu wale wenzangu na Mimi, ukiona mtu anakueleza anapata faida fulani kwenye biashara fulani ujue hiyo biashara alishaacha kuifanya kitambo. Biashara ni Siri kubwa na faida za biashara ni Siri kubwa pia. Wale tunaoulizia biashara ukumbuke biashara ni Siri na Siri ndio pesa yenyewe...
Back
Top Bottom