mfanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Utata waibuka alipo mfanyabiashara aliyemkosoa DC Arusha - wenzake wadai yupo polisi -wapanga kugoma

    Hata DC naye ukimkosoa, Anakutumia Watu wasojulikana, Wanakuteka, Wanakuua, unabaki Stori, Alafu DC kesho yake anatumbuliwa Tayari keshakuua Haya ni Matokeo ya kua na Rais Haramu, alojiweka hapo juu kwa Uharamu, Utekaji, mauaji na Kila aina ya baya. Sasa huyo ni DC, anamteka mtu...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Mwanza agoma kutoa risiti ya EFD na kujibu anavyotaka

    Mfanyabiasha huyu baada ya kufanya malipo. Nimempa TIN ya ofisi atoe risiti alianza kufoka na kuonesha ubabe.
  3. X

    JamiiForums Tanzania Huwa mnafanyaje wenzetu? Kuna namna mfanyabiashara anakubali punguzo mpaka unashtuka

    Kuna ile unaenda dukani kununua bidhaa fulani mfano unaambiwa bei yake ni 100k halafu wewe unasema nina 70k tu, mwenye duka bila kusita anakwambia "Sawa Lipia" Hivi huwa unahisi vipi, umepigwa au umempiga mwenye duka? Huwa inauma inakata sana unajiona leo mtoto wa mjini naelekea kupigwa nini...
  4. O

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI (2019): Magufuli alipompokonya Ardhi ya Ekari 1,000 Mohamed Kiluwa hadharani kwa udanganyifu

    Tarehe 7 Juni 2019 aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayatui Magufuli alikutana na wafanyabiashara kutoka Kila Mkoa Ikulu ya jijini Dar es Salaam. Ref: Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka kila Wilaya nchini. Ataja changamoto za...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara ukifunga camera na hata ukitaka ushinde hapo 24/7 mfanyakazi akiamua kuiba ataiba tu

    Kwa wafanyabiashara ambao hamjui vile mnaibiwa na wafanyakazi hata kama mmefunga camera. Iko hivi, mteja akifika dukani atachagua vitu anataka, wakati wa kufanya malipo mfanyakazi asiyekuwa mwaminifu atamwambia gharama yake halisi mfano 200K kisha atamwambia anaweza kulipia 20K na risiti...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara chipukizi PEDIMA aendelea kung’ara katika ubunifu na uongozi Tanzania

    Mfanyabiashara chipukizi, Peter Didas Mallya maarufu kama PEDIMA, ameendelea kuibua mvuto mkubwa katika tasnia ya biashara nchini kutokana na ukuaji wa kasi wa kampuni zake pamoja na mchango wake katika sekta za kifedha, teknolojia, afya na ajira kwa vijana. Kupitia kampuni zake Pedima...
  7. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Niffer na wengine 97 wafunguliwa mashtaka, yakiwemo ya UHAINI kufuatia maandamano ya Oktoba 29, 2025

    Jamhuri yawapiga kesi ya Uhaini watanzania 97l8 kufuatilia Maandamano ya Oktoba 29, 2025. Katika Orodha hii, yupo Mfanyabiashara maafuru Jennifer Jovin, Maarufu kama Niffer. Kesi hizi zimepangwa kusikilizwa kwa hatua za awali kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. ====...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Faiza Ally: Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na ‘watu wasiojulikana’

    Faiza Ally amedai kuwa mfanyabiashara Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na watu wasiojulikana, Niffer ambaye kwa siku za ivi karibuni amekuwa akionekana kucheza Challenge Nywinywi katika kurasa zake za mitindao ya kijamii.
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Gari la mfanyabiashara muarabu lazui gari la kubeba taka la kiwanda cha Aone cha kampuni ya Mohammed Enterprises kupitia

    Hii nchi sasa ishakuwa ngumu kila mtu anatumia nguvu yake aliyokuwa nao. Sasa hii gari unayoiona kwenye video ni gari inadaiwa ni ya mfanyabiashara Muarabu amezua gari ya taka ya kiwanda cha AI kinachomilikiwa na kampuni ya Mohammed Enterprises lisipite na gari hilo limezuiwa mbele na nyuma...
  10. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania NIFFER: Binti Mfanyabiashara mkubwa mwenye kipaji kikubwa cha kudance

    Sio biashara tuu, Niffer pia anaujuzi mkubwa sana wa kudance midundo mbali mbali! Tazama hapa katika video akionyesha umahiri wake katika nyanja ya kudance akiserebuka mdundo wa amapiano kutoka kusini mwa Africa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna stage ngumu kwa mfanyabiashara kuzidi kujikubali umefirisika au biashara imeshuka inabidi urudi chini kuanza upya badala ya kufosi?

    Kuna hatua katika mzunguko wa biashara ambapo hali ya mauzo hushuka kwa kiasi kikubwa, huenda kutokana na ushindani mkali sokoni, mabadiliko ya mahitaji ya wateja au hata kushuka kwa nguvu ya soko kwa ujumla. Katika baadhi ya matukio, hali hii inaweza kupelekea kufilisika kabisa, hasa pale...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Compliances unazotakiwa kuzifanya kama mfanyabiashara TZ

    Wafanya biashara wengi hawajui compliances wanatakiwa kuzifuata kila mwaka ili biashara zao zisipigwe fine. Nimekuandalia e-book inaitwa "Compliances unazotakiwa kuzifanya kama mfanyabiashara TZ kila mwaka" Ni FREE e-book. Nitumie neno e-book kupitia Whatsapp kwa namba hizi 0678131068...
  13. Half american

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa utalii ajinyonga Moshi

    Mfanyabiashara wa utalii ajinyonga Moshi Azizi Msuya (39), mkazi wa Sambarai, Moshi, amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake Alhamisi, Oktoba 2, 2025, akidaiwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya katani. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limethibitisha tukio hilo na kueleza kuwa uchunguzi wa...
  14. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa mbao Mafinga afikishwa Mahakamani kwa ukwepaji Kodi

    Ila Tanzania kuna viongozi waajabu na vituko! Hivi mbona atujawahi kusika wafanyabiashara wengine tena wakubwa ambao wanamichezo ya kukwepa kodi wakifikishwa mahakamani? Au wananjia zao za kutoa kodi? =============== Mfanyabiashara wa Mbao, Bw. Moses John Madege, mkazi wa mjini Mafinga...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamua Mfanyabiashara arejeshe fedha ambazo hakuziwasilisha TRA

    MAHAKAMA ya Wilaya Mbeya imemuhukumu Mfanyabiashara Benedicto Abel Matandiko wa Jijini la Mbeya adhabu ya kutofanya Kosa lolote la Jinai ndani ya miezi 6 baada ya Kutiwa hatiani kwa Makosa ya Kutokulipa Kodi Kinyume na Kifungu cha 83 cha Tax Administration Act, Kughushu kinyume na vifungu vya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara anamuacha Mtaalamu wa masoko anaenda kwa Mganga wa kienyeji "Kalumanzila"

    Mfanyabiashara ana muacha Mtaalam wa masoko mwenye degree ya marketing, connections, uzoefu, mwenye database ya wateja, n.k. anaenda kwa mganga wa kienyeji wa matunguli ili uweze kupewa dawa au kurenew dawa aliyoambiwa itamletea wateja, dawa hizi mara nyingi zina masharti magumu au kuwatoa...
  17. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara au Mwekezaji unaejielewa achana na siasa, kaa jifunze playbook ya uwekezaji na biashara anayotumia Rostam A. He's the best dealmaker

    Kwenye biashara na uwekezaji skill pekee ambayo ni muhimu kuliko zote ni 'The art of deal making' Na mtanzania pekee ambae naona anafaa kuwa rolemodel wa wengine kwenye hilo si mwingine bali ni Rostam Aziz. Sasa wewe kijana au mzee mfanyabiashara au mwekezaji endeleza ushabiki wa kisiasa...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rostam: Mimi nilikuwa mfanyabiashara wa kwanza kuingia bungeni, nilizua kasheshe sana na nilikuwa na uchaguzi mgumu

    Mimi nilikuwa mfanyabiashara wa kwanza kuingia bungeni, wakati huo fomu za bunge za kugombea ubunge zinabox mbili awe mkulima au mfanyakazi mimi nilikrozi zote mbili nikaandika mfanyabiashara, kwahiyo nilizua kasheshe kwenye kamati kuu ya chama wanabishana sasa huyu tunafanyaje kwa sababu si...
  19. Think2

    JamiiForums Tanzania Mwamposa ni mfanyabiashara kupitia kanisa lake na wala sio mtume kama wengine wanavyofahamu

    Naanza na hii ●kaingia mkataba na kampuninya ice drop kwamba awe anatumia maji yanayozalishwa kwenye kampuni hio kama majinya upako baada ya kuyaombea kwaio ice drop na A rise and sunshine ni trade partners Uthibitisho unajionesha wazi maana kuna logo ya ice drop na hio ya mwamposa A rise and...
  20. Mafunzo ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Abdul mtoto wa Rais ni mfanyabiashara wa muda mrefu swala la yeye kununua gari ni jambo dogo sana

    Watu wanaomfahamu Abdul wanaelewa kuwa huyu Kijana ni mchakarikaji wa miaka mingi. Kwahiyo issue Kama kupata Gari la 1-2B sio jambo la kushangaa. Tuache wivu na chuki .
Back
Top Bottom