mfano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Iran, Hezbollah na wenzao mfano mzuri wa upendo wa Yesu Kristo aliyetufia msalabani

    Nimeguswa kuandika uzi huu kutokana na bandiko ninaloliweka hapo juu. Injili imesheni upendo mkuu usiokuwa na kifani aliokuwa na Yesu Kristo na Mungu baba kutupenda mno sisi hata akamtoa mwanawe wa pekee kuja kutufia ili tusipotee. Yohana 3:16 - 17: "Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda sana...
  2. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kutokana na kauli ya Rais Samia, kuwataka viongozi waige mfano wa uongozi wa Sokoine. Swali la kujiuliza ni viongozi wangapi wa sasa ni waadilifu?

    Moja ya kauli aliyotoa Rais Samia Jana wakati akikizindua kitabu Cha Hayati Edward Sokoine, katika hafla iliofanyika Dar, aliwaonba viongozi wenzake, waige mfano wa Hayati Edward Sokoine wa uzalendo wa kulipenda Taifa lake wa hali ya juu sana na kuwatumikia wananchi wa nchi hii Kwa uadilifu...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye uzoefu wa kuandika barua ya kupinga makadirio ya kodi TRA anisaidie mfano

    Naomba mwenye uzoefu wa kuandika barua ya kupinga makadirio ya kodi TRA anisaidie mfano.
  4. tpaul

    JamiiForums Tanzania Tufuate mfano wa malezi wa Christiano Ronaldo; hebu msikilize kwa makini hapa

    Watanzania, hasa akina baba, tunao wajibu wa kuwalea watoto wetu kwa kutowapa kila kitu, hata kama tumejaliwa utajiri wa kutosha. Tunapaswa kuwafanya watoto wetu wa hustle ili wajue kuwa mali zinapatikana kwa uchungu. Sio kila akiomba hela unampa halafu anaenda kuspend na girlfriend wake...
  5. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Mfano wa mtihani wa ustadi (Aptitude Test) wa Walimu wa hesabu wa shule za Sekondari maswala ya usaili

    Ni kawaida kwa walimu wanaotarajia kufanya aptitude test kuwa na maswali mengi juu ya nini cha kutarajia na wapi pa kuanzia maandalizi. Japokuwa hakuna majibu maalum au sahihi ya nini hasa kitakachoulizwa kwenye mtihani, ni muhimu kuelewa lengo la aptitude test na kujifunza jinsi ya kujiandaa...
  6. U

    JamiiForums Tanzania WITO kwa Mwenye Mamlaka, wenzetu hao hata uwatendee wema vipi hawanaga shukrani fuata mfano wa mtangulizi wako!

    Wadau hamjamboni nyote? Ni ushauri tu kwa mwenye mamlaka kuwa hawa wenzetu hata uwafanyie jambo gani jema hawanaga shukrani Kwamba wao kila siku ni kulalamika , kudai na kudai, kuzusha na kuzusha yaani hawanaga jema! Yaani ni watu wasiofaa hata kidogo! Hivyo Mwenye Mamlaka dawa Yao ni moja...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Taliban yapiga marufuku saluni za kike

    Saluni za nywele na urembo zinatarajiwa kufungwa wiki kadhaa zijazo hali ambayo inatarajia kusababisha ajira 60,000 kupotea. Uongozi wa Taliban baada ya kuingia madarakani Mwaka 2021 uliruhusu saluni hizo kuendelea lakini wamebadili maamuzi hayo wakati ambapo tayari wamezuia Wanawake kwenda...
  8. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Sauli ni mfano wa wamiliki wa mabasi waliofilisiwa na madereva fake

    Biashara ya mabasi ya abiria kwa Dunia ya leo si ya kushadadia ma mbio yasiyo na tija bali ni akili yenye wingi wa ubunifu ndaniye kwa mambo yatakayomvutia abiria taraji. Mfano Sauli ni wazi alifilisiwa na madereva wake kwa kushadadia sifa za kijinga za mwendo kasi hali iliyosababisha mabasi...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ina watu wenye ufahamu mdogo sana. Wasomi kwa wajinga. Nitatoa mfano mmoja au miwili tu.

    2018 kuna binti aliajiriwa kazini kwetu, ile first appointment. Binti alikuwa anakuja kazini kwa daladala na kurudi kwa daladala. Mshahara wake ulikuwa 700k ukiweka na posho ilikuwa kama 900k. Kwakuwa alikuwa kitengo chenye mianya ya pesa nyingi na ninaijua michezo michafu yote ndani ya ofisi...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi aiagiza Serikali kuwaachia Viongozi wa CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amemwagiza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuzungumza na waziri wake, Hamad Masauni, ili kuona namna ya kuwaachia viongozi wa Chadema waliokamatwa mkoani Mbeya, akiwamo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe. Dk...
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ukweli Usemwe: Baadhi ya Wanawake wazuri wanasumbuliwa na UTI sugu

    Huu ni ukweli ambao wapiganaji wengi wanaogopa kusema kwa uwazi. Usiombe ujichanganye hovyo nyau nyau kwa pisi kali. Azuma haifanyi kazi kwa UTI ya kali jichunge, naishia hapa mtaongeza ushuhuda wenu. Jipende jilinde Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
  12. I

    JamiiForums Tanzania Demokrasia iliyokomaa nchini Marekani ni mfano wa kuigwa duniani kote.

    Mgombea nafasi ya urais kwa tiketi ya chama cha Democratic nchini Marekani Bibi Kamala Harris ameanza kumuwashia taa ya indicator mgombea wa chama cha Republican Bw. Donald Trump. Hii ni kufuatia matokeo mbalimbali za kura za maoni zilizotolewa na mashirika kadhaa ya nchini humo. Na kama hali...
  13. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Rais Onyesha Mfano wa Kuheshimu Mamlaka Zilizopo Kisheria ili Iwe Mfano na Faida Kwako Ukistaafu.

    Nimesikitishwa sana na kauli iliyotolewa na Tume ya Haki za Binadamu iliyo chini ya Jaji anayeheshimika kuhusu hukumu ya RC wa Arusha na kwamba mpaka dakika hii hujachukua hatua yeyote. Huku ni kuonyesha dharau kwa mamlaka hiyo ambayo ipo kikatiba na chombo kikubwa cha msaada kwako katika...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Bashe iga mfano wa Mwigulu. Jitokeze ujibu kashfa ya sukari

    WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba amejitokeza hadharani kwenye mitandao mbalimbali ya Kijamii kujibu tuhuma za kwamba Serikali imefilisika kama walivyodai baadhi ya watu na akatoa ufafanuzi wa kina wa kila hoja. Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe unakabiliwa na tuhuma mbalimbali kwenye utoaji...
  15. DeMostAdmired

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwanamke ni mfano wa kuigwa na wadangaji

    Habari zenu!!!! Na habari ya siku nyingi!!! Nianze kwa kuwapa salamu kutoka kwa Mercy na Mage wote ni wazima. Twende...... Jana tarehe 08/07/2024 nilienda kumtembelea mshikaji wangu, idol wangu katika harakati, nilienda dukani kwake. Anaduka kubwa tu la electronics na vitu vingine. Huyu...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kila baada ya wiki Kuna kuwa na jambo linalo trend katika taifa letu. Mfano wiki iliyoisha jambo lilikuwa Lina trendi ni mauaji ya Mtoto Asimwe

    Kila baada ya wiki Moja linaibuka jambo jipya sana Lina trend sana Kwa Tanzania Kwa mfono wiki iliyoisha yalikuwepo matukio mawili makubwa ambayo ni Mauaji wa Mtoto Asimwe na Mgomo wa Wafanya biashara Nchi nzima. Sasa wikii hii (01.07.2024) Hostest news Kwa Tanzania ni 1.Mchungaji peter Msigwa...
  17. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania RITA: Tupeni vitambulisho vya kuzaliwa kwa watoto (Birth Card) na sio karatasi kama mfanyavyo sasa

    Habari Tanzania ! Habari Jamii salama ! Ninaombi au wazo kwa taasisi inayohusika na utoaji kadi za kliniki na cheti cha kuzaliwa. Wazo langu ni kuwa wazazi wanapokuwa wajawazito wapewe hayo makaratasi (kadi ya kliniki) ila wanapo bahatika kujifungua wapewe kadi maalumu (Birth Card) ifanane...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Tajiri Bill Gates alivyolea watoto wake ni mfano mzuri wa kuigwa na sisi waafrika wa rika mbalimbali za maisha.

    Ukiangalia namna hawa matajiri wa kizungu wanavyolea watoto wao utagundua ni kwa nini hata hao wazazi wao wanadumu na hizo mali. Na Bill Gates anasema atawapatia watoto wake watatu wakike wawili na wa kiume moja dola milioni 10 tu kila moja ili wachakarike nazo kwani kuwapatia hela nyingi sio...
  19. ismaili sogora

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iwaangalie wahitimu wa vyuo vya ufundi stadi VETA kwa kuwapatia nyenzo za kuwawezesha vijana kuendeleza fani zao

    Kutokana na ukosefu wa ajira katika nchi yetu ,Elimu ya ufundi stadi imekuwa mkombozi wa vijana wengi sana ndani ya nchi yetu kwani wamejengewa uwezo wa kazi mikononi mwao lakini uwezeshwaji wa vijana kimitaji ili waendeleze shughuli zao za kiufundi kwa kufungua karakana zao binafsi na kufanya...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Kihasibu Yanga wamepata faida iliyofichwa kwa kupandisha matumizi, Mfano ni kipengere cha mishahara ya bilioni 7.3

    kwa makadirio makubwa mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi kwa timu kuu, Yanga princess na vijana ni BILIONI 4 kwa makadirio ya juu, Timu kuu mishahara ni BILIONI 3 Wanaopata milioni 25 wawili Wanaopata milioni 20 wawili Wanaopata milioni 15 watatu Wanaopata milioni 10 sita Hao wengine...
Back
Top Bottom