Kupitia wasafi FM baba levo naona amekuwa kero sana yani mnawezaje kumpa mambo ya uchumbuzi kuanzia uchumi,michezo mpaka kimataifa wakati sio taaluma zake.
Uwezi kukashifu watu na kutaja majina yao kuwa wameshindwa kufanikiwa sababu walitoka kwa diamond.
TCRA kama mna manufaa na vyombo vya...
Nchini Msumbiji walifanya uchaguzi wao oktoba 29/2024..uchaguzi ulikuwa na wagombea kutoka vyama kadhaa lakini vilivyokuwana upinzani wa karibu ni Frelimo kilichowakilisha na Daniel chapo huku Podems ikiwakilishwa na Venancio Mondlane..uchaguzi ulifanyika baada ya kampeni kali zilizokuwa na...
Katika jamii, ni jambo lisiloepukika kukutana na watu wanaotukana au kusema maneno ya kuumiza. Hali kama hii hutufikisha kwenye options mbili: kulipiza au kujibu kwa hekima bila matusi. Biblia inatufundisha kuchagua option ya pili: kutokurudisha tusi - kujibu kwa upole na kusamehe.
Yesu Kristo...
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mtwara Chini ya Mwenyekiti Ndugu Abuu Athumani Yusuphu Katika mwendelezo wa kampeni yao ya “AMKA TWENDE NA SAMIA 2025"
wamefanya tambiko maalum kwa kushirikiana na wazee wa kimila wa mkoa huo, kumuombea Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Dharau, kejeli na majina mabaya kwa timu ya Mchangamdogo Senta ni moja ya changamoto inayorejesha nyuma juhudi za maendeleo kwenye timu hiyo. Ameyasema hayo Kocha na Kepteni wa timu Bimkubwa Maulid Othman Wakati wakati akizungumza na mwandishi wa habari hizi na kuongeza kua, kutokana na...
Mimi nilitaka kushangaa mtu anasimama mbele ya halaiki, tena mtoto mdogo tu anatamba eti atachacha, where do you get that arrogance? Kwamba Yanga ni kubwa kuliko authority? Unaongea as if unayemuongelea ni mtu mdogo sana halafu umetegwa omba radhi unajibu tena kwa kejeli.
Hongereni Jeshi la...
Kwa miaka miwili ya IBRAHIM TRAORE aliyoifanyia Bukinabe, vitu ambavyo dunia nzima inaviona, kwa wananchi wake ndio usiseme.
Kwa hiki chama chetu nadhani wangevua na mashati kwa sababu wako talented kwenye nyimbo za mapambio
Anakuja kiongozi mkubwa kabisa hii miaka minne haijawahi kutokea, kule...
Hii kuwa mfano wa nchi itakayopigwa mnada? ZIDISHA MARA 20 ILI UPATE IN TSH
Serikali ya Kenya imetangaza kwamba deni la nchi hiyo limefikia shillingi trilioni 10, kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa katika historia ya nchi hiyo, huku waziri wa fedha John Mbadi akidai kwamba thuluthi mbili za...
Habarini,
Nimewaza kwa mfano itokee system ya kugundua na kuthibitisha makosa yaliyofanywa na watu wote nchini walio above 18, ambayo adhabu zake zimeainishwa kwenye penal code k.v
1)Kufanya mapenzi na wanafunzi
2)Ulawiti/kulawitiwa/sexual indecency
3)Forgery
3)Kuzini na maharimu
4)Wizi...
Makuhani na mafarisayo walimtaka Yesu awake ishara akawaambia kama Yona alivyokuwa kwenye tumbo la samaki siku tatu kisha akatoka basi na yeye atakuwa kaburini siku tatu na kutoka akiwa mzima tena. Lakini alipofufuka alikuwa akiishi maisha ya kificho. Aghalabu tunaambiwa takribani aliwatokea...
Kutokana na mitazamo tofauti ya wananchi juu ya wenyenchi, kila awamu ya uongozi ukihudumu.
Mimi binafsi natambua umuhimu wa kila awamu kwa nafasi yake, ila awamu ya I & V ni za viwango.
Kuna kufanya vizuri na kuna kuweka viwango(set standards) unakua mfano kwa wakufuatao./igwa
Kwa mtazamo...
Bado hii tabia hipo wengi wanafanya mfano wasafi fm kwa baba levo.
Haya haya tuliyaona kwenye redio ya EFM.Mfano mtu kama masanja tasnia ya habari katoa wapi?.
Mpoki naye nilishawai kumsikia kwenye maredio mpaka gigy money.
Hivi vyombo vya habari bila kuzibitiwa kuna siku wachambuzi wa siasa...
Umewahi kujiuliza kwanini viwanda havitengenezi Product za kudumu? Yani mfano zitengenezwe tairi za magari zisizoisha.
Dawa ya meno inayozuia kabisa meno yasiharibike.
Kiwanda cha nguo zisizochuja kabisa?
Huo uwezo wanao ila hawawezi kufanya hivyo...! Kwanini?
Mwaka jana nilikutana na jamaa...
Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake, hakuna mfano bora wa mwanamke shupavu, mwenye maono na anayevunja vikwazo kuliko Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Safari yake ya uongozi si tu fahari kwa Tanzania bali pia ni mwangaza kwa wanawake duniani...
bora
duniani
katika
kimataifa
kina
mfano
rais
rais samia
rais samia suluhu
rais samia suluhu hassan
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
siku
suluhu
uongozi
wanawake
4R's za mh.Rais Samia zina mawanda mapana sana.
REFORM:
Huko nyuma hatukuona ujenzi wa barabara zetu wakipewa "PPP-ubia wa sekta binafsi na serikali" zaidi ya hatua za wizara ya uchukuzi(ujenzi)pekee.
Mh.Rais Samia amekuja na mikakati hii mipya akiichagiza "REFORM" kwa kuihusisha "PPP" na...
Kilimo kinalipa wanangu wa NETO njooni tujaribu nahuku sasa kama kule kumegoma inakuaje mfano mpaka sasa hatuelewi kama oral tulifaulu au tumefeli.
Majibu tuliyo nayo niya written tu
Je, Donald Trump ni mtu wa namna gani na familia yake ikoje..!!??
Ukiangalia jinsi Trump alivyowalea watoto wake watano kwa kweli utashangaa sana na hii ndio maana hata jumuiya ya makanisa yenye nguvu na ushawishi mkubwa nchini Marekani ya Evangelical Christian Churches of America hupenda...
Nimeona clip hii kutoka Nyamongo na nimefurahishwa mno na uhodari na weledi wa watu wa Nyamongo huko Mara. Ni watu wasioyumbiswa wala kudanganywa na wana msimamo imara sana. Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza watu hodari na wenye akili wa Nyamongo na ingekuwa vyema mno kama watu wa maeneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.