Mfahamu Jaji Mohamed Chande Othman

Mfahamu Jaji Mohamed Chande Othman

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
509
Reaction score
489
IMG-20260423-WA0001.jpg

1. Mohamed Chande Othman ni jaji mwenye uadilifu mkubwa na ujuzi wa hali ya juu katika sheria.

2. Amewahi kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania (2010-2017), akiongoza mahakama kwa haki na uwazi.

3. Aliaminiwa na Umoja wa Mataifa kufanya kazi za haki za binadamu, jambo linaloonyesha uaminifu wake.

4. Alikuwa miongoni mwa waanzilishi (pioneer) wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), akionesha uwezo mkubwa katika sheria za kimataifa.

5. Amefanya kazi kama mwendesha mashtaka wa kimataifa katika kesi muhimu (Timor-Leste na Rwanda).

6. Aliongoza Tume ya kuboresha mfumo wa haki jinai nchini Tanzania, iliyoleta mapendekezo muhimu ya kuboresha mfumo wa haki jinai Tanzania.
 
View attachment 3577699

Screenshot_20260406-150040~4.png
 
😄 😄 😄

Aise ..... nmeamka sahvi ngoja nikapige cross country work-out 😄

Ova
 
Huo uadilifu ndio umeona uuongee leo kuchonga shimo la kutokea .
 
2. Amewahi kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania (2010-2017), akiongoza mahakama kwa haki na uwazi.
Uongo huu,
Mahakama-ccm hazijawahi kutenda haki kwa uwazi.

Pili, hata malaika akikubali kumtumikia ibilisi, sheitwani, na yeye anageuka kuwa sheitwani kuanzia muda huo huo
 
Hyo ripoti Inatoka saa ngapi?.mbona naona kama nguvu kubwa I inatumika kuitetea wakat ripoti hujitetea yenyewe
 
Back
Top Bottom