mfahamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Andre Stander, Polisi aliyeziibia benki na kusimamia kesi hizo kama mpelelezi

    Andre Charles Stander alizaliwa November 1946 na kufariki Februari 1984 nichini Afrika Kusini ambapo alikuwa Polisi kuanzia mwaka 1963 hadi 1980 miaka ambayo alifanikiwa kuziibia benki zaidi ya 30 Stander alikuwa Nahodha wa Kitengo cha Upelelezi wa Jinai Johannesburg mwaka 1977 ambao ndio mwaka...
  2. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Angela Merkel

    Dk. Angela Dorothea Merkel (amezaliwa tar. 17 Julai 1954, mjini Hamburg) ni mwanafizikia na mwanasiasa wa Kijerumani, na ni Chancellor (kansela/Waziri mkuu) wa Ujerumani tangu 22 Novemba 2005. Familia na elimu Alizaliwa 1954 mjini Hamburg katika familia ya Horst na Herlind Kasner. Babake...
  3. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Millard Ayo

    Millard Afrael Ayo majina mengine ya utani Muyenjwa Laizer alizaliwa Arusha January 26 1986 akiwa ni mtoto wa kwanza kwenye famili ya watoto wanne ya Afrael Ayo ambae ni mmeru wa Akheri Tengeru, ni mfanyabiashara na mama Mary Ayo ni mwalimu. Baada ya mama yake mzazi kuona uharaka wa uelewa wa...
Back
Top Bottom