meza

The Meža (Slovene) or Mieß (German) is a river in the Austrian state of Carinthia and in Slovenia, a right tributary of the Drava. It is 43 kilometers (27 mi) long, of which 42 kilometers (26 mi) are in Slovenia. Its catchment area is 551.7 square kilometers (213.0 sq mi), of which 543 square kilometers (210 sq mi) in Slovenia.

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Wajumbe kupindua Meza ya Genge la Samia, imewafanya Waitishe Mkutano mitandaoni ili kurekebisha Katiba Imfae Samia na Genge lake !

    Hofu ileile iliofanya Akahairisha Mkutano na kukimbilia Zanzibar. Sasa imewafanya Waitishe Mkutano Kwa njia ya Mitandaoni ! Genge la Samia limekabwa vilivyo, wanajaribu kucheza na KATIBA kijanja kijanja. Unawezaje badilisha Katiba kijanja Janja kwa wajumbe kua Watazamaji tu?? Wajumbe...
  2. Mbepo yamba

    JamiiForums Tanzania Endapo reforms zote kubwa zinafanyika, Je Lissu awekwe meza moja na akina Nyerere kwenye historia?

    Amekuwa tayari kupitia njia ya kunyongwa mpaka kufa. Sasa kuna fununu la mwangwi mkuu wa mageuzi. Endapo yakatokea tuone atawekwa wapi na historia
  3. I

    JamiiForums Tanzania Ukisikia Ujima, Slowslow, Kiluvu na Modemba meza moja, Fahamu kazi ndio imeanza...

    Katika vichochoro visivyo na jina, vipo vikao vinavyofanyika kimyakimya. Wenyeji wa meza hizi ni watu wanaojiona werevu wa kupanga mikakati ya “kuvunja ukimya” kupitia vitandao. Lengo? Kuishtukiza mamlaka iliyo madarakani kwa sasa. Wanaita hiyo "operesheni ya mfululizo wa alama." Kinachoonekana...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nawaelewa Wapentekoste/Walokole wanapofurahia kuketi moja meza na wakuu. Free Pentecost

    Wapentekoste waliingia Tanganyika zamani sana miaka ya kati ya 1900's. Free Pentecostal Church of Tanzania (FPCT) walianza kuwepo Tanzania mwaka 1932, hata hivyo hawakuweza kupata mafanikio makubwa mpaka miaka ya mwishoni ya 1980 na mwanzoni miaka ya 1990. Walipoanza kuingia kwa nguvu katika...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ndiyo maana Gwaji Boy kachukua fomu, kumbe kuna asiyempenda meza itapinduliwa soon?

    ...... ...... Ningeshangaa, mbali na kutamkiwa wazi kuwa hatakiwi, leo kapata wapi ujasiri tena wa yeye kwenda kuchukua fomu? Kumbe kuna mapinduzi ndani ya chama la mapinduzi? Watajuwana wenyewe huko
  6. M

    JamiiForums Tanzania Markani yaihonga Iran mabilioni ya dola ili irudi katika meza ya mazungumzo kuhusu ishu ya mradi wa Nyukilia

    Gazeti maarufu la Israel limetonya kuwa Marekani kupitia channels zake za "behind the scenes" imeihonga Iran mabilioni ya dola ili kuifanya Iran irudi katika meza ya mazungumzo kuhusu ishu ya Nyukilia. Mahela hayo yanakusudiwa kuishawishi Irani iaachane na madai ya haki yake ya kuenrich Uranium...
  7. technically

    JamiiForums Tanzania Atashangaliwa na kupigiwa meza na waliokataa reform toka mwanzo

    Bunge letu ni tv ya serikali na remote wanayo serikali. Wale wabunge waliokataa reform toka mwanzo watamshangilia na kumpongeza Sana Pale atakapowatangazia kwamba havunji bunge mpaka mwezi 8 Wale wa October tunatiki pia watashangilia Walioita watu kenge nao watashangilia Ndio ujue tuna nchi...
  8. Knock life

    JamiiForums Tanzania Wakuu je mshahara wa Mbunge ni Mkubwa kuliko wa mkuu wa Mkoa ? Au Watu wanaacha ukuu wa mkoa ili wakale pesa za bure za kugonga meza!?

    Kwa ninavyojua MTU Kama Makonda hana uwezo wowote wa kuwa kiongozi ni vile anabebwa na mfumo. Je Makonda ameamua kuingia kugombania ubunge ili ajiondoe katika Kazi zenye Pressure Kama U-RC na U-DC !? Au kaamua kufukuzia Mshahara Mkubwa ambao ubapatikana bila kufanya Kazi ambazo ni mil 18...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran yasema Israel ikisitisha mapigo basi itarudi kwenye meza ya mazungumzo ya kuacha manyuklia

    Tatizo nani wa kumwambia Israel aache sasa, yule ni kichwa cha mwenda wazimu, na sasa Iran imefaulu kuua raia wanne Israel, imezidisha hasira kwa Wayahudi. -------------- In a call with his French counterpart Emmanuel Macron, Pezeshkian said Iran favored diplomacy, but will not “accept...
  10. Holoholo

    JamiiForums Tanzania Ni vitu gani muhimu vinatakiwa viwemo kwenye meza chumbani kwa wanandoa wapya?

    Wakuu Wiki hii natarajia kupata mke mwema kutoka kwa Bwana,Nina maswali mengi najiuliza ni vitu gani ni muhimu viwepo mezani kwa ajiri ya mke wangu na hata Mimi mwenyewe? Hapa nimeandaa baadhi ya vitu kama rosheni,gisaleni,mafuta, perfume,sabuni🧼🧼🧼🧼 Vitu gani niongeze ili akute meza ipo...
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ni timu gani ilipindua meza baada ya mechi ya kwanza kufungwa bila hata on target?

    Ukisikia kujipa matumaini hewa ndo haya Sasa Timu limepigwa goli 2 bila kelele Ball possession RS Berkane iliongoza 78% Simba walicheza kama wapo pungufu Berkane wanakuja ku press kama hawajashinda wala mbumbumbu msitegemee ati watakaza nyuma walinde Dhahama itatokea ikiwa Simba atajifanya...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tukio la Martha Karua kuzuiwa Uwanja wa ndege limepindua meza, sasa no reform election

    Uwanja wa Ndege Julius Nyerere Intl Airport Dar es Salaam CHADEMA YAPATA BALOZI Ni dhahiri hatua ya serikali ya Dr. Samia Hassan kuwatimua waangalizi huru wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu imepata coverage kubwa katika lugha ya English duniani kote tofauti na siku za nyuma ambapo...
  13. X

    JamiiForums Tanzania Ufalme wa Caterpillar, Komatsu, Volvo, JCB na Hitachi umeanguka. Kwenye heavy machines Mchina kapindua tena meza

    Miaka ya karibuni imekuwa the new normal kukutana na Chinese brands kwenye game la heavy duty machines, brands kama SANY, XCMG, LiuGong, Zoomlion, Shantui, SDLG na SINOTRUK. Iwe ni bulldozers, excavators, cranes, graders, loaders, compactors, scrapers, trenchers, roller, cold planers, backhoes...
  14. Mjomba Malume

    JamiiForums Tanzania Natafuta Meza ya Dining ya Mbao Adimu kwa bei yoyote ile

    Ndugu zangu wanaJF, Natumaini wote mu wazima. Mimi ni mpenzi wa vitu vya kipekee, vya ubora wa juu na vyenye hadhi ya kimataifa. Kwa muda sasa nimekuwa nikitafuta meza ya dining ya mbao ya asili (preferably African blackwood au mahogany) iliyo unique siyo zile zinazoonekana kila sehemu. Sitaki...
  15. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri kwa CCM na CHADEMA kukaa meza moja kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao

    Kama Mwananchi na Raia wa Tanzania ninawashauri CCM na CHADEMA wakae meza moja na wajadiliane kuangalia yale mapungufu yanayoonekana kuelekea Uchaguzi Mkuu ili yafanyiwe marekebisho kama itawezekana. Pamoja na kusema kuwa uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa ni sawa lakini CHADEMA wanaweza...
  16. BigBro

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Zelenskyy amwandikia barua Trump warudi meza ya mazungumzo

    Rais wa Marekani, Donald Trump amehutubia Congress na amesema Rais wa Ukraine, Volodymyr Oleksandrovych Zelenskyy amemuandikia barua na kukubali kurudi kwenye meza ya mazungumzo kuhusu kusaini mkataba wa kuuza madimu yake. CREDIT: Aljazeera
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa meza sehemu ya pili: Mbao asilia.. Ufundi uliotukuka..

  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa meza

  19. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Oven ya Kuokea mikate ya Meza ya Bwana.

    Habari wanaJF, Nimekuja kwenu na ombi. Kama kuna mfanyabiashara wa OVEN hapa naomba tuonane. Cha msingi, nahitaji kukitumia kanisani. Iweze kutumia gesi na umeme. Plate 2 au 3. Naomba uniandikie. Whatsapp ni 0748707707
  20. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mwalimu aliwapa wanafunzi zoezi kuwa wachore kile kilicho kwenye meza

    Mwalimu analiwapa wanafunzi zoezi kuwa wachore kile kilicho kwenye meza. Matokeo yake ni ya kusisimua 📸 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10 11. 12. 13. 14.
Back
Top Bottom