Mengi is a common masculine Turkish given name. It means "eternal", "without a beginning", "having no beginning". It is an Oghuz accented version of Mengü which is also a Turkish given name. Compared to Mengü, Mengi has an additional meaning: "happy".
Basi mimi nimeamua nibadilike tu hii Roho ya kuwa mwema kwa kila mahusiano niachane nayo
Unaingia kwa mahusiano unampenda mtu kumbe yeye ana kutamani wala hana upendo na wewe
Imagine unakuta kwenye simu ya mpenzi wako amekusave Annastazia Dodoma
Na wewe umemsave majina mazuri
Mimi huwa sina...
Zamani mwanamke aliyeachika au kutalikiana na mmewe alikuwa hatakiwi kabisa kupewa nafasi yoyote ya uongozi katika jamii.
Jamii ilifanya hivyo ili kupeleka meseji kwa wengine kuepuka kuishi maisha ya kisingle maza pasipo sababu ya msingi.
Wanaume ambao hawakutimiza majukumu yao ya kulisha...
Alipokua akiulizwa kuhusu kauli yake alioitoa kuhusu kuhamishwa kwa wapalestina walioko Gaza, aliendelea kisisitiza msimamo huo.
Muda utatuambia kua huyu mzee hamnazo kabisa, kama lengo lake ni kushirikiana na wazayuni awatoe wapalestina gaza, amechelewa sana na haiwezekani.
Haiwezekani mtu...
Nisha wahi kuja na post kuhusu haya matunda. Haya matunda yanalimwa comercialy na watu wa mbele hawa wanayapenda sana, Ni matunda tiba, Niliwahi leta uzi wake humu, coment zikawa ni kule kwetu haya ni mengi sana.
Hii ni Jana nilikutana nayo Shoppers.
Prickly pears ingawa pia kuna highbrid yake...
Ukiangalia vizuri kabisa katika picha hii jicho la kiroho ,utagundua kuwa kuna mengi sana yaliyojificha nyuma yake.
Pengine ndio root ya kilichofanyika Dodoma.
1.hiki chama hakina wazee wakutuliza
hizi vurugu?
2.kuna kundi litasusa.je,hili kundi litaanzisha chama kipya au litasujudia vyama vingine ili wapokelewe?
3.Baada ya uchaguzi,kundi lililoshindwa kama hawatahama chama, kuna kuaminiana tena?...
Habari wadau
Ukweli CCM siipendi kwa sababu nyingi.
Ila nawapa maua yao kwamba wameijenga nchi sana kwenye miaka mitano ya awamu ya 5 iliyoongozwa na Magufuli na miaka mingine mitano ya awamu ya sita iliyoongozwa na Mama Samia.
Leo hii Tanzania tunaongoza Africa mashariki kwa kuzalisha...
Kabla ya Wakoloni hawajaanza kutawala Africa baada ya mkutano wa Berlin wa 1884/1885 Africa ilikuwa haijawahi kuwa na hospital, shule, reli, barabara, mfumo wa sheria, mahakama na umeme. Hivi vitu vilianza kuwepo Africa baada ya Wakoloni kuja.
Hata hivyo historia ya ukoloni inayozungumzwa...
Mwanaharakati na mhariri wa kujitegemea, Maria Sarungi, amesema baada ya kuachiwa jana usiku na watekaji, walimtaka asiongee na mtu yeyote na asizungumze chochote kuhusu tukio hilo.
Maria amesema hayo leo, Jumatatu Januari 13, 2025, alipozungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi kuhusu...
Nimeona mh Mbowe akitaja fadhila ambazo amemfadhili mh Tundu Lissu tangu walipokutana mwaka 1995 na kuamua kushirikiana naye katika harakati za kisiasa nchini.
Wahenga wanasema, "tenda wema uende zako" na sio kusubiri fadhila. Mwl Nyerere aliwahi kupewa nyumba ya kuishi na marehemu Dosa Azizi...
Kama kuna sehemu uongozi wa Mkoa wa Simiyu, Wilaya ya Bariadi na vyombo vya kiuchunguzi wanatakiwa kutupia macho sana ni hili eneo la mnada wa mifugo Bariadi,
unaopatikana kwenye eneo la Halmashauri ya Mji wa Bariadi, Mtaa unaitwa KIDINDA.
Kwenye huu mnada wetu ambao kwa wiki unafanyika mara...
Umezaliwa humfahamu baba yako mzazi. Mama yako anakwambia babaako alishakufa. Anakutajia jina ambalo silo unalotumia shuleni. Unaanza kujiita ubin kwa hilo jina.
Baada ya miaka kadhaa,
mama yako anakutambulisha kwa mtu mwingine kuwa ndiye baba yako. Tena yuko hai. Na jina sio lile alilokutajia...
Kasumba hii inaathiri sana uwezo wa watu wetu wa kufikiri kwa kina, hasa katika bara letu la Afrika. Akili za Waafrika wengi zimekuwa kama sifongo zinazofyonza taarifa bila kuchuja wala kutafakari juu ya ukweli au mantiki ya kile kinachosemwa. Mara kwa mara hukutana na watu wanaoamini mambo ya...
Wakuu sina ndoto ya kuja kuwa Rais hata kwa dk1 sina.Msije mkaniteka bure Nikamuacha mke wangu akiwa bado mbichi kabisa.
Mara zote huwa nafikri kama ningepata nafasi ya kuwa rais wa nchi hii basi ningefanya mengi sana makubwa kwenye hili Taifa mengi sita yesema nitasema machache tu tena...
Nauliza kwa ambae amewai fanya usahili Gaming board Tanzania, written yao ni multiple choice au kuandika yaan maelezo mengi mengi au kwa mwenye idea huwa zinakuaje?
Najua mtashangaa sana,lakini mwenza wako ambae ndio mtaishi nae kwa amani na furaha na hatimae mtazikana, ni yule ambae hamkubaliani kwa mengi, lakini mnakubaliana machache ambayo ndio msingi wa ndoa yenu.
Msitafute mwenza ambae mnakubaliana mengi, ndoa haitadumu.
HESHIMA kwako RTO wangu
Nianze kukutakia hero ya MWAKA mpya na kikosi kizima cha barabaran
Nisichukue mdawako sana naomba mh traffick wasilale mpaka saa saba wawe barabaran
KUNA matukio siku ya leoo MKIWEZA kuthibiti HATA ajali zitapungua keshoooo
Mungu awabariki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.