mengi

Mengi is a common masculine Turkish given name. It means "eternal", "without a beginning", "having no beginning". It is an Oghuz accented version of Mengü which is also a Turkish given name. Compared to Mengü, Mengi has an additional meaning: "happy".

View More On Wikipedia.org
  1. Shammy-

    JamiiForums Tanzania Ndoa ina raha yake bwana asikwambie mtu, japo maudhi yapo ila sio mengi kama mazuri

    Uzi tayari
  2. Benzie

    JamiiForums Tanzania Benz inayopumua: Jiunge nami tujifunze mengi

    1: Hello humans. My name is Benzie. Mercedes Benz. Iam six months old. Iam a girl. Naomba mnipokee na mnipe nafasi ktk mtandao wenu huu bora kuliko yote hapa Tz🙏🏼🙏🏼. Lengo la kujiunga hapa JF ni; 1)Kuonyesha karama zangu mbalimbali alizonijalia Mungu.Mimi ni paka mwenye uwezo wa kufanya vitu...
  3. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania Pamoja na mapungufu mengi aliyonayo lissu sio mfisadi,je mzee wetu alivuta shiling ngapi mbona lissu anahasira mno?

    Niliwahi kusikia miaka ya zamani lissu akimtweza baba wa taifa mwalimu nyerere Nikamueleza rafiki yangu kuwa huyu mtu hatafanikiwa kisiasa Tanzania,he will end up like siasa za mtikila Mtikila mwishoni aligeuka laughing stock sio Lkn nampongeza lissu kitu kimoja sio mfisadi hata kidogo Kwa...
  4. Malkia wangu

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kusogea huku Ili nipate madini mengi

    Nawasalimu wote , hivi karibuni nitakuja na jambo langu .
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Chadema uitishe kikao cha dharura, nchi imekuwa na matukio mengi sana mpaka tunashindwa kufanya siasa kuelekea uchaguzi wa mitaa

    Nashauri vikao vifanyike, kila siku tukijiandaa kupiga propaganda zetu, tukio linatokea mpaka tunakata tamaa. Hatuwezi kuyazuia, sasa sijui tufanyeje. Wiki hii yote tutajadili mambo ya Morroco 2025, mpaka kumaliza mjadala, uchaguzi wa mitaa umekwisha. Tunaingia kwenye michango ya Niffer na...
  6. Magical power

    JamiiForums Tanzania Picha iliyobeba maana kubwa kwenye jinsia zetu na matatizo mengi yaliyokosa maelewano

    Hii ni picha iliyobeba maana kubwa kwenye jinsia zetu na matatizo mengi yaliyokosa maelewano. Mwanaume hajui kuwa chini kuna nyoka. Na mwanamke haelewi kuwa juu kuna jiwe kubwa limemkandamiza Mwanaume wake. Mwanamke anafikiri, naenda kuanguka na siwezi kupanda, kwasababu nyoka atanin'gata...
  7. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Majengo mengi Kariakoo yanapaswa Kubomolewa haraka! Nyumba za Makazi zimegeuzwa Stoo za Mizigo mizito

    Ubovu wa Majengo ya Biashara Kariakoo: Hatua za Haraka Zinazohitajika kutoka Serikalini Kariakoo, mojawapo ya maeneo yenye shughuli nyingi za kibiashara jijini Dar es Salaam, inakabiliwa na changamoto kubwa ya majengo mabovu. Majengo haya, ambayo awali yalijengwa kwa matumizi ya makazi, sasa...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua utaratibu wa kuwa afisa usalama mahali pa kazi Kuna mambo mengi nayashuhudia mazuri na mabaya ila nimekosa platform

    Habari wadau ni utaratibu upi unatumika kuwapata Hawa watu( maafisa usalama katika ngazi mbalimbali) Naihitaji hii kazi kwa namna yoyote ile na najua nitaitendea kazi kisawasawa Mwenye kujua anipe mwongozo
  9. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mungu Baba asante kwa jumamosi mpya katika maisha yetu. Tukumbuke katika mengi tuyatamaniyo katika maisha yetu twaomba.

    Mungu Baba asante kwa jumamosi mpya katika maisha yetu. Tukumbuke katika mengi tuyatamaniyo katika maisha yetu twaomba Eee Mungu wetu, tutendee wema wako katika hatua zetu za maisha. Usitunyime tuombapo kwako, uzisikilize kwa wema sala na haja zetu. Baraka na neema zako ziwe pamoja nasi Bwana...
  10. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Sodoma ipo hapa Dar, usiku huu nimeshuhudia mengi

    Leo nimeboeka nikasema niende Temeke nikatembee mida ya sa5 usiku, kuna bar nikaingia nikawa nakunywa wine palikua panapigwa miziki ya bongo flava, lakini ilivyofika saa 6 usiku wakaingia VIJANA na matarumbeta na wadada wengi Sana wamevaa madela, nyimbo za bongo flava zikawa hazipigwi ikawa NI...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mbona hatusikii tena habari za ushindi wa magoli mengi? Goli moja limekuwa lulu wakilipata wanashangilia mpaka wanavunja viti!

    Kulizuka katabia Fulani hivi vijana wa Rage na Mangungu walikuwa wanaizodoa Yanga kwamba inapata ushindi wa kigoli kimoja na wao wanafunga mengi sasa hivi wameufyata kulikoni! Hicho kigoli kimoja wanapokipata wanashangilia kama wamepata dhahabu ni maajabu haya!
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna magashagwa mengi kuliko Kenya, anakosekana wa kuyaondoa tu.

    Kiongozi wa kitaifa hapaswi kufikiria na kutenda kikabila, kijimbo, kidini, kijinsia au kikanda maana watu wote (makabila, dini, majimbo, wilaya, mikoa, jinsia, kanda) kwenye taifa wanamtegemea. Unapomsikia na kumuona kiongozi wa nchi anafikiria, anatenda, anaagiza na kupeleka maendeleo kwa...
  13. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini waliamua kugawa kwa walimu vishikwambi baada ya sensa wakati kuna mambo mengine mengi yanahitaji matumizi ya vishikwambi?

    Sasa hivi Tume ya uchaguzi wanaandikisha watu kwa kutumia makaratasi katika mfumo wa kitabu wakati zoezi hili lilipaswa like kidigitali papo kwa papo,vile vishikwambi waliwahonga walimu ilipaswa viifadhiwe kwa matumizi mbalimbali kama haya,ingekuwa ni suala la kuunda mfumo nakuupakia kwenye...
  14. crome20

    JamiiForums Tanzania Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo?

    Hivi jamani Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo au kuna tofauti? Cse magari madogo mengi ni 180KMh, sawa na haya magarri yetu SUVs. Sasa tofauti ni wapi?
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe acha kubwatuka nonsense, nchi ina mambo mengi ya kufanya zaidi ya mpira

    Nimemsikia huyu kijana anayeitwa Ali Kamwe mfanyakazi wa Yanga anazisihi taasisi, kampuni na mashirika mbalimbali katika nchi ziruhusu wafanyakazi wao kutoka kazini mapema Jummane wakaishangilie timu ya Taifa. Huu ni wendawazimu, nchi hii ina mambo mengine muhimu zaidi ya mpira, yaani Jumanne...
  16. Mpenda vurugu

    JamiiForums Tanzania Kondomu za Zana zina harufu kali na mafuta mengi kama ya kupikia, wahusika mziboreshe

    Government tunaomba hii bidhaa yenu iwe improved, ni hayo TU!
  17. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nadhani kwa 2025 John Mnyika anafaa zaidi kugombea Urais kuliko kina Lissu na Mbowe apewe nafasi

    Mnyika kajifunza mengi kwa Lissu ,Mbowe , Slaa na wengine hivyo ashakomaa na nadhani 2025 atatufaa zaidi . 1.Mjasiri 2.Mtu mwenye busara 3.Mtu mwenye uelewa mkubwa na asie kurupuka . Upinzani mtuandalie mtu huyu
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga ridhikeni na pointi 3, timu zote zimesajili kupunguza kufungwa na Yanga magoli mengi

    Baada ya Yanga kutembeza vipigo vya magoli mengi msimu uliopita, kila timu msimu huu ilisajili kwa lengo la kukabiliana na Yanga kwenye idadi ya magoli. Mbinu za kila kocha na wachezaji ni namna ya kuzuia magoli mengi kutoka Yanga. Msishangae kupata goli moja shangaeni kukosa pointi 3.
  19. AKILI KIJIKO

    JamiiForums Tanzania Huyu shemeji nimuache au nipite naye?

    Habari wakuu mbali mbali, kama ilivyo ada licha ya kuwepo kwa platforms mbalimbali za kijamii lakini kwangu Mimi JF bado ndo sehemu ninapoweza pata hekima za watu makini mwezi mmoja uliopita mshkaji wangu wa karibu akanambia demu wake hana hisia kabisa wakinyanduana ni kama ananyanduana na gogo...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Inawezekanaje masoko ya Lebanon yenye matatizo mengi hivi yana tiles ila yetu hayana!

    Hii nchi ya Lebanon kila siku naisikia iko vitani na Waisraeli au migogoro ya siasa za ndani kwa ndani kati yao wenyewe ila nimeshangaa masoko yao yana tiles! Sisi tunashindwaje kuweka hata zege tu bila tiles kwa soko muhimu kama la Mabibo?? Masoko yote yalitakiwa yawekwe pavement blocks.
Back
Top Bottom