member

A member of parliament (MP) is the representative of the people who live in their constituency. In many countries with bicameral parliaments, this category includes specifically members of the lower house, as upper houses often have a different title. Member of Congress or Deputy is an equivalent term in other jurisdictions. Another term is Parliamentarian.
Members of parliament seem to tend to form parliamentary groups (also called parliamentary parties) with members of the same political party.

View More On Wikipedia.org
  1. Mahojiano yangu na washirika wa FDLR kuhusu uhasama wao na RPF- Inkotanyi

    Kama mwandishi wa habari huru nilikua nachunguza viini vya migogoro katika maeneo ya ukanda huu wa maziwa makuu. Nilibahatika kufanya mahojiano ya kina na washirika wa iliyokua serikali ya Rwanda kabla ya kupinduliwa mwaka 1994. Watu wengi hawawezi kujua kua,karibia majenerali wote wa iliyokua...
  2. JF ilivyoua huba langu

    Samaleko, Basi bwana, miaka kadhaa nyuma nilikuwa na Id yangu xxxx, haikuwa Maarufu hata kidogo, nilikuwa napenda kumchangia kidogo kwenye Jukwaa la siasa, intelligence na international news na History. Sasa Maulid moja akaja ex shemeji yenu kunitembelea, kwa kawaida nikiwa nyumbani napenda...
  3. Member mwenzetu Mpwayungu Village ni He au She au....?

    Leo navunja utamaduni wangu wa kutojaadili jinsia ya mtu majukwaani. Nimesoma nyuzi kadhaa za ndugu yetu Mpwayungu Village ambaye hana parody kama walivyomclone GENTAMYCIME GENTAMYCINE bila ridhaa yake. Ingawa kwa nabii Genta kuna kautofauti kwenye sarufi Turudi kwenye mada. Ndugu Mpwayungu...
  4. Hello, New Member

    Mgeni kutokea +254, love you all jamii members
  5. V

    New Member

    Hello JF members, happy to join you.
  6. Vile ninavyohisi kuhusu member Mshana Jr

    1. Nahisi Mshana Jr ni huyo wa kwenye avatar. 2. Nahisi anafanya kazi ya kuhifadhi miili ya marehemu kwenye hospitali moja hapa mjini. 3. Nahisi ni mtu katili sana kwa maiti yaani kuna muda anazipiga makofi huku anafoka. 4. Sidhani kama panya wanakatiza karibu yake.
  7. Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

    Kuwa off wiki ambazo walevi wenzio ndo wamebananika kazini shida sana. Ngoja nipoteze muda kuongelea hili swala la raraa reree Huyu ndugu yetu ana kiwanda cha likes, hebu nipe siri na mm niwe natoa likes hvo, au jamaa ni BOT?
  8. Popote pale alipo huyu Member Daudi Mchambuzi naomba ajitokeze kwani kapotea mno hapa JamiiForums

    On a serious note jamani kuna yeyote mwenye taarifa zozote za Kuadimika Kwake kusiko kwa Kawaida hapa JamiiForums kwa Member (Mwanachama Mwandamizi) Daudi Mchambuzi? Ni Mmoja wa Marafiki zangu Wakubwa sana hapa JamiiForums kama walivyo Wengine wengi tu wakiongozwa na adriz, Shunie, Bila bila...
  9. Ni vyema kuwa na busara kuliko kutumia lugha chafu

    Good night Kuna baadhi ya member humu mnatukana watu vibaya mno ukija kufwatilia Pole pole unakuta mtu anae kutukana au anae mtukana mwezie ni wakumuonea huruma sana hajui pesa inavyo tafutwa wembe tu wa kunyolea kwapa anaomba kwa mama au anasubiri atumwe dukani abanie chenji ndio asafishe...
  10. New member

    Habari zenu wakuu mimi ni fundi friji, nafurahi kujiunga nanyi. Natumaini kujifunza mengi.
  11. Mkesha wa chako ni chako kesho Kawe kwa Mwamposa; Mungu atupe ndoa zenye upendo na amani member wa JF

    Kesho ni mkesha wa chako ni chako Kawe kwa Mwamposa njoo na maombi yako 12 Mungu anakwenda kufungua yale yaliyo magumu maishani mwako. Maombi yangu maalum kwa Mungu ..Tuwe na ndoa njema zenye furaha na amani hasa member wa JF Najua wengi mnaogopa kuingia kutokana na hali ya sitonfahamu kwa...
  12. Member ninaowakubali sana...

    Habari zenu humu.... Member ninao wakubali sana ambao nyuzi zao zinabamba sana,tena wakicomment kwenye nyuzi za watu lazima ufurahi tuu hawana baya.. 1.mshana. 2.mpwayungu. 3.mangi shangali 4.Great of all time 5.umughaka 6.smart 9 7.depan 8.simba buyenze 9.extrovet 10.sakayo...
  13. A

    Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

    Watu wa Mungu mpoo? Mimi ni member wa JF tangu miaka ilopita nimekuja na ID tofauti ili nieleze yaliyonikuta iwe funzo na ushuhuda kwa wengine. Niliweka post hapa mika ilopita na kwa bahati tu sijui niseme nzuri au mbaya ila Mungu ndio anajua, nikapata mwanaume ambaye tulianza mahusiano...
  14. Chose your best team member in JF

    Salaam wakuu, naamini kila mmoja ana watu ambao wamekuwa wakimpa kampani au kuichangamsha siku yake hapa JF Kiasi cha kutengeneza muunganiko baina yenu, kama team ya mpira au jeshi. Ambapo wakiwepo mna tengeneza vurugu au furahi day, kwa upande wangu nina team nyingi, ila hi ni imara zaidi...
  15. Not new member

    Nimekuja na id hii kwa malengo maalum humu ndani Anyway nikaribisheni tu maana nimekuwa nanyi for 3 years now. Shukran sana
  16. Hello jeiefers, new member hiya

    Hello, Mimi mgen humu....naomben kujuzwa huu mtandao unavyofanya kazi. Asante
  17. Happy birthday to JF member Mwachiluwi

    Wish yah all the best young bro Mwachiluwi, imeisha hiyoo!
  18. Happy birthday to me Trudie

    Namshukuru sana Mungu kwa kunipa neema ya kuongeza mwaka mwingine. Nashukuru leo nimetimiza miaka kadhaa kwa kuingia floor mpya ya majukumu. Mwaka huu umekuwa wa neema sana kwangu mwenyezi Mungu anazidi kunipigania. Kweli tunazeeka na miaka inaenda sana. Happy birthday to me. Intelligent...
  19. TBT: Story iliyofanya nikajiunga JF, story iliyofanya nikapata my favorite nickname, Kongole kwa huyu member japo kapotea

    Hahah kwanza ni kitambo kipindi hiko nina kasimu kadogo kwenye batani na browser ya operamini (itel) huduma ya freebasic ilikuwepo Airtel hivyo JF niliipata bure kabisa. Niliisoma hii story for 3yrs (darasa la 5 mpaka darasa la 7 Nilisoma story nyingi humu za mapenzi pia Facebook nilisoma soma...
  20. N

    Member mpya! Naamini tutalishana madini

    Hodi bandugu Nawasalimu kwa jina la tanzania me mgeni wenu naombeni mnikaribishe ndani ya nyumba yenu Bora kabsa tanzania mzima. Nyumba yenye wazee wa busara na vijana wengi wa hovyoo, me ni kjana wa faida. Naimani mtanirisha madini nami ntawarisha yangu pia. Asanteni sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…