member

A member of parliament (MP) is the representative of the people who live in their constituency. In many countries with bicameral parliaments, this category includes specifically members of the lower house, as upper houses often have a different title. Member of Congress or Deputy is an equivalent term in other jurisdictions. Another term is Parliamentarian.
Members of parliament seem to tend to form parliamentary groups (also called parliamentary parties) with members of the same political party.

View More On Wikipedia.org
  1. Ramtz Jr

    JamiiForums Tanzania Ni member yupi mpya unaona ana trend sana JF

    Wakuu habarini..? je ni member gani unaona ana trend sana ambae amejiunga mwezi wa 6 kunendelea?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kuna account za JF kama Mwashambwa zilifunguliwa zitumiwe na group la watu wanaolipwa kuandika propaganda au kukosoa thread au posts, sio member mmoja

    Kuna account humu JF zimefunguliwa na watawala kwa ajili ya kutumiwa na group la watu wanaolipwa kwa ajili ya kujibu, kukosoa, kukejeli nk thread ambazo zinatolewa ambazo zinaanika uobu wa serikali na viongozi wake. Kwa mfano, unakuta Tlaatlaa au Mwanshambwa sio mtu mmoja. Ni account ambazo...
  3. Yesu Anajibu Songs

    JamiiForums Tanzania Member mpya, package za kutosha za nyimbo

    Ebhana eee! Je, wewe ni mpenzi wa mziki mzuri wa injili? Kama jibu lako kwa swali hapo juu ni ndiyo, Yesu Anajibu Songs tunapenda kukualika uambatane nasi katika mfululizo wa nyimbo zenye ujumbe wa tumaini, faraja na imani katika Yesu Kristo. karibu tuimbe, tuabudu na tumtukuze bwana pamoja...
  4. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mbwa wa superbug Boston texas terrier apewa jina inclusive la seran member wa jamiiforums.

    Seran nyota yako imeng'aa hapa Boston huku watu wanaheshimu sana na kupenda pets hivyo mbwa wangu nimempa sehemu yajina lako. Anaitwa Kwereseran.
  5. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Kuna member mzanzibari mwenye asili ya asia nae alifariki mwaka jana mwezi wa tano au sio wasita, tumuombee nae

    Huyu mzanzibari alikua kama anko wangu nadhani jamii forum ndo iliyo tufanya tuwe kama ndugu, mi nilikua nimeajiriwa na mdogo wake wa kike, ndo tulipo fahamiana hapo. Alikua anafanya kazi smz kama si ardhi, basi mambo ya ujenzi sijui sikumchinguza sana, alikua akiishi stone town, mwaka Jana...
  6. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Member Kuni aliyekataa ku cash out mechi ya Ureno najua sasa hivi roho juu

    Huyu member KUNI alileta uzi juzi tumshauri a cash out 2M ama asubiri tu mechi ya Ureno na Uzbekistan mkeka utiki apate 18M. Wengi walimshauri a cash out lakini mwenyewe akakomaa atasubiri. Alibet Ureno atafunga magoli ma3 kabla half time na sasa hivi ureno wanaongoza 2-0 dakika ya 25 najuwa...
  7. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kalangala By-Election: NRM Gains as Key NUP Member Defects to NRM

    The ruling National Resistance Movement (NRM) and the leading opposition party, the National Unity Platform (NUP), have intensified their mobilization efforts ahead of the highly anticipated Kalangala District Woman Member of Parliament by-election, with both camps issuing passionate calls for...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hello guys l'm new member here so we are in this together

    Hello guys l'm new member here so we are in this together
  9. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hatari ya matumizi majina bandia,jf Rafiki yangu kafariki na alikuwa member hapa ILA sijui alikuwa anatumia jina Gani? JE sifi Leo nikifa mtajuaje?

    Mara ya mwisho nilikutana nae kwenye kijiwe chake cha wavuvi camp" fish point, huyu hakuwa Rafiki tu Bali alikuwa classmet wangu chuo kikuu. Tukiwa wavuvi camp,A.K.A Fish point uku tukiwa tunaisubilia kusasamvua lisamaki kubwa, tukaanza kubadilishana story, nakumbuka aliniuliza SWALI ili na ndo...
  10. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Newly sworn-in Member of Parliament of Masaka City abducted

    Hon. Nameere Justine has reportedly been abducted by an unknown group of individuals: Motive unknown Watch: Nameere was picked up around on Friday at around 8:30pm on her way to Liberation Square in Masaka City, as she was wrapping up a drive through the city after her swearing-in in Kampala...
  11. 100 others

    JamiiForums Tanzania Captain Tesha, Habil na Kabil ilikuwa si project ya Night walk ya Wana usalama Kama Baadhi Ya Member Wanavyopotosha

    Kuna huu uzi nimesoma. https://www.jamiiforums.com/threads/je-captain-tesha-habil-na-kabil-ilikuwa-project-ya-night-walk-ya-wana-usalama.2437201/page-2 Nimeona jinsi baadhi ya wadau wanavyopotosha , wakihalalisha maoni yao kana kwamba ni facts, kitu ambacho si kweli. Naomba nijibu kama...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nlisema mimi kuhusiana na huyu Member. Mkasema Chizi M. Wewe Mkorofi. Sasa amethibitisha

    Wakati nawaambia kuhusu watu kuwa ni akina annabelle mkasema Chizi Maarifa wewe ni mkorofi unawachukia tu rainbow kiasi kila mtu unamwona ni papaya. Sasa someni. Ame advance kwa sasa ameamua kuwa verified kabisa na ameweka na Tangazo hapo. Aliye na macho na aone. Hii ndo Jamiiforums. Jamaa...
  13. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Karma is real. Member huyu sasa anapata tamu ya chungu yake. Matusi hayajengi

    Makebo ametukana watu sana humu bila aibu kwa muda mrefu sasa hivi mpila umemrudia yeye ili aone jinsi alivyotesa wengine.
  14. FORBIDDEN HISTORY

    JamiiForums Tanzania Kama member anahitaji msaada wa msongo, aombe tu atasaidia na wanajamvi

    Huyu mwamba kila kinachotoka mdomoni mwake ni matusio from juma tatu hadi jumapili . Sio saa kumi na mmoja alfajiiri hadi usiiku wa manane. Haiwezekani mwanadamu wa kawaida awe wa matusi asilimia 90 ya muda wake. Kwa mwenendo huu ni ishu ya afya ya akili, msaidieni kijana huyu kama uongo ata...
  15. Funny boe

    JamiiForums Tanzania Onyo: Napiga marufuku kwa member yeyote yule kutoa like kwenye post au comment yangu yoyote

    Katika hili naomba niwataje kabisa Kwa members wote hasa Seran na min -me sitaki posts zangu kuwa mnazilike, mnafanya notification dashboard yangu kujaa sana na kujaza server za JF yetu tukufu NAIPENDA SANA JAMIIFORUMS..
  16. Gengis Khan wa Jf

    JamiiForums Tanzania NimemMiss sana member Yoga popote alipo namsalimia

    Mzuka wana jamvi ? Rejea kichwa cha uzi sitaki mambo mengi.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Member gani hapa JamiiForums ana makombora mazito ya maneno (matusi) ili niwe na tahadhari ninapojibazana naye?

    Nataka nijue nani anamakombora mazito humu ili nichukue tahadhari nyingi kabla sijamquote. namfahamu mmoja tu ambaye ni GENTAMYCINE Natanguliza shukrani.
  18. R_Breazy

    JamiiForums Tanzania Namtafuta member wa JF

    Wakuu habari za wakati huu Kuna member fulani tulifahamiana kupitia JF, Bahati mbaya Mimi ndo niliweka namba yangu kwenye moja ya thread ya member wa humu JF aliyowahi kupost... Wasifu wake yeye ni daktari (kulingana na ukaribu na maelezo tuliyowahi kushare kipindi tunawasiliana) tulishauriana...
  19. John Sin

    JamiiForums Tanzania Kuwa member wa magroup ya wasapu ya walimu wasaka ajira inahitajika uwe na roho ya paka

    Kwani hii kada imelaaniwa? Yan waliopo kwenye ajira wanaafadhali ya akil kidogo kuliko hawa jobless, wengi ni wapumbavu grade A. Hawa watu kujifunza mambo mapya kwao ni kama kula nguruwe kwa ndugu zetu kobaz, hawa watu hawana walijualo lolote kuhusu mustakabali wao hasa kwenye kusaka ajira...
  20. Poker

    JamiiForums Tanzania Valentine imekaribia, ungependa member gani awe valentine wako?

    Februari 14 sio mbali sana, kama ungepata nafasi ya kumchagua mtu wa kuwa naye hiyo siku ya valentine ila kwa sharti awe member wa Jamii Forums, je? Ungemchagua nani na ungependa kwenda naye wapi kurelax.
Back
Top Bottom